usahili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Msaada wa aina ya maswali wanayouliza usaili wa Uhamiaji

    Wakuu wadogo zenu tumeitwa usahili wa uhamiaji tunaomba mwongozo muliowai kupita au mupo kweny taasisi ya uhamiaji
  2. G

    Majina ya usahili Uhamiaji tayari?

    Wakuu kuna yoyote anayefahamu mchakato wa usahili wa uhamiaji anijuze nasikia majina yametoka
  3. G

    Mliowahi kupita kwenye idara ya Uhamiaji na Magereza tunaomba uzoefu wenu

    Wakuu wadogo zenu tupo kwenye usaili idara za usalama kipindi hichi. Tunaomba muongozo muliwahi kupita au mpo kwenye idara hizi, tunafahamu kuna undugu kwenye taasisi za usalama lakini hatuchoki kuomba msitukatishe tamaa.
  4. D

    Kuna ukweli kuhusu SMS ya usahili kutoka KCB?

    Habari, Je, kuna ukweli wowote kuhusiana na sms iliyotumwa tarehe 22/08/2023 kuhusiana na usahili? sms inasomeka hivi: "Tafadhali fika VETA Chang'ombe kwa usahili tarehe 25/08/2023 saa moja asubuhi ukiwa na kitambulisho kati ya hivi, NIDA/mpiga kura/leseni ya udereva/barua ya serikali ya mtaa...
  5. genius mvivu

    Daah watoto wa masikini tunaendelea kukamuliwa visenti vyetu kwenye usahili na maombi ya ajira ambazo hatuna uhakika wakupata

    Habari ndugu wana JF leo hii niko hapa kuilalamikia serikali na sekta zingine binafsi juu ya hela tunazokamuliwa watoto wa wakulima pindi tunapofanya maombi ya kazi na kufuatilia masuala ya usahili...mimi mwenyewe nikiwa muhanga wa kadhia hii nakumbuka mwaka juzi nikiwa mkoani yalitoka maombi ya...
  6. Wanjax jr

    Majibu ya usahili wa kada mbalimbali Tengeru Institute of community development Yalishatoka?

    Habari zenu wanajamvini, Naomba kuuliza kuhusiana na matokeo ya usahili wa mahojiano ilifanyika tarehe 19/09/2022 chuo Cha Tengeru Institute of community development kwa kada mbali mbali, je majibu yameshatoka toka utumishi? Na waliofanikiwa kupata NAFASI je wameitwa kwa simu au Bado...
  7. Gavano23

    Usahili Tutorial Assistant-ICT

    Ndugu ambae amewahi kuhudhuria intervew ya tutorial assistant kada ya ICT naomba anisaidie sample ya maswali written na oral pia...shukran
  8. Jorge WIP

    Usahili: Tutorial Assistant, Kuna baadhi ya mambo kuhusu written interview ningependa kufahamishwa

    Habari za wakati huu my virtual family JF Nikienda moja kwa moja kwenye mada nina interview hivi karibuni ya TA(Tutorial Assistant) katika institute X kwahiyo naomba kufahamishwa kuwa hizi interview zinakuwa vipi. Accounting & Finance Hasa nazungumzia written tunayoanza nayo na oral pia...
  9. Uponyaji na uzima

    Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya

    Nimehudhuria usaili kadhaa wa utumishi kwa kazi nilizoomba kupitia ajira portal wiki hii. Ni kazi za ICT officers. Kwenye mchujo (written interview) wanauliza maswali ambayo ni ya wanafunzi, yale maswali yanayohusisha kukariri vitu vingi na terminologies.
  10. P

    Usaili wa kazi za Ubalozi wa Marekani hukuchua muda gani kuitwa?

    Wakuu samahani, Naomba kufahamu usahili wa kazi kwenye Ubalozi wa Marekani huwa inachukuwa muda gani mpaka kuitwa huko
  11. swaki

    Utumishi wamesitisha kuita watu kwenye usaili?

    Kuna kazi Utumishi walitangaza kwanzia mwezi wa nne na nyingine mwezi wa tano ila sasa tupo wa nane na bado hawajita watu kwenye usahili.
  12. K

    Madudu kwenye usaili wa sensa

    Wiki iliyoisha tulikamilisha usahili wa sensa lakini Kuna maajabu ambayo mimi niliyashuhudia kwa macho yangu kwenye majina ya sensa yaliyotoka yalikuwa Kama 38 kata nzima wakati tunaelekea kumaliza zoezi la sensa ghafla likaibuka kundi la walimu wa shule jirani na ofisi ya kata ambapo tulikuwa...
  13. John Gregory

    Possible za usahili msimamizi wa TEHAMA

    Wakuu habari, Nimeanzisha huu uzi nikitambua kuwa wapo ambao wameshafanyiwa usahili katika nafasi hii ya msimamizi wa TEHAMA katika ajira za muda za sensa zilizotangazwa. Hivyo naomba msikunje mioyo wandugu, Tuambizane yaliyojiri huko! Ahsanteni
  14. S

    Mrejesho wa usahili wa TANROADS Songea kitengo cha mizani

    Habari wakuu samahani nilikua nauliza kuna mtu yeyote aliyepigiwa simu baada kufanya oral interview ya tar 18/5 mwaka huu
  15. Ahmed Saidi

    Usahili wa Tutorial Assistants katika sekta ya Elimu

    Habari za muda huu wapendwa, poleni na majukumu mbalimbali katika kulijenga taifa letu. Lengo la uzi huu ni kujuzana ni maswali ya namna gani yanaulizwa katika interviews za tutorial assistant kwa sekta ya Elimu. Kama ulishawahi kufanya interview utumishi na ukafaulu au vinginevyo basi...
  16. Profesaa

    Je, majina ya nafasi za kazi za TRA yameshatoka?

    Wapendwa samahani sana, Naomba kufahamu kuhusu zile nafasi za kazi kwa wake waliotuma maombi Aprili 2022, ni kweli majina yalishatoka? Usahili tayari umefanyika na wameingizwa kazini?
  17. Mundana

    Usahili Utumishi zitumike lugha zote

    Habari Za Mchana, Poleni na majukumu na mihangiko ya Kila Siku na Kwa wale watakaofanya Usahili kesho niwatakie Usahili Mwema. Sasa nirudi Kwenye topic, hili suala nimekua nikiliangalia Sana kwenye Usahili ukienda lugha inayotumika kuwasahili ni kiingereza. Hivi wanavyofanya hawatendi haki...
  18. C

    Safiri Kwenda kwenye usahili wa TRA (UDOM) Dodoma na kurudi DAR kwa Coaster Mpya

    Kwa wanaohitaji usafiri wa kwenda kwenye usahili wa UTUMISHI (TRA) DODOMA nakurudi DAR tafadhali wasiliana nasi mapema 0719250926 fanya BOOKING mapema nafasi zimebaki chache
  19. Frustration

    Nipo live eneo la usahili anwani za makazi na postikodi

    Wakuu kama mada hapo juu. Tumefika saa mbili lakini zoezi linaendelea hadi mda huu. Wanataka imei number na wamesisitiza hawataki simu za shangazi uje nayo leo na siku za kazi unakuja nq samsung yako s2. Uhakika wa chaji kutunza ndio msingi wa zoezi
  20. Deeboyfrexh

    Tetesi kuwa kuna 15,000+ wahitimu wa kwenda kwenye usahili wa PCCCB

    Kama hili nililosikia lina ukweli basi hali ni tete sana katika utaratibu wa ajira sahizi. Imagine nafasi ziko 350 tu ila raia wanaowania kinyanganyiro wanakaribua 20K.. Niwatakie kila la heri wadogo zangu najua sio kosa lenu ila ndio hali ya maisha ilipofikia hapo! Wale wenye uwezo msisite...
Back
Top Bottom