usafi

The United States Armed Forces Institute (USAFI) was an educational organization that was part of the United States Armed Forces. It was founded in April 1942, as the Army Institute.Between 1942 and 1974, the USAFI provided education opportunities which included the GED, general examinations at the college level and USAFI Courses to service members in the continental United States, Caribbean, Europe, Hawaii and Japan.The headquarters of the USAFI was in Madison, Wisconsin, at 102 North Hamilton Street.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    SoC02 Uhusiano kati ya usafi wa mazingira na maendeleo

    Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka mfano miti,mito,miamba,hewa safi. Utunzaji wa mazingira ni kitendo kinachohusisha uhifadhi wa mazingira asilia,kuyalinda yasiharibike kutokana na shughuli za kibinadamu mfano utupaji hovyo wa Taka. Usafi wa mazingira Inauhusiano mkubwa sana katika...
  2. M

    Wafanya Usafi Asubuhi; Barabara ya Kinondoni

    Wasalaam wana JF, Kwanza niwasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Kazi iendelee!!!!), ndugu yenu nimekuwa nikipita kusoma comments kwa muda mrefu sasa, sijafungua uzi takribani miaka 8 sasa, lakini kama kichwa kinavyo jinasibu hapo juu imenibidi, Hii barabara ya Kinondoni...
  3. Usafi wa choo ni muhimu, Yafanye matumizi yake kuwa salama kwako na kwa wengine

    Choo ni moja kati ya sehemu muhimu katika makazi yoyote ya watu iwe nyumbani, Ofisini, sehemu ya biashara na maeneo mengine. Choo huweza kutumika kibinafsi (privately) au kijumuiya (Publicly) kutegemeana na eneo husika. Choo kinapotumika kibinafsi shida na changamoto inakuwa sio kubwa...
  4. K

    Usafi ni utamaduni sio umasikini au utajiri

    Nikuwa kwenye boma la familia yangu huko Ununio nikajiuliza. Kwanini kuna uchafu wa mazingira wakati watu wana uwezo? Ukweli ni kwamba usafi ni utamaduni na sio uwezo au hata siasa. Usafi inabidi uwe utaratibu. Hata kwenye familia yangu binafsi kwenye hilo hilo boma moja kuna familia moja kati...
  5. Ni usafi mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa na kisha kutawadha baada kumaliza

    Unless unakojoa polini kwenye majani, sehemu yene mchanga mwingi au vile vyoo special vya juu hasa vinavyokuaga stand za mabasi au vyoo vya kulipia au vile vya shimo la moja kwa moja unaweza ukasimama, ila hivi vyoo vya sink na kwengineko ni uchafu mwanaume kukojoa umesemama. Ukikojoa kwa...
  6. Usafi waanza kufanyika Soko la Kawe baada ya uchafu kukithiri kutokana na mvua

    Baada ya Jamii Forums kuripoti kuhusu Soko la Kawe kuwa chafu kutokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni Jijini Dar es Salaam, mamlaka zimeanza kuchukua hatua ya kufanya usafi sokoni hapo. Barabara ya kuelekea sokoni hapo imeanza kufanyiwa marekebisho ya kuwekewa vifusi, ambapo awali kulikuwa...
  7. Mapokezi kesho Arusha: Watu wanalazimishwa kufanya usafi

    Hiyo Kesho shamra shamra za kuzindua Filamu Arusha. Watu wanalazimishwa kutoka na kufanya usafi mitaani. Kama ni udikteta ndio huu.
  8. Tunatoa huduma bora za usafi aina zote, fumigation na gardening: Karibuni sana

    Kwa nini utuchague sisi kwa ajili ya kutoa huduma kwako? i) Kampuni yetu imesajiliwa katika mamlaka za Serikali kama vile BRELA, TRA na Manispaa/Halmashauri husika, hivyo tunatoa huduma bora kwa kuzingatia matakwa yote ya sheria na taratibu za Nchi yetu. ii) Mojawapo ya sera ya kampuni yetu ni...
  9. Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

    Salaam Wakuu, Baada ya Paul Makonda kuwalalamikia Polisi kwamba kuna baadhi ya Askari Polisi wanadhalilisha Jeshi la Polisi sababu wanatumiwa na Matajiri. Haji Manara ambaye ni Msemaji wa Klabu ya mpira wa Miguu ya Yanga SC ya Tanzania, amesema atulie tuli kama ananyolewa. Haji kadai Wakati...
  10. Viongozi wanaohubiri usafi Wa mazingira wanatakiwa kufanya hivi

    Serikali kupitia halmashauri zake imekuwa ikisisitiza sana suala la usafi wa mazingira mitaani, na hata kufunga biashara ikiwemo maduka kwa saa kadhaa kwa kinachodaiwa kuwa ni siku ya usafi hivyo kila Mwananchi aingie mtaani kufanya usafi. Kuna ugumu gani Wananchi wangewezeshwa kwa kuwekewa...
  11. Mashuleni na Vyuoni ni Kuchafu

    Hivi chuoni kunakuwaje na kunguni? Wanashindwaje kupiga dawa kila baada ya muda fulani? Kuna chuo cha afya hapa Nala Dodoma wanafunzi wanataka kuhama kwasababu kunguni wamezidi. Wakaguzi, wenye mamlaka, mpo wapi? Mnaacha hizi taasisi zijiendeshe na kufuga uchafu? Au mmeshiba rushwa mpaka...
  12. Msaidizi wa Kufua/ kupika na Kufanya usafi Kwangu

    Mimi ni kijananinaeishi peke yangu, Chumba ki 1 kisicho na makorokoro mengi ndani,ni Mfanyabiashara au mjasiriamali ninaetoka nyumbani asubuhi sana na kurudi usiku sana. Kutokana na ratiba yangu kuwa ngumu nimejikuta sipiki nyumbani maana muda nakosa, kufua nakosa muda yani muda ninaopata...
  13. M

    Kama wananchi wanalipa kodi kwanini mnashinikiza wafanye usafi mitaani? Halmshauri za miji zimeshindwa kujisimamia?

    Iwe ni serikali kuu au serikali za miji huwa zinakusanya kodi na kutenga mapato kwa ajili ya usafi na wa miji hiyo. Sasa hili la kusumbua watu Jumamosi kwa ajili ya usafi mabarabarani linatoka wapi? Hizo pesa zinatumka kwa ajili ya nini?
  14. T

    NAOMBENI KAZI YA KUFANYA USAFI

    Habari za weekend? Mimi ni msichana Naombeni kazi ya kufanya usafi Nyumbani, restaurant, bar shuleni,ofisini na kwingineko Napatikana Dar es salaam ukinihitaji karibu pm pia nafatilia comments
  15. Vigezo kupata tender ya usafi mgodini

    Habari wanajamvi naomba mnisaidie kujua vigezo gani vinaangaliwa ili kupata tenda ya usafi mgodini Mimi n mjasiriamali mdogo lengo langu ni kupata takataka za chuma km drill bit nk yan skrepa natakiwa niwe na vigezo gani? Naomba msaada wenu wanajamvi
  16. S

    Hivi kweli kupenga makamasi kwa kutumia kitambaa na hajaa kubwa kwa kutumia tissue na kupiga chafya kwa kutumia kiganja,ni usafi na ndio kustaarabika?

    Kwa wengi tuliokulia mijini, bila shaka tumeshiriki katika kuyafanya haya na huenda bado tunaendelea kutekeleza huu utamaduni wa kimagharabiki ambao tunauona ni sahihi na ndio kustaarabika. Tusione aibu na tujadiliane hapa kama kweli hii tabia ya kupenga makamasi na kisha kuweka kitambaa cha...
  17. F

    Amb. Kijazi Interchange, Mchina arudi kufanya usafi na ulinzi? Tz tumeshindwa?

    Kuna usemi wa Kijaluo kwamba "Solution to One Problem Carries the Seeds for the Next Problem" yaani "ufumbuzi wa tatizo moja hubeba mbegu za kuotesha tatizo jingine, tafsiri isiyo rasmi" Daraja-kavu la Amb. Kijazi Interchange katika Manispaa ya Ubungo jiji Dar es Salaam ambalo mwanzoni...
  18. J

    DC Jokate: Hatulazimishi watu kufanya usafi, bali litakuwa zoezi shirikishi

    DC JOKATE: HATULAZIMISHI WATU KUFANYA USAFI, BALI LITAKUWA ZOEZI SHIRIKISHI Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo amezindua kampeni ya "Pendezesha,safisha Dar es salaam" yenye lengo la kusafisha mkoa wa Dar es salaam. Akizungumza katika eneo la Zakhem Mbagala, ambapo kampeni hiyo...
  19. Mazingira: jiji la DSM haliitaji kampeni za usafi bali sheria ndogo ndogo zisimamiwe

    USAFI ktk Jiji la DSM limekuwa Donda Sugu, Kila RC akiteuliwa ana kuja na KAMPENI yake ya usaf lkn impact ya izo kampeni ni kitu ambacho hakidumu hata miezi 3. Kwa haraka haraka zilikuwepo kampeni kama shika fagio, izi zilijikita ktk usafi was maeneo ya katikati ya Jiji maeneo ya fukwe...
  20. Hata wamachinga sasa wanasifia usafi wa mitaa

    Kwa mara ya kwanza leo nimemsikia kwa masikio yangu mfanyabiashara aliyeondolewa kando ya barabara akisifia usafi ulioaza kujitokeza kandokando ya barabara zetu. Nilikuwa na rafiki yangu aliyekuwa anauza matikiti ya kukata vipande pale Banana Ukonga jirani na taasisi ya Hali ya Hewa akisifia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…