usd

The United States dollar (symbol: $; code: USD; also abbreviated US$ or U.S. Dollar, to distinguish it from other dollar-denominated currencies; referred to as the dollar, U.S. dollar, American dollar, or colloquially buck) is the official currency of the United States and its territories. The Coinage Act of 1792 introduced the U.S. dollar at par with the Spanish silver dollar, divided it into 100 cents, and authorized the minting of coins denominated in dollars and cents. U.S. banknotes are issued in the form of Federal Reserve Notes, popularly called greenbacks due to their historically predominantly green color.
The monetary policy of the United States is conducted by the Federal Reserve System, which acts as the nation's central bank.
The U.S. dollar was originally defined under a bimetallic standard of 371.25 grains (24.057 g) fine silver or, from 1837, 23.22 grains (1.505 g) fine gold, or $20.67 per troy ounce. The Gold Standard Act of 1900 linked the dollar solely to gold. From 1934 its equivalence to gold was revised to $35 per troy ounce. Since 1971 all links to gold have been repealed.The U.S. dollar became an important international reserve currency after the First World War, and displaced the pound sterling as the world's primary reserve currency by the Bretton Woods Agreement towards the end of the Second World War. The dollar is the most widely used currency in international transactions. It is also the official currency in several countries and the de facto currency in many others, with Federal Reserve Notes (and, in a few cases, U.S. coins) used in circulation.
As of February 10, 2021, currency in circulation amounted to US$2.10 trillion, $2.05 trillion of which is in Federal Reserve Notes (the remaining $50 billion is in the form of coins and older-style United States Notes).

View More On Wikipedia.org
  1. I

    KQ kubinafsishwa kwa USD 1.2 Trillion

    https://www.instagram.com/p/DUpYJ_riN_I/?igsh=bWY2bWM5ZGRubDV0
  2. M

    Ina maaana hawajafanikiwa kujisafisha pamoja kwenda kwa Papa!

    Misaada imekatwa. Ina maaana hawajafanikiwa kujisafisha pamoja kwenda kwa Papa.
  3. PAYE

    Hakimi na Saibari wasimamishwa na CAF, Saibari atozwa Faini ya Tsh 255.5 Milioni

    Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limewasimamisha wachezaji wawili wa timu ya Taifa ya Morocco, Achraf Hakimi (mechi mbili) na Ismaël Saibari (mechi tatu) baada ya kuonesha tabia isiyo ya kiungwana wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya...
  4. thegreat1510

    Kama USD 1, ni sawa na 1,065,000.00 Iranian Rial , vipi nikinunua IRR 53,250,000.00 kwa USD50 tu kisha nikazihifadhi?

    Sina uzoefu sana na forex lakini naomba niulize wataalamu wa Jf Kama Kwasasa nikiwa na USD 1 naweza nunua 1,065,000.00 IRR. Hivyo nikiwa na laki moja tu ya kitanzania hio ni sawa na kama 50M ya Iran. Na ongezeko hili limetokea mapema tangu maandamano yaanze kwahio kama maandamano yakiisha...
  5. Pakome

    Kwenu TRA, StarLink ina kodi tamu, wahini mshiko haraka, Elon Musk analipa kodi nzuri tena kwa wakati na analipa in USD

    TRA msipitwe na gari la mshahara TRA kataeni siasa chukueni Pesa TRA mleteni mjomba StarLink msipoteze muda kwenye pesa Nchi zilizochelewa kuipokea zimegundua kuwa zilijikosesha mamilioni ya USD kwasababu Elon Musk analipa kodi kwa wakati na jambo kubwa zaidi hana longo longo kipengele mje...
  6. I

    Rwanda yalamba USD 228,000,000

    Marekani imeipatia Rwanda Dola milioni 228 kwa ajili ya kupambana na HIV pamoja na malaria. Pesa hizo ni sawa na Shilingi bilioni 600 za Kitanzania. Tuache kiburi. Tupo katika dunia inayotegemeana. Kila nchi inaitegemea nchi nyingine.
  7. BLACK MOVEMENT

    Kama unaweza anza kuhifadhi pesa kwa Pesa za kigeni kama USD au hata Ksh

    Wana ukumbi very soon tunaenda kushuhudia yale ya Zimbabwe verry soon. Kama unaweza hifadhi pesa kwa USD hata ikibidi Ksh, Mfano nawaza kuanza kuhifadhi kwa Ksh kuanzia sasa make niko jirani nao
  8. Dennis Robert Shughuru

    Kwa usd billion 5 tunajenga natural gas project (drilling) kubwa na tunaimudu kabisa-fahamu ecosystems yake

    Miaka 20 iliyopita Rais mkapa alifungua mlango kwa waekezaji wa madini kule kanda ya ziwa ila kwa masikitiko makubwa mpaka leo kuna umaskini wa kutisha wakazi wa kule hawaoni faida ya madini na yale makampuni- utakua upunguani kuwapa makampuni ya kigeni gesi yetu eti hatuwezi na tutakuwa...
  9. Dennis Robert Shughuru

    Ntatumia gesi asilia kupowered smelter na refining kwenye mpango wa kukusanya mapato ya usd billion 500+

    Moja ya changamoto ya watu wanaotaka hizi nafasi za uongozi kama Urais ni rahisi kuahidi mambo mengi sana mazuri ila changamoto inakuja kwenye fedha za kuyatimiza hayo mambo mazuri kedekede ni changamoto kubwa sana sababu wengi wanashindwa kuelezea ni kwa namna gani watapata fedha za kufinance...
  10. Dennis Robert Shughuru

    Space colonization ina market capitalization zaidi ya ONE QUADRILLION USD

    Hapa duniani hakuna industry ambayo imefikia market capitalization ya usd one quadrillion ni space colonization peke yake ndo ina-hiyo market capitalization na iko untapped kwa zaidi ya asilimia 90 Kuna watu wanasema wewe mtia nia wa urais wa Tanzania mbona hufocus na mambo kama huduma za...
  11. Lord Denning

    Kama Benki ya Dunia waliweza kufuta mkopo wa USD 150 Mil huko Ruaha, Tuwashawishi wafute na kuzuia mikopo yote mingine hadi reforms zifanyike.

    Mwezi April mwaka huu 2025, Benki ya Dunia walifuta mkopo wa kiasi cha shilingi Dola za Marekani Milioni 150 sawa na fedha za Kitanzania zaidi ya Bilioni 400 za mradi wa REGROW Mbuga ya Ruaha kutokana na hoja nzito zilizowasilishwa na Asasi za Kiraia kuhusu mradi huo kukiuka haki za binadamu...
  12. Dennis Robert Shughuru

    Gari jipya la umeme litakalotengenezwa Tanzania bei yake itaanzia usd 800 bei ya kiwandani kabla ya kodi

    Nikiwa Rais wa Tanzania kutaanzishwa mchakato mkubwa wa kuzalisha gari la umeme Tanzania Features za magari ya umeme yatakayozalishiwa Tanzania yatakayozalishiwa Tanzania life expectancy ya bodi ya gari miaka 40 life expectancy ya battery miaka 15 Life expectancy ya motor miaka 20 Battery...
  13. D

    USD dollar Leo imeweka record mpya kuwa juu tangu Tanzania kupata uhuru . usd ni 2705.49 /= . Highest since 1961 . Record mpya

    I will be short Today markes the highest record of usd to t shillings . Tanzania currency reaches lowest levels since independence . Marking the worst inflation since independence Leo shillings imekuwa taka taka . Anyway akikisha by the end of the year unalipwa kwa dollar . USIseme...
  14. Dennis Robert Shughuru

    Nimesononeshwa sana mpaka leo hii kama nchi tunatafuta mwekazaji wa usd million 27

    Nimeona habari kuna kampuni ya Australia imekuja kuwekeza kwa usd million 27 kwenye migodi ya madini kama nchi tubadilike
  15. Dalali_wa_kimataifa

    BEACH PR SALE,LOCATED AT KIZIMKAZI ZANZIBAR,PRICE USD 2.2MILLIONS,Area 80,000sqm. 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717

    👉🏾👉🏾BEACH PLOT ⛱️ FOR SALE 👉🏾A Bigger and Wonderful Beach Plot for sale at Kizimkazi Beach Zanzibar.* 👉🏾Nice sea view and Beach. 👉🏾The Home of the Dolphins in Zanzibar. Sun 🌞🌞 Set Beach. 👉🏾Nearly The Famous Big Hotels in Zanzibar. 👉🏾Plot size 200×400 Meters equal to Square meters...
  16. Kijakazi

    100 billion USD, Vietnam- USA trade deficit!

    Haya nchi ya Vietnam ambayo ilikuwa comminist kama sisi, masikini kama sisi leo hii ina trade deficit ya 100 billion dollars na USA, yaani vietnam ina export goods kwenda US zaidi ya USA inavyouza Vietnam, na tofauti ya hiyo import vs export ni 100 billion dollars US. Tofauti ya Tanzani na...
  17. Meneja Wa Makampuni

    Kima cha chini cha uwekezaji kwa wawekezaji wa wa kigeni nchini Tanzania ni Billioni 1.3

    Hivi kuna wawekezaji wakigeni waliopo Kariakoo mtaji wao unafika Billioni 1.3?? Ni swali.
  18. A

    DR Congo USD 5milion kutumtia nguvuni Nangaa achieni utani

    Eti
  19. The Assassin

    Mwaka 2023 Tanzania ilipata watalii 1.8M, USD3.37 Billion Mwaka 2024 Tanzania ilipata watalii 5.4M, USD 3.67 Billion

    Hizi taarifa za serikali naona kama zinanipa maswali mengi bila majibu. Mei 2024 aliekua waziri wa Utalii Angela Kairuki alisema kwa mwaka 2023 Tanzania ilipata watalii Milioni 1.8, ambayo ilikua ni ongezeko la 96% kulinganisha na watalii laki 9 wa mwaka 2021...
  20. BabaMorgan

    Kama unahisi bei ya nyama ipo juu basi waulize wakazi wa Switzerland USD 44 kwa kilogram 1.

    Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
Back
Top Bottom