ushirikiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto Lands Tanzania: Biashara, Ajira na Ushirikiano Mpya Kwenye Meza

    Rais wa William Ruto ameanza ziara ya siku mbili nchini Tanzania kuimarisha uhusiano kati ya majirani hawa wa Afrika Mashariki. Ziara hii inaonekana kuwa muhimu sana hasa kwa masuala ya biashara, ajira na maendeleo ya kikanda. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu ya Tanzania, Ruto atakutana na...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatoa Wito kwa EAC Kuimarisha Ushirikiano katika Ulinzi na Usimamizi wa Maliasili

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuimarisha zaidi ushirikiano wa kikanda katika kulinda na kusimamizi endelevu wa mazingira na maliasili, ikisisitiza umuhimu wa jitihada za pamoja katika kukabiliana na changamoto zinazoendelea...
  3. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania JUMIKITA: Media zisimpe tena ushirikiano Madam Rita

    Kauli ya Madam Rita kwa Media ya Mike 360 ------- Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) kupitia Mwenyekiti wake, Ndugu Shaaban Matwebe, imesikitishwa na kulaani vikali kitendo kisicho na heshima wala uungwana kilichofanywa na Madam Rita dhidi ya chombo cha habari cha...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

    Balozi Yakubu akutana na wadau wa Tanzania France Chamber of Commerce kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi Balozi mteule wa Tanzania nchini Ufaransa, Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, leo amekutana na viongozi na wanachama wa Tanzania France Chamber of Commerce katika kikao cha kujadili namna ya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Zimbabwe akutana na CP Kaganda kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Kembo Mohadi, amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini humo, Kamishna wa Polisi (CP) Suzan Kaganda, ikiwa ni juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili. Mazungumzo hayo yaliyofanyika tarehe 15 Aprili 2026...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Akutana na Waziri wa Singapore Kuimarisha Uhusiano na Ushirikiano wa Kiuchumi

    Waziri Kombo Akutana na Waziri wa Singapore Kuimarisha Uhusiano na Ushirikiano wa Kiuchumi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amekutana na Waziri wa Nchi wa Mambo ya Nje na Maendeleo ya Kijamii na Familia wa Singapore Mhe. Zhulkarnain...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Mauritius Kuendelea Kuimarisha Ushirikiano wa kimkakati

    Tanzania, Mauritius Kuendelea Kuimarisha Ushirikiano wa kimkakati Tanzania na Mauritius zimekubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kwa lengo la kukuza biashara, uchumi wa buluu na maendeleo ya pamoja. Hayo yamejitokeza wakati wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa PigaBet na Fountain Gate FC Watoa Mwanga Mpya kwa Soka la Ndani

    Dar es Salaam — Kampuni ya michezo ya kubashiri ya PigaBet imetangaza rasmi kuingia mkataba wa udhamini na klabu ya Fountain Gate FC wenye thamani ya Shilingi bilioni 1, hatua inayotarajiwa kuongeza nguvu katika maendeleo ya soka nchini Tanzania. Ushirikiano huo umetangazwa jijini Dar es...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mambo ya mtandao wa Internet waendelea kupunguza pengo la kidigitali barani Afrika

    Mwezi Agosti mwaka 2021, kwenye mkutano wa kwanza wa Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na nchi za Afrika, China ilitangaza kuzindua mpango wa ushirikiano na nchi za Afrika kwenye eneo hilo, ukihusu ujenzi wa miundo mbinu ya mtandao wa Internet pamoja na...
  10. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa umeme wa upepo kati ya China na Afrika wahimiza mageuzi ya nishati ya kijani barani Afrika

    Hivi karibuni, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed, Rais wa Djibouti Ismail Omar Guelleh, na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud walihudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa umeme wa upepo wa Aysha, uliojengwa na kampuni ya China katika Mkoa wa Somali, mashariki mwa Ethiopia. Kwa muda mrefu...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu asisitiza amani, maadili na ushirikiano na taasisi za dini

    WAZIRI MKUU ASISITIZA AMANI, MAADILI NA USHIRIKIANO NA TAASISI ZA DINI ▪️Asema taasisi za dini nguzo ya maadili na amani nchini ▪️Aonya migogoro ya ardhi inaweza kuvuruga mshikamano wa Taifa WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda Zasisitiza Utekelezaji kwa Vitendo katika Kukuza Ushirikiano wa Uwili

    Tanzania na Uganda Zasisitiza Utekelezaji kwa Vitendo katika Kukuza Ushirikiano wa Uwili Tanzania na Uganda zimethibitisha tena dhamira yao ya kuimarisha ushirikiano wa uwili, kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya pamoja, na kuibua maeneo mapya ya ushrikiano Akifungua kikao cha...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi CC Kaganda akutana na Balozi wa Ethiopia kujadili ushirikiano kati ya Tanzania na Ethiopia

    Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Kamishna wa Polisi (CP) Mhe. Suzan Kaganda, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ethiopia nchini Zimbabwe, Mhe. Rashid Mohammed Abdulwahid, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Ethiopia. Katika...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Nduva aaga, amshukuru Rais Samia kwa ushirikiano na uungaji mkono wa mtangamano wa EAC

    Nduva aaga, amshukuru Rais Samia kwa ushirikiano na uungaji mkono wa mtangamano wa EAC Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Mhe. Veronica Nduva, ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa karibu alioupata...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Puma Energy Tanzania Yaongeza Nguvu ya Ushirikiano Kupitia Futari ya Ramadhani

    Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam, Februari 27, 2026: Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeandaa futari maalum kwa wateja na washirika wake ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha mahusiano na kuonesha shukrani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mkusanyiko huo uliwakutanisha wateja, wadau pamoja...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa: Ikitokea Umeitwa Mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani?

    Wanabodi, Hii ni mada ya Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa, kukuomba ushirikiano wako kwa ushirikishwaji, kutoa maoni yako na mawazo yako kumshauri mwana jf mwenzenu, ikitokea ni wewe umeitwa kufika mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde Apongeza Ushirikiano wa CRDB Bank na Tume ya Madini, Wachimbaji Wadogo Kupata Nguvu Mpya

    Dar es Salaam, 23 Februari 2026 — Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amepongeza kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya Benki ya CRDB na Tume ya Madini, akieleza kuwa mpango maalum wa kifedha uliozinduliwa leo kwa ajili ya wachimbaji wadogo ni hatua ya kihistoria itakayobadili kabisa mfumo wa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Tanzania Waendelea kwa Kipaji cha Mafunzo kwa Wafanyakazi wa Reli

    Kwa miaka mitatu na nusu, Amina Ally Sauko amesaidia kuratibu operesheni za treni za Shirika la Reli la Tanzania (TRC) kutoka kwenye Kituo chake cha Usimamizi wa Operesheni kilichoko jijini Dar es Salaam, ambako uhakika na kufanya kazi pamoja kama timu ni muhimu. Amina, ofisa usafiri wa TRC...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais azindua mpango wa ushirikiano kati ya taasisi za elimu na viwanda

    TAARIFA KWA VYOMBO HABARI MAKAMU WA RAIS AZINDUA MPANGO WA USHIRIKIANO KATI YA TAASISI ZA ELIMU NA VIWANDA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa sekta binafsi kushirikiana na Vyuo, kuwekeza katika tafiti hususan za sayansi na...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Mpango wa Ushirikiano kati ya Vyuo na Sekta ya Viwanda ni Hitaji la Lazima

    https://www.youtube.com/live/PjZMsQ0hrxU Akizungumza katika uzinduzi wa Mpango wa Ushirikiano kati ya Taasisi za Elimu na Sekta ya Viwanda uliofanyika leo, Februari 9, 2026, jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewahimiza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...
Back
Top Bottom