usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mkuu Wa Usalama Israel Afutwa Kazi

    Baraza la Mawaziri la Israel limeadhimia kumfuta kazi Mkuu wa Usalama wa Taifa hilo Ronen Bar huku wananchi jijini Tel Aviv wakiandamana kupinga uamuzi huo. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliwasilisha pendekezo hilo kwenye baraza la mawaziri kwa madai kuwa Bar amekuwa akiendesha mambo...
  2. JamiiForums Tanzania Je, kama Simba wangeruhusiwa kufanya mazoezi, TPLB Ingeahirisha mchezo kisa usalama na rushwa?

    Kwa mujibu wa maelezo ya Bodi ya Ligi, Kwamba mchezo uliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa, Mbali na kwamba taarifa za kiusalama zilipaswa kutolewa mapema zaidi, Lakini mpaka kufikia masaa kadhaa kabla ya mchezo, Bodi ilisisitiza kwamba mchezo upo palepale, Kisha baada ya saa kadhaa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Kamati ya Ulinzi na Usalama inakutana na CCM pekee na si vyama vingine?

    Salaam Wakuu wa Mikoa na Wilaya ndio Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama. Ila kila siku naona wanahudhuria Vikao na Mikutano ya Kisiasa ya Chama cha Mapinduzi lakini si vyama vya Upinzani. Kwanini vyama vya Upinzani havishirikishwi kwenye vikao vya Ulinzi na Usalama wa Nchini? Je...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Google, kuinunua kampuni ya mayahudi ya WIZ inayohusika na usalama mitandaoni cybersecurity kwa rekodi ya kushangaza ya Dola bilioni 32

    Wadau hamjamboni nyote? Tukisema mayahudi wanazuoni akili kubwa sana msibishe Kampuni mama ya Google, Alphabet, imekubali kununua kampuni ya usalama wa mtandao Wiz, iliyoanzishwa Israel, kwa kiasi cha dola bilioni 32, kwa mujibu wa ripoti ya Financial Times. Hii ni dili kubwa zaidi katika...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya Tishio la Marekani Kuiadhibu, Iran Yajitetea Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Baada ya Rais Trump kutoa onyo kwa Iran kuwa mashambulio ya Houthis wa Yemen dhidi ya meli za kiraia yanasaidiwa na Iran, kwa Iran kwa Serikali ya Iran kuwapa Houthis makombora, drones na taarifa za kiintelijensia, na kwamba kuanzia sasa kombora lolote lirakalorushwa na Houthis, Iran inalipa...
  6. JamiiForums Tanzania Mkuu wa usalama wa Houthi auawa kwenye mashambulizi yanayofanywa na Marekani

    Mkuuu wa usalama wa magaidi ya Houthi wenye mlengo wa uislamu ameuawa, huko alipo anafaidi yale mavitu huaminishana.... The chief of the Houthi leader's security detail was reportedly killed during a US strike on Houthi targets in Yemen, according to Israeli media, citing a Saudi report on...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya Vyama vya Ukombozi kuziharibu nchi zao kwa kuingiza siasa kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Kagame avifundisha nini maana ya Uongozi!

    Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya. Baada ya kuingia siasa za ushindani kusini mwa Bara la Afrika, Vyama vinavyofahamika kama vyama vya ukombozi ambavyo vingi vinatawala nchi za...
  8. JamiiForums Tanzania Kilio Cha Wananchi : Changamoto za kukosekana kwa usalama wa Raia na Mali zao, Kuelekea uchaguzi mkuu, Njia panda ya Himo Wilaya ya Moshi- Kiliman

    Utangulizi Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka, wezi, na wanyang’anyi wamekuwa kero ya kimataifa. Hali hii imesababisha wananchi kutokuwa na amani...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa Asasi ya Ulinzi na Usalama SADC kwa njia ya mtandao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kwa njia ya Mtandao pamoja na viongozi...
  10. JamiiForums Tanzania Dada Maria Sarungi Watanzania tunajuana kwa Mambo yetu, ila hatujafikia Kuhatarishiana Usalama pale tunapopatwa na Misiba. Umekosea sana Dada..!!

    Mwanaharakati Maria Sarungi ambaye ni Mtoto wa marehemu Prof. Philemon Sarungi amesema miongoni mwa sababu iliyomfanya kushindwa kuhudhuria mazishi ya baba yake ni pamoja na Suala zima la Usalama wake. Maria amesema hayo leo Machi 10, 2025 wakati alipotoa salaam kwa njia ya mtandao wakati wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuvuruga derby ya Simba na Yanga ni kuvuruga usalama wa Taifa na kuhujumu juhudi za Rais.

    Rais Samia amebadilisha uelekeo wa soka letu kwa kutia juhudi binafsi kusuma michezo Tanzania. Hakuna asiyefahamu kuwa watu wa taifa letu wamegawanyika kwenye ushabiki wa simba na yanga kwa mamilioni. Mtu kuahirisha mechi ya simba na yanga bila shaka anadhamiria yatokee mambo mabaya sana kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania na EU kuendelea kushirikiana kuimarisha amani na usalama Maziwa Makuu

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya katika Ukanda wa Maziwa Makuu, Bw. Johan Borgstam, katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam. Katika mazungmzo yao Viongozi...
  13. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake “Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aongoza Mkutano wa dharura wa Kamati ya Mawaziri wa SADC

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Utatu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) *ulio*fanyika kwa njia ya mtandao kujadili hali ya usalama...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi wakala wa afya na usalama mahali pa kazi (OSHA) huwa wanakagua

    OSHA ni Wakala wa Serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu , Idara ya Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu. Wajibu wake ni kuwalinda wafanyakazi dhidi ya vihatarishi vilivyopo au vinavyojitokeza katika sehemu za kazi ambavyo vinaweza kusababisha Magonjwa, Ajali na hata Vifo. OSHA inatekeleza...
  16. JamiiForums Tanzania Dar: Askari wa Usalama Barabarani kagongwa na kupoteza maisha

    Habari Mbaya sana. Askari Polisi wa Uslama Barabarani kagongwa huko Gongo la Mboto na kupoteza maisha hapo hapo barabarani. Picha haitazamiki mara mbili kwani Ubongo upo nje. Huwa aka yake anaitwa Mzee wa Busara. Taarifa kamili watatoa polisi wenyewe. Apumzike kwa amani.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wewe

    Idara ya Usalama na Idara ya Uhamiaji ili upate Ajira lazima awepo mtu Mwenye Uhusiano na wew wowote kwa Sababu kulinda kuzuia Mamluki Tofauuti na Idara na majeshi Mengine
  18. JamiiForums Tanzania Kariakoo derby kupigwa Saa 1:15 usiku jumamosi, TFF wamezingatia kweli Usalama wa mashabiki?

    Mechi ya watani Simba Vs Yanga itapigwa saa 1:15 usiku kutokana na sababu za mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Mechi ikianza Saa 1:15 maana yake itaisha saa 3:00 usiku Vipi usalama kwa mashabiki watakaojitokeza na ambao wengine huambatana na familia zao, TFF wamezingatia kweli suala la usalama?
  19. JamiiForums Tanzania Masaa 24 biashara Kariakoo, hali ya usalama mitaani wanakotoka wateja inaruhusu?

    Mitaa yetu ina giza nene totoro na vibaka wengi sana, na wakati mwingine hakuna umeme kabisa. Ni jambo jema sana biashara kariakoo masaa 24, itasaidia kuchechemua uchumi wa watu, familia, jiji na taifa kwa ujumla. Usalama Kariakoo umeimarishwa kwa kufunga taa, kamera na kuwa na walinzi wa watu...
  20. JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi Jacob Mkunda akutana na mkuu wa mkoa wa Ruvuma na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ulinzi na Usalama

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abass ofisini kwake na kufanya mazungumzo na Kamati ya Ulinzi na Usalama Leo tarehe 27 Februari 2025. Katika mazungumzo yao Jenerali Mkunda amempongeza Mkuu wa Mkoa pamoja na Kamati yaUlinzi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…