Mpaka ligi inaanza bado watu wanasikika hawapo kambini.
Ilianzia kwa kocha Minziro, wenzao wanawatambulisha wachezaji kwa maana ya kujiandaa kwa ligi, ikasemekana yupo Dar na hajasaini mkataba wa kuendelea kuifundisha timu hiyo.
Jana tu ikasikika mchezaji G. Mpole hayupo kambini na akasikika...