usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Bashungwa: Puuzieni taarifa zinazolenga kuleta taharuki, Polisi watachukua hatua kwa wanaotishia usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amevihimiza Vyama vya Siasa pamoja na Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani kunadi sera zao kwa Wananchi bila kutumia lugha ya matusi au kuanzisha vurugu zinazoweza kuhatarisha amani, pia amewasisitiza Wananchi kushiriki katika shughuli za...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimeitwa TRA. Usalama upo kweli?

    Nimepigiwa simu TRA wananiita. Namba ya simu ni ya kawaida. Je uzima upo? Sehemu niliyo itwa ni tofauti na kituo changu cha Kodi.. Usalama upo kweli? N. B : Mimi sio mfanyabiashara mkubwa wala wa Kati.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama viwe makini sana na hawa wahuni wa Chadema kwani wana nia ovu ya kuchafua amani na utulivu wa Nchi yetu

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema. Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu wa idara za afya na vyombo vya ulinzi na usalama

    Kuna nafasi za ajira jeshi la Magereza zimetoka na nna mdogo wa kwa upande wa mama wa kambo anataka kuomba,lakini yeye ana changamoto ya kuishi na Virusi vya ukimwi. Je kwa mwenye uzoefu anijuze ; inawezakana akapata nafasi endapo vigezo vyote anavyo isipokua hapo kwenye suala la afya ambalo...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kweli hali ya usalama Washington DC ni mbaya kiasi cha kuhitaji Trump kuwapelekea jeshi mitaani kama alivyofanya?

    Mlioko Marekani hali usalama Washington DC ilikuwa inahitaji Trump kuwapelekea raia wa huko wanajeshi na magari ya kivita kama alivyofanya?
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia kumbe iliwafunga Kimyakimya Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Gerezani Kwa sababu tu Walihamasisha Ndugu zao wasikubali kuhamishwa

    Wakuu huyu mama ni Katili sana haijapata Kutokea !!. Kumbe Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Eneo la Ngorongoro, walikamatwa Kwa Nyakati tofauti tofauti majira ya Usiku, na Kusafirishwa kimya kimya mpaka Gereza la Kisongo Arusha ambapo walikaa Jela hiyo Kwa miezi zaidi ya Sita. Yaani ni...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania tunaomba kujua ni wapi alipo baba yetu mkuu wa usalama wa taifa seleman mombo DIGS

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana Mkuu wa usalama wa taifa siyo mali ya kikundi flan cha watu bali ni mali ya watanzania wote Kwa kuwa ni mali ya watanzania wote bas tunaomba kujua ni wapi alipo huyu baba yetu kipenz mzee seleman mombo Asanten sana LONDON BOY
  8. J

    JamiiForums Tanzania DC Shaka: Usalama ni nguzo ya maendeleo

    PICHA: Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka akikagua gwaride la Amani. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka leo amehitimisha na kufunga mafunzo ya wiki miezi 4 ya askari 114 mkupuo wa 20 wa jeshi la Akiba yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Mvumi. Akizungumza na...
  9. JamiiForums Tanzania Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

    GT Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM. Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ikanushe taarifa za taharuki kuhusu mkurugenzi wetu wa idara ya Usalama wa Taifa

    Huko x na instagram kuna watu wanashangikia kifo cha mkurugenzi wa kitengo. Nadhani serikali inapaswa kukanusha ili kuondoa taharuki. Pia wanao shangilia wajitahidi kuzuia furaha yao maana huo si utamaduni wetu. By Ponjoro wa Kinondoni Kwasasa safarini kizimkazi.
  11. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere na Chahali kushtumiana usalama

    Ila hawa matapeli wawili wanafurahisha. Bandugu hakuna usalama anaejianika kwamba ni usalama chahali ni tapeli… Ukiona mtu anajianika kwamba ni usalama elewa kwamba huyo ni kishoka tu, mana ukijianika tu ndo mwisho wako, watu wa usalama wanapigwa vita sababu watu hawajui wanaripoti kwa nani...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kinachoharibu taasisi za Usalama wa Taifa na Polisi ni waajiriwa wengi wa "connection" ambao loyalty yao iko kwa wale waliowaunganisha kupata kazi

    Ni lini uliona tangazo la serikali la nafasi za kazi idara ya Usalama wa Taifa? Au ni lini uliona mtu wa kawaida asie na connection yeyote na viongozi wa juu nchini anatamani kufanya kazi Uslama wa Taifa na akanikiwa katika tamanio lake? Labda ni zile enzi za Nyerere, ambapo wafanyakazi wa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi kufanya mkutano mkuu wa mwaka Agosti 11 hadi 15 Kuweka mikakati na kuimarisha usalama nchini kuelekea uchaguzi mkuu

    Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, leo Agosti 11 atafungua mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi. Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime, amesema kuwa mkutano huo utafunguliwa Agosti 11 na utafanyika hadi Agosti 15, 2025 na...
  14. JamiiForums Tanzania Usalama wa Watoto/Mke wa Polepole upoje?

    Mbali ya usalama wa Huyu mwanaharakati je usalama wa familia yake (watoto/mke) upoje? Umma usije ukawadhuru. Tuungane kuwatambua walipo na kuwalinda na maadui
  15. JamiiForums Tanzania Heche ametweet kuwa hali ya usalama wa Lissu huko Ukonga, Serikali itawajibika. Je, kapatwa na nini?

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani Twitter
  16. JamiiForums Tanzania TFF yapigwa Rungu na CAF kulipa faini ya USD 10,000 kwa Kuvunja Taratibu za Usalama mechi dhidi ya Burkina Faso

    Bodi ya Nidhamu ya CAF imefungulia mashitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuvunja masharti ya Usalama na Ulinzi kama yalivyoainishwa katika Kanuni za Nidhamu za CAF, Ibara ya 82 na 83, pamoja na Ibara ya 24 na 28 za Kanuni za Usalama na Ulinzi za CAF. Mashitaka hayo...
  17. JamiiForums Tanzania DC Dodoma atembelea banda la MOI Nanenane, atoa wito ushirikiano katika Elimu ya Usalama Barabarani.

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaj. Jabir Shekimweri ametembelea banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane' yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, ambapo ametoa wito kwa taasisi hiyo kushirikiana na taasisi nyingine na...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Israel afanya sala katika eneo takatifu la al-Aqsa. Awaudhi Wapalestina

    Waziri wa Usalama wa Israel, Itamar Ben-Gvir ametembelea eneo la Msikiti wa al-Aqsa mjini Jerusalem na kusali huko, na kukiuka mpango wa miongo kadhaa unaohusu mojawapo ya maeneo nyeti zaidi katika Mashariki ya Kati. Picha na video za ziara yake zinaonyesha Ben-Gvir akiongoza maombi ya Kiyahudi...
  19. JamiiForums Tanzania Kamera za Usalama kufungwa daraja la J.P.Magufuli

    Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imepanga kufunga kamera maalum za usalama (CCTV) katika Daraja la J.P. Magufuli linalounganisha Kigongo na Busisi, mkoani Mwanza, ili kuhakikisha daraja hilo linalindwa ipasavyo na kudumu kwa muda mrefu kwa manufaa ya taifa. Hayo...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

    Yanayoendelea ndani ya CCM kwa sasa yanatia wasiwasi. Kumekuwa na taarifa za vurugu, vitisho, na migogoro ya ndani ambayo inapaswa kutazamwa kwa jicho la tahadhari na huruma kwa mustakabali wa demokrasia yetu. Nashukuru sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa maono ya mbali – kama hali ndani ya chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…