ushirikiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Kijeshi kwenye baadhi ya nchi yaliyowahi kupata Ushirikiano wa Wananchi

    Hapo chini ni Mapinduzi ya Kijeshi( Coup d'etat) yaliyowahi kufanyika kwenye nchi mbalimbali na kupata baraka na support za wananchi kutokana na UFISADI na DHULMA dhidi ya wananchi Afrika 1. Mali (2020, 2021) – Wananchi walipinga ufisadi na ukosefu wa usalama, wizi wa mali za Umma...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kunufaika na Fursa Lukuki Kupitia Ushirikiano wa Afrika na Singapore

    Tanzania Kunufaika na Fursa Lukuki Kupitia Ushirikiano wa Afrika na Singapore Miongoni mwa maeneo ya ushirikiano ni masoko ya mazao ya kilimo, elimu na mafunzo kwa vijana, nishati jadidifu, na uchumi wa kidijitali Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tano...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania na Japan waahidi kukuza ushirikiano

    MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE WA TANZANIA NA JAPAN WAAHIDI KUKUZA USHIRIKIANO Tanzania na Japan zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta za biashara, uwekezaji, uendelezaji rasilimali watu, miradi mikubwa ya maendeleo na miradi ya msingi (Grassroots projects), na kilimo ikiwemo ukuzaji wa...
  4. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpoki apongeza ushirikiano wa utoaji huduma kati ya MOI, JKCI na AICC.

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Mhe. Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya, amepongeza ushirikiano mzuri wa utoaji huduma za afya kati ya MOI, Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya AICC, katika kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa AI wa kisheria kuhusu kimachosemwa kuwa ushirikiano kati ya NIDA, INEC na CCM

    Kumekuwa na tuhuma zinazodai kuwa mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) umeunganishwa au unashirikishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa nia inayotazamwa/hisiwa kuwa ovu na inayokiuka haki za faragha na usawa wa kisiasa. Uhalali wa jambo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO ATCL wamepoteza mzigo wangu, na ukienda ofisini kwao hawatoi ushirikiano

    Niliagiza mzigo kutoka dar kuja kigoma jana tar 15/08/2025 kupitia ATCL kutokana na uharaka niliokuwa nao, ambapo mzigo huo ulifikishwa saa 4 asubuhi na ratiba ya ndege ilikuwa inaonyesha inaondoka saa 7 mchana ilikuwa inafika kigoma saa 10. Jioni nimeenda kufuatia mzigo huo nikaambiwa...
  7. Tman900

    JamiiForums Tanzania Mifumo Haina ushirikiano

    Mtu una vielelezo hivi 1. Cheti Cha kuzaliwa 2.Cheti Cha shule ya msingi 3.Cheti Cha secondary 4. Cheti Cha ufundi veta. 5.TIN number 6.Reseni ya Biashara 7.Kitambulisho Cha NIDA 8.Passport ya Tanzania • Sasa mtu ukienda kupata Huduma ktk Hofisi za watawala wanakuambia kalete Barua ya...
  8. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania DC Dodoma atembelea banda la MOI Nanenane, atoa wito ushirikiano katika Elimu ya Usalama Barabarani.

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaj. Jabir Shekimweri ametembelea banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane' yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, ambapo ametoa wito kwa taasisi hiyo kushirikiana na taasisi nyingine na...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Qatar Kuimarisha Ushirikiano kwenye maeneo ya kimkakati

    Tanzania na Qatar kuimarisha ushirikiano katika maeneo ya kimkakati Tanzania na Qatar zinakusudia kuimarisha ushirikiano katika maeneo muhimu, ili kukuza biashara na uwekezaji kwa misingi ya amani, usalama, na maendeleo endelevu ya wananchi wa pande zote mbili. Waziri wa Mambo ya Nje na...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwa tabia za mapolisi wetu, ukimkuta mtoto aliepotea na anatafutwa upo tayari kutoa ushirikiano ?

    Umekuta mtaani mtoto aliepotea anatangazwa kutafutwa, unapiga simu kwa wazazi wake waje kumchukua. Mapolisi wanaenda kwa wazazi wanafatilia nani aliemrejesha, hata kama walifuta namba wanaweza kufuatilia kwenye mitandao. Shida inaanza wakianza upelelezi japo sio mapolisi wote
  11. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania "Nahitaji Wakili Mwenye Leseni Halali kwa Ushirikiano wa Kudumu wa Kitaaluma

    Ndugu wana JF, Nahitaji wakili aliyehitimu kisheria, mwenye leseni halali kutoka Tanganyika Law Society (TLS), na anayefanya kazi kwa weledi, maadili, na uaminifu wa hali ya juu. Vigezo ninavyotafuta: Awe na leseni hai (valid practicing certificate) Awe na uzoefu wa kushughulika na kesi au...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi Asisitiza Ushirikiano wa Serikali na Wadau wa Habari

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba akionyesha Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB mbele ya mgeni Rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Mpango wakati wa...
  13. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu na shukrani kwa ushirikiano

    Wasaalam. Tarehe 14 Julai, 2025 nimekuwa sehemu ya Kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Sita tangu iingie madarakani, kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025. Picha ya 1 ni ya kumbukumbu ya Wajumbe wa Baraza tukiwa pamoja na Rais wa Jamhuri...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Misri kupanua wigo wa ushirikiano

    Tanzania na Misri kupanua wigo wa ushirikiano Pembezoni mwa Mkutano wa 47 wa Kawaida wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika na Mkutano wa Saba wa Umoja wa Afrika wa Uratibu, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kufanya...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani Zaahidi Kuimarisha Ushirikiano wa Kisekta

    Tanzania na Marekani Zaahidi Kuimarisha Ushirikiano wa Kisekta Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Samwel Shelukindo, alikutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andrew Lentz, Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani hapa nchini. Mazungumzo hayo, yaliyofanyika...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Cyprus zasaini hati za makubaliano ya ushirikiano

    Dar es Salaam, 9 Julai 2025 – Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Cyprus leo zimesaini hati za makubaliano (MoU) za kushirikiana katika mashauriano ya kisiasa na usafiri wa majini, hatua inayolenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo mbili. Hati hizo zimesainiwa...
  17. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Tumefanikiwa kupata habari kamili na location kuhusu, madai ya uwepo wa ukatili sugu kwa mtoto, Mtaa wa Kidemi

    Wasaalam wote humu. YAH; MREJESHO NA SHUKRANI KWA WANANCHI. 6 Julai, 2025 UTANGULIZI; mapema tarehe 06 Julai, 2025 majira ya saa 2 asubuhi hivi, niliomba ushirikiano wa jamii kwenye kufuatilia na kupata location kamili kuhusu, madai ya uwepo wa ukatili sugu kwa mtoto huko Mtaa wa Kidemi...
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Nchi 3 Zanzibar, Uganda na Tanzania zasaini MoU ya Ushirikiano kwenye Sekta ya Mafuta

    My Take Mafuta sio Mali ya Muungano kama ilivyo Dhahabu,yakihundulika Zanzibar lazima Bara mnunue. ====== Soure: TanzaniaInvest Uganda, Tanzania, Zanzibar Sign Tripartite MoU to Strengthen Petroleum Sector Cooperation The MoU, formalized during a ceremony attended by top officials, including...
  19. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Iran yatetea uamuzi wake wa kusimamisha ushirikiano na IAEA

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametetea uamuzi wa nchi yake kusitisha ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Nguvu za Atomiki,IAEA, akimtuhumu mkuu wake kwa mwenendo wa kile alichokiita uharibifu. SiasaMashariki ya Kati Iran yatetea uamuzi wake wa kusimamisha ushirikiano na IAEA...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran yapitisha mswada wa kusimamisha ushirikiano na IAEA

    Wanaukumbi. Bunge la Iran limepitisha muswada wa kusimamisha ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Kudhibiti Nguvu za Atomiki, IAEA. hatua iliyochukuliwa kufuatia vita kati ya Israel na Jamhuri hiyo ya kiislamu. Spika wa Bunge Mohammad Bagher Ghalibaf hapo awali alitangaza kwamba mpango wa...
Back
Top Bottom