usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Aisee mimi nafikiri africa sio mazingira safi kwa mtu alie introvert. Utaanza kusemwa wewe ni usalama😁

    _Ooh anajifanya, _anatumia madawa yanayo mpa ganzi muda wote, _huyu ni spy huyu, _anajikuta wa maana hataki kuongea na watu,
  2. JamiiForums Tanzania Umeme na usalama wa nyumba, Kiwanda au mitambo yako

    ⚠️KWANINI UKATE TAMAA NA KUIONA KAZI YAKO CHUNGU? Umechoshwa na: ❌ Cable na Vifaa feki vinavyochelewesha kazi na kuhatarisha usalama site? ❌ MCB zinazokatika bila sababu? ❌ Wasambazaji wasio na uelewa wa kiufundi? ❌Kufanya Biashara na Watu Wasio Waaminifu? ✅SULUHISHO LIMEPATIKANA Rafiki...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Wakuu wa mikoa wapo ofisini hata baada ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa. Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume). Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Hali ya Watanzania kuishi kwa matumaini kuwa ipo siku watabutua kwenye kamari inatishia Usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa ni nyanja pana sana. Suala la ulinzi wa pesa za nchi na wananchi linapaswa kuwa sehemu ya mkakati wa Usalama wa Taifa. Watanzania kwa ujumla wao kila siku hupoteza mabilioni ya pesa kwenye kampuni za betting wakitarajia ipo siku watalala maskini na kuamka matajiri. Siku...
  5. JamiiForums Tanzania Brake fluid tester nzuri kwa usalama wa gari lako

    🔥 BRAKE FLUID TESTER – Chombo Muhimu kwa Gari Lako! 🔥 Epuka hatari barabarani! Hakikisha brake fluid yako iko salama kwa kutumia kifaa hiki rahisi na chenye uhakika. ✅ Inapima kiwango cha maji kwenye brake fluid ✅ Rahisi kutumia – weka tu na soma matokeo ✅ Inafaa kwa magari mengi (DOT3, DOT4...
  6. JamiiForums Tanzania Biashara holela shubiri kwa usalama Morogoro

    Machi mwaka 2019, maisha ya Bi. Mwajuma Rajabu mkazi wa Tubuyu, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro yalibadilika ghafla. Akiwa anauza samaki pamoja na wafanyabiashara wenzake pembeni ya barabara ya Boma, gari lililokuwa likipita lilipoteza mwelekeo na kuwavamia. Ajali hiyo ilimjeruhi vibaya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mapungufu: Tume kuwauliza Polisi na usalama nani ni watekaji na wauaji?

    Mapungufu: Tume kuwauliza Polisi na usalama nani ni watekaji na wauaji? wakati tunajua watekaji wa wanasiasa na wanaharakati ni Polisi na wauaji wa vijana October 29 ni polisi na usalama
  8. JamiiForums Tanzania TARSI endeleeni kutoa Mafunzo ya Usalama wa Miundombinu ya Barabara kwa Wahandisi: Prof. Shemdoe

    https://youtu.be/V8w-2LzbQSQ?si=EP9MVrdcvS8xs8jJ Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameishukuru na kuitaka taasisi ya Tanzania Road Safety Initiative (TARSI) kuendelea na utaratibu wa kutoa Mafunzo ya Usalama wa...
  9. JamiiForums Tanzania Kihongosi hujui sababu za Wananchi kuwachukia watumishi wa vyombo vya usalama?

    Kuna mahala nimesoma unalalamika kuwa kuna watu wanawachonganisha wana usalama na raia. Hivi ni kweli haujui yaliyotokea Oktoba 29 ni kovu ambalo halitafutika milelele? Vipi kuhusu wanaotekwa na kupotea au kuuliwa kama alivyoukiwa Mzeee Ali Kibao? Wewe unaona ni suala dogo? Leo hii akifa...
  10. JamiiForums Tanzania Kumiliki silaha za nyuklia ndio njia pekee ya kuihakikishia nchi yoyote usalama dunia

    Kama kuna jambo moja kubwa tulilojifunza kutoka vita ya Iran, vita ya Ukraine na kutekwa kwa Maduro, basi somo hilo ni, njia pekee ya kujihakikishia usalama kama nchi ni kumiliki silaha za nyuklia. Ni ukweli uliobayana kuwa kama huna mabomu ya nyuklia, pamoja na teknolojia ya kuweza kuyarusha...
  11. JamiiForums Tanzania U.S: Usalama wa taifa, FBI wakaa kikao cha dharura

    Hali ya usalama nchini Marekani leo, Aprili 3, 2026, imefikia hatua ya juu sana, na mikutano ya aina hii katika Ikulu ya White House inaashiria hali ya dharura ya kivita inayozidi kupamba moto. Ripoti za hivi punde zinaeleza kuwa Iran imedai kudungua ndege ya pili ya kivita ya Marekani aina...
  12. JamiiForums Tanzania Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka

    Kwa macho yangu Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka. Nina muomba kiongozi mwenye dhamana ya USALAMA ZANZIBAR awajibike ziende fenda za polisi kukamata wale vijana WOTE wenye tattoo na wanao vuta...
  13. JamiiForums Tanzania Shiriki Katika Kudumisha Ubora na Usalama wa JamiiForums, tumia REPORT button

    Wakuu, Salamu nyingi kwenu, wanachama (wana JF) na wageni wote mnaotembelea JamiiForums! Tunayo furaha kubwa kuendelea kuwa nanyi katika jukwaa hili muhimu ambalo limekuwa kitovu cha fikra, maarifa, na uhuru wa kutoa maoni kwa staha. Ili kuendelea kufurahia mijadala yenye tija na kuhakikisha...
  14. JamiiForums Tanzania BAKWATA: Pongezi za ziada ziende kwa vyombo vya ulinzi kuhakikisha Amani na Usalama vilirejea ndani ya muda mfupi Oktoba 29

    Katibu Mkuu wa Bakwata, Alhaj Nuhu Mruma, akizungumza kwenye Baraza la Idd el-Fitri leo tarehe 21 Machi, 2026 jijini Dar es Salaam.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Michezo ya akili: Wakati uvumi wa kifo cha Netanyahu ukienea, Israel imefanikiwa kuwaua Katibu wa Baraza la Usalama la Taifa la Iran na mkuu wa Basij

    Uvumi wa kifo cha Netanyahu ulipoanza, Israel waliona taarifa hizo zinaweza kutumika kwenye vita. hawakupoteza muda, waligeuza uvumi huo kuwa silaha, kama msemo wa Wazungu unavyosema “ukipewa malimao, tengeneza juice ya lemonade.” Kwa ustadi wa hali ya juu, walitumia taarifa hizo kama chambo na...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Iran Yalalamikia Baraza La Usalama, Yasema Mashambulizi ya Israel Labanon Yameua Wanadiplomasia Wake 4 Walioenda Kwa Mwaliko Mwaliko wa Lebanon

    Intelijensia ya Israel ni ya kushangaza. Fikiria wanadiplomasia wa Iran, kwa siri walulienda Lebanon, bila shaka, kukutana na Hezbolla, kabla hata ya kukutana, Israel ikawaua wote wanne. Pia Iran imelaumu Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kukaa kimya wakati nchi yake ikishambuliwa na Israel...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa huduma za ulinzi na usalama wa mali zako

    🔐 Je, unataka kuona kinachoendelea hata ukiwa mbali? 🔐 Epuka wizi na uharibifu wa mali zako. 🔐 Fuatilia biashara yako LIVE kupitia simu yako. Smart Eye Security Services tunakufungia: ✅ CCTV Camera Installation ✅ Electric Fence ✅ Gate Motor ✅ Alarm System ✅ Biometric Attendance ✅ Access Control...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Iran imetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kufanyia kikao cha dharura Baraza la Usalama.

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, leo alitaka mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuzuia kile ambacho Iran inakitaja kama mashambulizi ya anga yanayoendelea ya Israeli na Marekani. Amesema " Huu utakuwa mwisho wa taasisi za kimataifa." Vyanzo...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Qatar itaishambulia Iran kulinda Usalama wake.

    TAARIFA MPYA: Qatar imesema inahifadhi haki ya kujibu shambulio la Iran.
  20. O

    JamiiForums Tanzania Dubai: Falme za Kiarabu (UAE) kuishambulia Iran ili kulinda usalama wake

    TAARIFA MPYA: UAE imesema mabaki ya kombora la Iran yaliyoanguka yameangukia maeneo ya makazi jijini Abu Dhabi, na kwamba shambulio hilo limekiuka mamlaka yake ya kikatiba; UAE imehifadhi haki ya kujibu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…