usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kukutana na Trekta, Guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda inayohatarisha usalama wa barabarani?

    FUNGUKA! Huenda safari zako nyingi ni za usiku. 1. Je, uliwahi kukutana na Trekta, Guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda ambayo inahatarisha usalama wa barabarani? 2. Taja wilaya/mkoa, au eneo lolote lenye changamoto ya wingi wa matrekta, guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda ambayo...
  2. Tman900

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa mnatuatilia maoni ya watanzania kuhusu Uchaguzi?

    Swali huwa najiuliza toka Miaka mingi Hivi Usalama wa Taifa huwa wanasoma Comment za watu Katika Mitandao ya kijamii, kuhusu comment za Raia wanavyouona Uchaguzi ktk Nchi ya Tanzania. Je Wao kama Usalama wa Taifa wanaona Nini kimo ndani ya miyoyo na uelewa wa Tanzania.
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima ahimiza Serikali za Mitaa kuimarisha ulinzi na usalama kwa mtoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema serikali za mitaa ni kitovu cha utekelezaji wa mikakati ya ulinzi na usalama wa mtoto iwapo jamii itatoa taarifa kwa wakati kuhusu changamoto za kifamilia ambazo ni tishio kwa ustawi wa watoto Ili wataalamu wa ustawi wa jamii kwenye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Moto ni Moto tu, Yeyote Anayetaka Kuhatarisha Usalama wa Nchi Shughulika Nao

    Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada. Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua usalama wa fedha za mwekezaji wa UTT pamoja na uhakika wa faida

    Wakuu wasalaamu, naomba niulize kuhusu usalama wa kuwekeza fedha katika mfuko wa uwekezaji(UTT), vipi bei za vipande zikishuka, hutopata hasara? Hakuna member hata mmoja humu aliyewahi kukumbana na kadhia ya hasara kutokana na kushuka kwa bei za vipande? Au ni changamoto gani mliyokumbana...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mh. Rais: Ombi la Haraka kwa Mh. Rais la kulinda Usalama wa Raia na Mali zao Jijini Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya. Hali hii ya kutisha inahitaji hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TUNDU LISSU dhidi ya CCM +Mbowe+Chawa wa Mbowe +Vyombo vya Usalama Nchini !!.Nyuma ya Lissu Kuna nguvu ya KIUNGU !!.

    Ukiwa Hauna D mbili, unaweza kushupaza Shingo tu na kumchukulia LISSU kama mtu wa kawaida sana . Sasa Iko hivi, Mungu muumbaji humtegemeza MTU mwenye HAKI , Kwa Mungu ukiwa mwenyé HAKI na Usokua na MAWAA utatengenezwa kua Very powerful kuliko kitu chochote kile. Silaha pekee alizonazo LISSU...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Maadui wa Israel popote hawana usalama

    Maadui wa Israeli hawako salama popote. Kiongozi wa Namba 1 wa Hamas, Sinwar, aliangamizwa Gaza 🇵🇸. Kiongozi wa namba 2 wa Hamas, Haniyeh, aliangamizwa Iran 🇮🇷. Kiongozi nambari 1 wa Hezbollah, Nasrallah, aliondolewa nchini Lebanon 🇨🇦. Israeli itaendelea kuwawinda magaidi popote walipo!!
  9. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Chombo cha usafiri kutembea bila taa usiku, je ni salama?

    Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya usalama vikiweka uzalendo Tanzania itabadilika

    Vyombo vya kiusalama vikianza kufanya kazi kwa viapo vyao na sio kusaidia chama chochote hii nchi itabadilika. Malawi , Kenya, na Zambia vyombo vya usalama vilikataa kuiba kura ndiyo mabadiliko yakaja 1. Wafuate viapo vyao 2. Walinde wananchi, haki, kura, na chaguzi huru 3. Wasitumike kwenye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Majengo ya Skuli ya Msingi Mchangamdogo - Pemba yanahatarisha usalama wa Walimu na Wanafunzi

    Nimepita katika mitaa ya karibu na ndugu zangu, nilichokiona kilinipa masikitiko, kuna baadhi ya majengo la Skuli ya Msingi Mchangamdogo iliyopo Wilaya wa Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba sio salama kwa matumizi. Wazazi pamoja na Walimu wa skuli hiyo wamekuwa wakilalamikia juu ubovu wa madarasa ya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nitashangaa ikiwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vitaliacha hili jambo lipite bila kuchukua hatua. Tunakoelekea sio kuzuri

    Habari zinazosambaa mitandaoni zinatisha. Kama ni za kweli au la hilo tuliache kwa vyombo vyenye mamlaka. Imefika mahali Watu wanashirikiana na watu wasiolitakia mema Tanzania kutia hofu, kuleta taharuki na vurugu. Hii yoote ni kwa sababu gani? Kwanini chama cha siasa kisitumie mbinu zake za...
  13. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latolea ufafanuzi tahadhari ya usalama iliyotolewa maeneo ya Pwani, Kisiju, wasema nchi ipo salama

    Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Msemaji wake, Limetoa taarifa kwa umma likiwasihi wananchi wake kuendelea kufanya shughuli zao kwa amani utulivu huku likiwahakikishia kwamba nchi ipo salama. Aidha katika taarifa hiyo hiyo jeshi limeutaarfu umma kwamba bado linashirikiana na vyombo vingine vya...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mkuu Wa Usalama Israel Afutwa Kazi

    Baraza la Mawaziri la Israel limeadhimia kumfuta kazi Mkuu wa Usalama wa Taifa hilo Ronen Bar huku wananchi jijini Tel Aviv wakiandamana kupinga uamuzi huo. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aliwasilisha pendekezo hilo kwenye baraza la mawaziri kwa madai kuwa Bar amekuwa akiendesha mambo...
  15. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Je, kama Simba wangeruhusiwa kufanya mazoezi, TPLB Ingeahirisha mchezo kisa usalama na rushwa?

    Kwa mujibu wa maelezo ya Bodi ya Ligi, Kwamba mchezo uliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa, Mbali na kwamba taarifa za kiusalama zilipaswa kutolewa mapema zaidi, Lakini mpaka kufikia masaa kadhaa kabla ya mchezo, Bodi ilisisitiza kwamba mchezo upo palepale, Kisha baada ya saa kadhaa...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kamati ya Ulinzi na Usalama inakutana na CCM pekee na si vyama vingine?

    Salaam Wakuu wa Mikoa na Wilaya ndio Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama. Ila kila siku naona wanahudhuria Vikao na Mikutano ya Kisiasa ya Chama cha Mapinduzi lakini si vyama vya Upinzani. Kwanini vyama vya Upinzani havishirikishwi kwenye vikao vya Ulinzi na Usalama wa Nchini? Je...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Google, kuinunua kampuni ya mayahudi ya WIZ inayohusika na usalama mitandaoni cybersecurity kwa rekodi ya kushangaza ya Dola bilioni 32

    Wadau hamjamboni nyote? Tukisema mayahudi wanazuoni akili kubwa sana msibishe Kampuni mama ya Google, Alphabet, imekubali kununua kampuni ya usalama wa mtandao Wiz, iliyoanzishwa Israel, kwa kiasi cha dola bilioni 32, kwa mujibu wa ripoti ya Financial Times. Hii ni dili kubwa zaidi katika...
  18. Bams

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tishio la Marekani Kuiadhibu, Iran Yajitetea Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Baada ya Rais Trump kutoa onyo kwa Iran kuwa mashambulio ya Houthis wa Yemen dhidi ya meli za kiraia yanasaidiwa na Iran, kwa Iran kwa Serikali ya Iran kuwapa Houthis makombora, drones na taarifa za kiintelijensia, na kwamba kuanzia sasa kombora lolote lirakalorushwa na Houthis, Iran inalipa...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa usalama wa Houthi auawa kwenye mashambulizi yanayofanywa na Marekani

    Mkuuu wa usalama wa magaidi ya Houthi wenye mlengo wa uislamu ameuawa, huko alipo anafaidi yale mavitu huaminishana.... The chief of the Houthi leader's security detail was reportedly killed during a US strike on Houthi targets in Yemen, according to Israeli media, citing a Saudi report on...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Baada ya Vyama vya Ukombozi kuziharibu nchi zao kwa kuingiza siasa kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Kagame avifundisha nini maana ya Uongozi!

    Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya. Baada ya kuingia siasa za ushindani kusini mwa Bara la Afrika, Vyama vinavyofahamika kama vyama vya ukombozi ambavyo vingi vinatawala nchi za...
Back
Top Bottom