Taifa hilo limewashauri raia wake kuondoka Nchini Russia wakati huu ambapo fursa za kufanya hivyo bado zipo, likisema hali ya usalama haitabiriki na inaweza kuwa mbaya ghafla.
Aidha, Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeonya kuwa athari mbaya za kiuchumi kimataifa kutokana na vita kati ya...