urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. OLS

    JamiiForums Tanzania Tukanunue mafuta Urusi?

    Vita vya Ukraine na Urusi havina uwezekano wa kuisha hivi karibuni. Sanctions zilizopigwa zina athari kubwa kwa nchi zinazoendelea kuliko zilizoendelea. Kama tutaenda kwa falsafa ya Marekani ya kutokuwa na adui wala rafiki wa kudumu, nadhani huu ni muda wa kutumia uhuru wetu. Bila kupepesa...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ndege zisizo na rubani za Ukraine zashambulia meli za Urusi

    Meli za Urusi zimeshambuliwa na ndege zisizon na rubani (drone) katika Bandari ya Crimea iliyopo Sebastopol, leo Julai 31, 2022 na kujeruhi watu watano. Wakazi wote wa eneo hilo wamepewa angalizo la kuwa makini na kutakiwa kubaki ndani kwa sababu za kiusalama. Huo ni mwendelezo wa vikosi vya...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi walalamika kuhusu uwepo wa wanajeshi wa Marekani wanaoelekeza namna ya matumizi ya HIMARS

    Maana kwamba HIMARS ni too advanced kutumika na wanajeshi wa Ukraine wenyewe bila kuwa na waelekezaji, ni zana ambazo zimesababisha majanga makubwa sana kwa Urusi na kubadilisha mkondo. Mpaka sasa zimetumika kulipua maghala 50 za silaha za Warusi pamoja na maangamizi mengine, Warusi wanazisaka...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 2,000 wa Urusi wazingirwa, waomba waachiwe watoke kwa amani

    Jameni hivi inaingia akilini supapawa anaacha wanajeshi wake wazingirwe kizembe hivi na kuachwa kwenye hali ya hovyo, yote hii wanafanyiwa na kainchi kadogo hapo jirani. Ukraine alicheza parefu kwenye hili, mnawaacha waingie kisha mnawazingira...... Wakuu wa hizi battalion wameomba yasifanyike...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi wa Israel akiri kuwa S-300 ya Urusi iliiona na kuishambulia ndegevita ya Israel F-35 (Stealth Fighter🤣🤣) huko Syria

    Waziri wa Ulinzi wa Israel amekiri kuwa wanajeshi wa Urusi nchini Syria mnamo may 13 kwa mara ya kwanza waliamua kuitageti na kuishambulia ndege vita ya Israe F-35, ile midoli ya Marekani ambayo tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni stealth fighter (hazionekani kwenye radar). La kushangaza ni kuwa...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Mzigo wa HIMARs nne zaidi kutua Ukraine kwa ajili ya kuendeleza mateso kwa Urusi

    Haya madude yamesababisha Warusi wapoteane, wanayasaka usiku na mchana, bado hawajatulia kuna mzigo mwingine unafaulishwa wa HIMARS nne... U.S. Defense Secretary Lloyd Austin on Wednesday announced the United States will provide Ukraine with four more M142 High Mobility Artillery Rocket Systems...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Huruma za Urusi ndizo zimetufikisha hapa.

    Hizi huruma za taifa la Urusi kwa majirani zake na maadui zimevuka kiwango.Inashangaza adui zako wamepania kukuzingira na kukupiga lakini wewe unafanya mazungumzo nao,unawapelekea gesi ya kuplikia na kwa matumizi ya viwanda. Zaidi ya hapo halafu adui yako analia njaa na wewe unampelekea chakula...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Himars zailipua daraja muhimu sana kwa Urusi

    Huku Marekani wakiendelea kuzalisha HIMARS kwa wingi na kupanga mikakati ya kuzituma Ukraine, zimeendelea kutesa Warusi, hawana hamu nazo...... A key Russian-held bridge in Kherson was hit in a Ukrainian counteroffensive to recapture the southern region from Russia. The Antonovsky bridge...
  9. Gama

    JamiiForums Tanzania Ukraine yaimarisha mashambulizi katika jimbo la Kherson linalokaliwa na Urusi

    Majeshi ya Ukraine yamefanikiwa kufurusha makombora na kuharibu daraja muhimu linalotumiwa na Urusi kupeleka bidhaa muhimu kwenye jimbo waliloteka la Kherson. Lengo la mashambulizi hayo ni kuwanyima huduma wapiganaji wa urusi walioko katika jimbo hilo. Ukraine steps up attacks on...
  10. Nicolaus Trac

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Russia kuiuzia Uganda mafuta kwa bei rahisi, Museveni ataka nafaka na ngano

    WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesisitiza kwamba Russia haihusiki kwa vyovyote vile na ongezeko la bei ya bidhaa muhimu kote duniani, na kwamba taarifa hizo zinaenezwa na nchi za Magharibi ili kueneza chuki dhidi yake. Amesema hayo akiwa Kampala, Uganda katika ziara yake ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Trump: Biden kapeleka dola bilioni 60 za walipa kodi wa USA nchini Ukraine, kununua silaha ambazo zaishia kuharibiwa vibaya na Urusi

    Rais mstaafu wa Marekani Donald Trump kamkemea na kumkosoa vikali rais Biden kwa kutumia vibaya pesa za walipa kodi wa Marekani dola bilioni 60 kununulia silaha na kuzipeleka Ukraine, ambapo silaha za mahela yote hayo zinaishia kuharibiwa vibaya na kuangamizwa na majeshi ya Urusi. Wakati huo huo...
  12. Sexer

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine waelekea kukomboa mji wa Kherson unaokaliwa na Urusi

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema majeshi yake yanasonga mbele ‘’hatua kwa hatua’’ katika eneo la kusini linalokaliwa la Kherson. Mji wa Kherson ulitekwa na Urusi mapema katika vita na unakaa kwenye eneo la kimkakati magharibi mwa mto Dnipro. Siku ya Jumamosi, maafisa wa ulinzi wa...
  13. Axel Lloyd

    JamiiForums Tanzania Ukraine yaharibu Makombora ya S-300 ya Urusi

    Jeshi la Ukraine limetoa video ikionyesha uharibifu wa mfumo wa kuzuia Makombora wa Urusi aina ya S300 uliogaribiwa huko kusini mwa Ukraine. Ukraine imeharibu gari la kurusha Makombora hayo pamoja na gari la komandi,tukio limetokea huko Zelenotropynske. Tetesi zinasema Makombora ya HIMARS...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi na Israel zapiga mabomu Syria

    Huku Israel ikipiga maeneo ya kijeshi yanayoratibiwa na makundi ya Iran, naye Urusi amepiga mabomu kwenye maeneo ya raia na kuua watoto kule Syria. Syrian state news agency SANA reported Israeli strikes coming from the disputed Golan Heights shortly after midnight Friday, killing three...
  15. Sexer

    JamiiForums Tanzania Urusi hali tete nchini Ukraine, hivi sasa inapumulia mashine

    Urusi inapambana kudumisha kampeni yake ya kijeshi na Ukraine na inaweza kuwa na uwezo wa kujibu mashambulizi, mkuu wa idara ya kijasusi ya kigeni ya Uingereza amesema. Mkuu wa MI6 Richard Moore alisema Urusi imeshuhudia"anguko la kihistoria" katika malengo yake ya awali ya kumwondoa rais wa...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya waidhinisha awamu ya 7 ya Vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Urusi

    Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana vikwazo vipya dhidi ya Russia kwa sababu ya RussiaUkraineWar ikiwa ni pamoja na kupiga marufuku kuagiza dhahabu kutoka nchini humo na kuzuia mali za Sberbank Vikwazo hivyo vinakusudia kuadhibu na kudhoofisha uchumi wa Urusi ambapo Usafirishaji wa...
  17. Cash Generating Unit

    JamiiForums Tanzania Rais Putin aionya Marekani dhidi ya Syria

    Haya sasa mambo yanazidi kuwa mengi then muda mchache raha ya hii dunia uwe mtabe. Marekani ni taifa ambalo ni wezi, vibaka, waporaji, majambazi bila kusahau maovu na uchafu wao kwenye hii dunia. Putin ameionya marekani kuachana na uwizi wao wa mafuta pale Syria mara moja pamoja na mambo yao ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Urusi waishutumu ukraine kutumia wanajeshi waliotengenezwa maabara na Marekani

    Wabunge wa URUSI wamelalamika juu ya operesheni maalumu nchi Ukraine kuwa ngumu kutokana na UKRAINE kutumia wanadamu wasiokuwa wa kawaida- Superhumans- ambao wamekuwa modified kwenye maabara za siri nchini Ukraine na marekani. Madai haya yanafuatia tuhuma za Urusi na China juu ya kuwepo maabara...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin ajisahau na kukiri kwamba Urusi inapitia kipindi kigumu kwenye teknolojia

    Sijui kwa bahati mbaya au amekiri kimaksudi, maana kila siku huwa anabwatuka mikwara jinsi atabonyeza manyuklia yake. ===== Vladimir Putin has admitted Russia is facing “colossal” technology problems due to the world’s biggest entertainment brands ceasing operations in the country. But the...
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi hana hamu na HIMARS, ghala la silaha lafyekwa na kupelekea hasara kubwa

    Urusi wanasaka hizi silaha za HIMAS usiku na mchana maana zinawatesa zaidi ya balaa, na bado Marekani wanaendelea kuziongeza, ni aina ya silaha yenye uwezo wa maangamizi makubwa na ikipiga wanaiondosha ilipofyatulia, hivyo hata ukijibu unaambulia kupiga mapori bila chochote cha maana humo...
Back
Top Bottom