usaliti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kisa cha Mary J. Blige: Usaliti na Mtego wa Fedha

    Katika umri wa miaka 47, akiwa anatakiwa kupumzika na kufurahia matunda ya jasho lake la zaidi ya miaka 20 kwenye muziki, Malkia wa Hip-Hop Soul, Mary J. Blige, alipanda jukwaani usiku na mchana kufanya ziara (tours) za kimataifa bila kupumzika. Lakini safari hii, hakuwa anafanya shoo hizo kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zari; kuchepuka kwa mwanaume asiyekuhudumia sio usaliti ni kujihami

    Mwanamama Zari Hassan (45), anayejulikana zaidi kama Zari The Boss Lady kutokea Uganda amezua mjadala mzito baada ya kudai kuwa kuchepuka kwa mpenzi wako asiyetoa msaada wa kifedha "siyo usaliti bali ni namna ya kujihami." Alizungumza hayo katika mahojiano na moja ya Podcast, alisema...
  3. B

    JamiiForums Tanzania DOKUMENTARI - Usaliti kwa MAGUFULI Hadi Saa Yake ya Mwisho

    02 Agosti 2026 Dokumentari - Usaliti kwa MAGUFULI Hadi Saa Yake ya Mwisho https://m.youtube.com/watch?v=de8Zv6MMh8c 🔴MUHTASARI WA VIDEO ▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬ Rais John Pombe Magufuli alikuwa nani, na ni nini hasa kilitokea katika siku za mwisho za maisha yake? Makala hii inachunguza maisha...
  4. JamiiForums Tanzania Je, hii inaweza kuwa ni dalili kwamba nasalitiwa?

    Wadau huyu shem wenu siku hizi akitoka kazini anarudi kaloana na inachukua muda kumkojoza aisee wataalamu hii imekaaje au nakula makombo?
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania si Kila kabila lifaa litoe viongozi wa juu, usaliti ni mwingi sana ongezeni upembuzi wa nani awe kiongozi wa juu

    Kuna wale ambao akishatenguliwa tu tayar anakuwa mpinzani...kabila lake halifai kuwa kiongozi. Kuna wale hawawezi kukaa na kitu moyoni yani hawana Siri...wakibainika kabila lake halifai kushika nyazifa za juu waishie kwenye uheadmaster. Kuna wale hawawezi kuwaheshimu viongozi waliojuu...
  6. JamiiForums Tanzania Kama usaliti usingekuwepo duniani basi maji yasingetumika kumpika samaki

    Samaki anakua kwenye maji tangu mdogo na ayo ayo maji yanatumika kumpika ,Maana yangu nini usimuamini kila mtu wengi wanaouza faili zetu ni wale tunaowaamini
  7. JamiiForums Tanzania Usaliti wa mapenzi unaumiza sana 🥹

    Usaliti wa mapenzi niliofanyiwa unanifanya nazidi kudhoofika sana, kuna muda nalia pekee yangu kuona wapi nilipokosea kwanini napitia kipindi hichi kigumu katika maisha yangu Sikuwahi kupitia kabla msongo wa mawazo niliokuwa nao hivi sasa eeh mwenyezi mungu ninusuru kwa haya ninayopitia...
  8. JamiiForums Tanzania Usaliti unamtia Dr. Bashiru kwenye lindi la msongo wa mawazo?

    Msikilize vizuri utagundua ana changamoto ya utimamu. Pale bungeni yupo mwili tu
  9. JamiiForums Tanzania Tamaa, Usaliti na Matokeo Yake Wanaume na Wanawake Wengi Wanaharibu Familia Zao Wenyewe

    Kuna wanaume Mungu kawajalia familia nzuri sana mke mwema, anayejitunza, anayeheshimu ndoa yake, anayekutii na kusimama kwenye nafasi yake kama mke. Pengine amekuzalia watoto na amekuwa nawe kipindi kigumu na chepesi. Lakini kutokana na tamaa, unaanza kuchezea amani ya familia yako mwenyewe...
  10. JamiiForums Tanzania Kiburi kimeua mahusiano ya watu wengi kuliko usaliti

    Mahusiano ya watu wengi yanakufa kwasababu ya kiburi , unakuta mtu anasema atanitafuta tu halafu mwisho wa siku imetoka hiyo , au mwengine anataka atafutwe yeye kwanza ana kiburi cha kujiona bora sana kuliko mwenzake sasa watu wengine hawana uvumilivu na watu wa aina hiyo anatafuta...
  11. JamiiForums Tanzania Diplomasia, Usaliti, na Usalama wa Barani Afrika

    Viongozi wa Afrika, jitahidini kuwa na majasusi wa kimkakati. Kuna ukoloni mamboleo unaorejea barani Afrika, ambapo baadhi ya viongozi wa ndani watatumika kuwasaliti na 'kuwauza' viongozi wenzao wa Kiafrika. Alloyce, P.R.
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake Nawakumbusha. Acheni Usaliti.

    Picha inajieleza. Sinaga maneno mengi kwenye hili. NB: Wanawake wote ambao ni wasaliti wote peponi mtaishia kupasikia tu. Yaan sio kabisa. Acheni usaliti.
  13. JamiiForums Tanzania Usaliti kumchomesha kumchoresha, kumuuza ndugu yako; Yuda Eskareote alimchomesha Yesu auawe

    Mtu akishakuwa msaliti once a coward always a coward,hafai kuaminika popote hata kwa familia yake hashindwi kumchomesha hata mwanafamilia yake hata kumuuza mke wake. Dhambi ya usaliti ni kama kula nyama ya mtu, ina laana ni roho ..inayokupelekea kusaliti tena ni roho chafu sana ya shetani ya...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Hoja za Heche zimejaa harufu ya usaliti. Haya yafanyike kabla ya kufanyika maridhiano yoyote yale

    Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote. Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania KIFO CHA GADDAFI: FUNZO LA USALITI NA UJINGA WA WAAFRICA ⚖️🔥

    Leo 2026, miaka mingi imepita tangu Muammar Gaddafi auawe kama mnyama mbele ya macho ya dunia. Waafrika wengi wanazungumza kwa hisia, lakini ukweli mchungu ni kwamba sisi wenyewe tulifungua milango kwa mabeberu ili waje kumuua ndugu yetu. 🟢 UPANDE WA PILI WA SARAFU: MEMA YA GADDAFI 🇱🇾✨ Hatuna...
  16. JamiiForums Tanzania Usaliti na uzalendo huwa sielewi niwelewesheni tafadhali

    Wanaotetea nchi yao wanaitwa majina, wachochezi, waliohongwa, wanaotumiwa na mabeberu, wahaini na kadhalika. Ajabu wanaiibiana kuiuza nchi wanajiita wazalendo,walinzi wa amani, na majina mengine mengi mazuri. Walioko nje wakilalamika wanaitwa mawakala wa mabwana zao. Serikali zikiishi kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume kama ulikuwa mbali na mkeo, katika kipindi hiki cha likizo fanya hivi

    December hii najua tulio wengi tupo nyumbani na familia zetu Nawajuza kama ulikua mbali na mkeo, chukua simu yake nenda kwenye blacklist. Angalia namba zilizopo huko Amini nakuambia utazikuta, baadhi itakua wanaomdai na zingine za wanaume wenzio Muwe na jumapili njema
  18. JamiiForums Tanzania Ukimya ni usaliti

    Labda ni mimi tu. Labda mimi ndo tatizo. Labda nina uwezo mdogo wa kuelewa mambo. Labda ni hivi au labda ni vile. Labda nategemea mambo flani flani toka kwa watu ambao sipaswi kutegemea chochote au lolote toka kwao. Kuna ukimya wa ajabu sana kutoka kwa baadhi ya watu na taasisi ambazo mtu...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 My side: Hali jinsi ilivyokuwa tarehe 29. Maandamano, usaliti, uhalifu na mauaji

    MY SIDE: HALI JINSI ILIVYOKUWA TAREHE 29. MAANDAMANO, USALITI, UHALIFU NA MAUAJI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kulikucha vizuri. Hali ya hewa ya jiji la Dar ilikuwa tulivu. 2. Saa moja unusu nilikuwa nje kijiwe ninapokaaga siku ya jumapili(offday) lakini siku hiyo ya jumatano...
  20. JamiiForums Tanzania Nimegundua mke wangu ananisaliti. Niko njia panda

    Wakuu habarini za siku nyingi, poleni sana kwa yaliyotokea. Kijana mwenzenu nilifunga ndoa mwaka 2021, lakini kutokana na mambo ya ajira mimi na mke wangu tunaishi mbali mbali. Hapo mwanzo sikuona changamoto yoyote, lakini baada ya miezi kama mitatu nikaanza kuona utofauti. Ukipiga simu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…