urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kauli hii inaashiria madhara makubwa itakayokumbana nayo Urusi na dunia kwa ujumla endapo....

    Za jioni ndugu zangu, kwema. Ndugu wanajamii forum wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza clear kabisa hapo juu. Ni kwamba kuna mpango mahususi unapangwa wa kuiadabisha Russia (na kwa bahati mbaya sehem kubwa ya dunia ) kutokana na kiburi ilichonacho Russia dhidi ya mataifa makubwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Ukraine inatumia Vifaru 440 na Magari ya Vita 650 yaliyotelekezwa na Urusi

    Karibu ya Nusu ya vifaa vya kivita vilivyotelekezwa na Askari wa Urusi tangia kuanza kwa phase ya pili ya Vita hiyo February 24 (phase ya kwanza Crimea 2014). Ukraine inatumia vifaa vya Mrusi kumuadabisha. Pia kuna ripoti ya drone ya Shaheed kutoka Iran ambazo zimeangukia mikononi kwa Ukraine...
  3. JamiiForums Tanzania Joe Biden: Kuna tishio la moja kwa moja la nyuklia kutoka Urusi

    Maombi yanahitajika sana wakuu mambo sio mazuri kwa usalama wa Dunia, inaonekana dhahiri kua putin atatumia nyuklia baada ya kuzidiwa nguvu. --- Joe Biden has warned the world could face “Armageddon” if Vladimir Putin uses a tactical nuclear weapon to try to win the war in Ukraine. The US...
  4. 5

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ukraine sasa waingia Luhansky kwa mara kwanza tokea Urusi avamie

    Hizi ndio miongoni mwa habari za leo Majeshi ya Ukrean waingia Luhansk kukomboa kwa mara ya kwanza toka Urusi ivamie nchi hiyo. Itakumbukwa juzi Jumamosi walichukua Mji wa Lyman ambao ndio Hub ya usafiri Russia walikuwa wanautumia kupitisha vifaa vyao mbali mbali kwa ajili ya vita, silaha...
  5. JamiiForums Tanzania Urusi yaapa kurudisha maeneo yote yaliyotekwa na Ukraine

    Msemaji huyo wa Kremlin Dmitry Peskov ameiambia BBC kuwa Russia itachukua maeneo yote ambayo kwa sasa inayakimbia. Pia ameongeza kuwa "maeneo yaliyonyakuliwa yatakuwa ya russia daima dumu na hayakuja kurudi Ukraine"
  6. JamiiForums Tanzania Tuliwaambia hamna cha kura wala nini, wanajeshi wa Urusi wazingirwa Lyman

    Hizo sideshows za kura sijui referendum wala nini hatuna muda navyo, ngoma ni ile ile, inaishia Crimea, mlete wanywa gongo watafyekwa tu KYIV — Less than 24 hours after Russian President Vladimir Putin proudly proclaimed the illegal annexation of Ukraine’s Donetsk region, thousands of his...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Umoja wa Afrika hautoi neno kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Urusi?

    Kwanini AU haitoi neno lolote kuhusu yatokeayo kati ya Ukraine na Russia? Je, haisikilizwi? Je, haioni umuhimu? Je, hayawahusu? Je, ni kawaida kwao? Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
  8. JamiiForums Tanzania Programu ya VK yaondolewa App Store, Urusi yataka sababu

    Mdhibiti wa Mawasiliano ametaka Kampuni ya Apple kujieleza baada ya ‘Applications’ zinazoendeshwa na Kampuni ya Teknolojia inayodhibitiwa na Serikali ya Urusi, VK, kuondolewa kwenye ‘App Store’ VK inaendesha Mtandao Mkubwa zaidi wa Kijamii Nchini humo wa Vkontakte, wenye watumiaji zaidi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Poland, Denmark na Norway waanza maandalizi ya bomba la gesi, kwaheri Urusi

    Putin anaimaliza Urusi yake kwa ujinga wake, soko linamtoka kizembe sana... "The era of Russian domination of gas is coming to an end, an era marked by blackmail, threats and coercion," Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki said Tuesday at the symbolic inauguration of the Baltic Pipe...
  10. JamiiForums Tanzania Jamaa aua watu sita na kujiua Urusi, raia wameanza kuchanganyikiwa

    Taifa limefika pabaya, damu ya watu wa Ukraine itawatia pabaya Warusi....wajaribu na kurekebisha mapema... Ukraine walikua wanaendesha nchi yao kwa amani, tena kidemokrasia walikua wameizidi Urusi, unawakuta na kusambaratisha nyumba zao, na kuwaua halafu unategemea watu wako waishi kwa amani...
  11. JamiiForums Tanzania Soko la hisa la Urusi lazidi kushuka na kuvurugika huku vikwazo zaidi vikitazamiwa

    MARKET EXTRA Russian stocks sunk to levels not seen since 2017 on Monday, weighed by a global market selloff, threats of more sanctions and signs of continued unrest after last week’s partial mobilization. MSN
  12. JamiiForums Tanzania Ukraine waharibu kikosi cha Urusi, 144th Guards Motor Rifle Division

    Shughuli inaishia Crimea.... Three weeks ago, the Ukrainian army’s northeastern counteroffensive dismantled one of the Russian army’s elite units: the 1st Guards Tank Army. Now the same counteroffensive reportedly has wrecked a new motorized infantry division the Kremlin stood up a few years...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Kenya iko tayari kununua mafuta kutoka Urusi

    Ikiwa baadhi ya Nchi Duniani zimekata ushirikiano na Russia tangu vita yake dhidi ya Ukraine, Rais William Ruto amesema wanazingatia machaguo yote yaliyopo ili kupunguza bei ya Mafuta Nchini humo Amesema, "Sasa nitaendelea na ajenda ya kuhakikisha kuwa tuna uhusiano kati ya Serikali na Serikali...
  14. JamiiForums Tanzania Kiwanda kikubwa cha swahiba wa karibu sana na Putin chaungua

    Mkilazimisha maskini wakafie Ukraine, basi na matajiri hambaki salama. ========= Ahuge fire broke out at a Russian steel plant owned by Roman Abramovich, an ally of President Vladimir Putin, videos circulating on social media showed. Over the weekend, in the city of Novokuznetsk in Russia's...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Gaidi la kijerumani lashambuli shule nchini Urusi na kuuwa watu 13 wakiwemo watoto 7

    Gaidi la kijerumani lenye mrengo wa neo-fascism limeshambulia shule moja nchini Urusi na kuua watu si chini ya 13 wakiwemo watoto 7. Waliojeruhiwa ni watu wazima 14 na watoto 7. Gaidi hilo la kijerumani lenye umri wa miaka 25 limetiwa nguvuni na tayari limefunguliwa kesi. Kwa mujibu wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Urusi yaishambulia Ukraine kwa mizinga usiku kucha!

    Ukraine yalia kilio cha kusaga meno...yasema majeshi ya Urusi yamenyeshelezea mvua za moto wa mizinga na maroketi kwenye wilaya ya Nikopol pamoja na maeneo ya Nikopol, Marhanets, Chervonohryhorivka, na Myrove. Habari hii inaripotiwa na serikali ya Ukraine yenyeweee🤣🤣😂😂😅😅😅 ======
  17. J

    JamiiForums Tanzania Urusi: Mtu mwenye silaha avamia shule, aua watu 6 na kujeruhi 20

    Mtu mwenye silaha avamia shule na kuuwa Watu 6 na kujeruhi 20 ========= 6 dead, 20 wounded in school shooting in Russia MOSCOW (AP) — A gunman on Monday morning killed six people and wounded 20 others in a school in central Russia, local police said. Governor of the Udmurtia region, Alexander...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani: Urusi ikitumia Nyuklia tutaingilia kati moja kwa moja

    Mshauri wa Masuala ya Usalama wa Marekani, Jake Sullivan ametoa kauli hiyo baada ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin kunukuliwa akigusia uwezekano wa Nchi yake kutumia silaha hizo katika vita dhidi ya Ukraine. Sullivan hajafafanua ni kwa namna gani watajibu mapigo moja kwa moja lakini amesema...
  19. JamiiForums Tanzania Toyota yaihama Urusi rasmi, kisa vikwazo vilivyowekewa nchi hiyo

    Kama ambavyo imekua desturi sasa, Toyota ni mojawapo wa makampuni ambayo yamehama Urusi rasmi, nchi inaendelea kutumbukia kwenye shimo kiuchumi, huku Putin akikusanya wanywa gongo wakapambane pale wanajeshi rasmi wameshindwa..... Amid Russia's ongoing war with Ukraine, Toyota announced it will...
  20. JamiiForums Tanzania Jeshi la Ukraine laweka hadharani picha ya mwanajeshi wake alitoka matekani Urusi.

    Aiseeh kuna watu wanajua kutesa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…