urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Katika nchi 35 zilizokataa kupiga kura suala la Urusi kuvamia Ukraine 50% ni za Afrika, ikiwemo Tanzania

    Niliweka thread humu JF kwamba suala la Urusi na Ukraine ni dogo sana kwa mtu asie na ukahaba wa kisiasa wa kufuata bwana atakaekupa maslahi bila kujali utu wa mtu huyo. Nilisema wazi, leo hii wakati tunamkumbuka Nyerere tutafakari angesimamia wapi katika suala la Urusi na Ukraine. Nyerere...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Ufaransa pia kutuma vifaa vya kuzuia mabomu ya Urusi yanayotupwa uraiani

    Hii yote ni kwa ajili ya kuzuia mashambulizi ya Putin ya mabomu anayopiga hadi bembea za watoto, ameikimbia frontline kaenda kushambulia makazi ya watu. Nchi yote ikilindwa vizuri dhidi ya haya mashambulizi, mapigano yatandelea vyema frontline kule ambako anapokea kichapo balaa. French...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Urusi yaendelea kuishambulia Ukraine, yaipiga makombora majiji/miji 40

    Huyu kamanda wetu mpya wa SMO Ukraine ni moto wa kuotea mbali aisee. Yaani leo tu kachoma jumla ya majiji na miji 40 ya Ukraine. Australia yalalamika kuwa kamanda huyo katumia makombora matakatifu na drones zinazonasibishwa na Uajemi, ukipenda ziite Kamikaze drones. Kamanda huyo kaanza...
  4. Narumu newz

    JamiiForums Tanzania Hali tete kwa Vladmir Putin, sasa ni dunia inataka kumtandika

    Zaidi ya mataifa 50 ya ulaya yamekutana nchini Ujerumani kujadili namna ya kuipa silaha na kuhakikisha Ukraine anashinda kwenye uvamizi wa dictetor Putin. Wote wameanzimia kutoa michango ya silaha, fedha, mafunzo, madawa, silaha za kujilinda na makombora. Hii ni baada ya dicteta Putin...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine wapokea kifaa cha kwanza kitakachosaidia kwenye kupangua mabomu ya Urusi yanayotupwa uraiani

    Mrusi ameshindwa frontline hadi ameamua kushambulia maeneo ya bustani yenye bembea za watoto, alishambulia kwa mabomu 75, ila 41 yalipanguliwa maana yalielekezwa kwenye miundo mbinu ya kijeshi, ila Ukraine hawakua wamejiandaa kwa mabomu ya kupiga uraiani, maana hawakutegemea Urusi wanaweza kuwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Video: Majasusi wa Urusi (FSB) wazuia shambulio la kigaidi la Ukraine nchini Urusi, wamtia nguvuni gaidi na vilipuzi vyake

    Majasusi hatari ya kirusi (FSB) yamemnasa gaidi wa Ukraine aliyekuwa akijiandaa kuweka vilipuzi hatari kwenye warehouse ya kampuni ya usafirishaji kwenye jiji la Bryansk, Urusi. Gaidi huyo wa kiume mwenye miaka 50+ aliiingia Urusi akitokea Ukraine kupitia Estonia. Baada ya kuingia Urusi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Shirika la kijasusi la Urusi lamtaja Mastermind wa shambulio la kigaidi la daraja la Crimea, pamoja na washirika wake 12; latoa details za tukio

    Shirika la kijasusi la Urusi (FSB) limemtaja gaidi namba 1 wa shambulizi la kigaidi lililofanywa na Ukraine kulipua daraja la Crimea. Gaidi huyo mkuu ni mkuu wa shirika la upelelezi la Ukraine Commander Kirill Budanov. Sambamba na gaidi huyo mkuu (mastermind), pia FSB imewataja watuhumiwa...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ellon Musk akataa kutoa mawasiliano kwa Ukraine kuipiga Crimea ya Urusi

    Sasa imekuwa rasmi kuwa Ellon Musk ameyakataa maombi ya Ukraine kutumia mifumo yake ya mawasiliano katika eneo la Crimea. Ellon amesema akiruhusu hilo itakuwa kama ameruhusu Urusi kutumia silaha za nyuklia. Kwa upande wa maeneo mengine ya Ukraine amesema hawezi kutoa maelezo zaidi kwani ni...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania G7 waazimia kuongeza jitihada baada ya Urusi kuanza kushambulia uraiani

    Baada ya Urusi kushindwa kwenye frontline na kukiuka miiko ya kivita na kuanza kupiga mabomu yake uswahilini, G7 wamekutana kwenye kikao cha dharula na kuazimia kuongeza juhudi ili kuhakikisha hizi mbinu za Urusi zitadhitiwa pia ili ngoma irudi kwenye mapigano baina ya wanajeshi. =======...
  10. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Dmitry Medvedev: Mashambulizi ndio kwanza yanaanza

    Kufuatia mashambulio makubwa ya anga kote Ukraine leo, Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev alionya "kutakuwa na mengine". Akiandika kwenye mitandao ya kijamii, mshirika wa karibu wa Rais wa Urusi Vladimir Putin aliashiria kwamba kuongezeka kwa mashambulizi kunaweza kuwa mwanzo wa kuongezeka...
  11. S

    JamiiForums Tanzania USA yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya wa Urusi, ndiye ametembeza kipigo kisicho na huruma jana Ukraine

    Marekani yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya anayeongoza mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine, ndiye aliyesuka na kutembeza jana kipigo kitakatifu kisicho na chembe ya huruma koote Ukraine sambamba na kuipiga kibeiriti Kyiv. Kipigo ambacho vyombo vya magharibi vinakiri kuwa ni...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine kupewa vifaa vinavyozuia mabomu yanayotupwa uraiani na Urusi

    Urusi wameonyesha walivyo desperate baada ya kushindwa kupambana kijeshi wameamua kutupa mabomu kwa raia, sasa Ukraine kupokezwa vifaa vya kuzuia hayo mabomu, mapambano yabaki baina ya wanajeshi sio kukimbilia kuua raia. What can the air defense shields do? The IRIS-T SLM can defend from...
  13. Mrengwa wa kulia

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasonga mbele Luhansk, Urusi wapo bize na kulenga raia

    ni dhahiri sasa Rusia wameamua kudeal na Soft targets. makombora zaid ya 80 yalio rushwa hovyo hovyo mengine yameanguka barabarani mengine nyikani mengine kwenye majengo ya raia mengine yamedunguliwa. haya makombora hata nusu yake yangepiga mstar wa mbele nafkir huenda wangekua wamefanya kitu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa nchi za Afrika juu ya suala la Urusi na Ukraine ni jambo dogo sana linalopaswa kuongozwa na kanuni, sio maslahi ya nchi zetu

    Nawashangaa sana viongozi wetu. Eti wengi wanasema hawataki kuchagua upande kati ya Urusi na Ukraine, hata kwenye mambo ya kura wanajitoa. Huu ni uoga na unafiki usiokubalika kwa viongozi wa nchi za Afrika. Ndio maana nimesema siku zote Nyerere alikuwa mtu mwenye busara sana, alisimamia...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Hadi huruma, wanajeshi wa Urusi wanavyohangaika kuhamisha majeruhi kutoka Luhansk

    Wanateseka kutoroka huku wakiburuza majeruhi wao, jameni aliyewaponza yuko Kremlin anapiga gongo la Vodka ametulia hana habari. The Russians were seen evacuating around 150 wounded soldiers in Kherson and Luhansk, using the nearest crossings across the Dnipro River. After suffering a string of...
  16. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Kauli hii inaashiria madhara makubwa itakayokumbana nayo Urusi na dunia kwa ujumla endapo....

    Za jioni ndugu zangu, kwema. Ndugu wanajamii forum wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza clear kabisa hapo juu. Ni kwamba kuna mpango mahususi unapangwa wa kuiadabisha Russia (na kwa bahati mbaya sehem kubwa ya dunia ) kutokana na kiburi ilichonacho Russia dhidi ya mataifa makubwa na...
  17. Pearce

    JamiiForums Tanzania Ukraine inatumia Vifaru 440 na Magari ya Vita 650 yaliyotelekezwa na Urusi

    Karibu ya Nusu ya vifaa vya kivita vilivyotelekezwa na Askari wa Urusi tangia kuanza kwa phase ya pili ya Vita hiyo February 24 (phase ya kwanza Crimea 2014). Ukraine inatumia vifaa vya Mrusi kumuadabisha. Pia kuna ripoti ya drone ya Shaheed kutoka Iran ambazo zimeangukia mikononi kwa Ukraine...
  18. nipo online

    JamiiForums Tanzania Joe Biden: Kuna tishio la moja kwa moja la nyuklia kutoka Urusi

    Maombi yanahitajika sana wakuu mambo sio mazuri kwa usalama wa Dunia, inaonekana dhahiri kua putin atatumia nyuklia baada ya kuzidiwa nguvu. --- Joe Biden has warned the world could face “Armageddon” if Vladimir Putin uses a tactical nuclear weapon to try to win the war in Ukraine. The US...
  19. 5

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ukraine sasa waingia Luhansky kwa mara kwanza tokea Urusi avamie

    Hizi ndio miongoni mwa habari za leo Majeshi ya Ukrean waingia Luhansk kukomboa kwa mara ya kwanza toka Urusi ivamie nchi hiyo. Itakumbukwa juzi Jumamosi walichukua Mji wa Lyman ambao ndio Hub ya usafiri Russia walikuwa wanautumia kupitisha vifaa vyao mbali mbali kwa ajili ya vita, silaha...
  20. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Urusi yaapa kurudisha maeneo yote yaliyotekwa na Ukraine

    Msemaji huyo wa Kremlin Dmitry Peskov ameiambia BBC kuwa Russia itachukua maeneo yote ambayo kwa sasa inayakimbia. Pia ameongeza kuwa "maeneo yaliyonyakuliwa yatakuwa ya russia daima dumu na hayakuja kurudi Ukraine"
Back
Top Bottom