Naomba kujua bei za Semi Trailers zilizotumika 'used'

biling

Member
Oct 31, 2014
14
6
Naomba kufahamishwa bei gani naeza pata trailer kichanja zile used ambazo imported au zile kutoka kwa mtu hapa bongo zile za kichanja. Je, kwa bajeti ya milion 15 naeza pata trailer nzuri kabisa?

Natanguliza shukran zangu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom