urithi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, wazazi wetu walituletea urithi wa umaskini, au walitupa msingi ambao hatujajua kuutumia?

    Wengi wetu tulilelewa na wazazi waliofanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha tunapata chakula, elimu na mahitaji muhimu. Baadhi yao walijenga nyumba, mashamba au biashara. Wengine hawakufanikiwa kupata mali nyingi kwa sababu ya kipato kidogo, majukumu makubwa au changamoto za maisha. Tunapokuwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Makala ya Kihistoria na Kijamii: Urithi wa Mtwa Mkwawa na Mmomonyoko wa Msimamo wa Kihehe Kupitia "Uchawa"

    Chief Mkwawa—ambaye jina lake rasmi la kiukoo na kiutawala tangu kuzaliwa ni Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga—anasalia kuwa alama kuu ya heshima, uzalendo uliotukuka, na msimamo usiotikisika. Makala hii ya kiweledi inachambua ukweli wa kihistoria wa shujaa huyu na kufanya tathmini ya kina...
  3. JamiiForums Tanzania Sir Wicknell Chivayo: Maisha, Imani, utajiri na urithi wa mtu aliyeishi kwa kuwagusa wengine

    Kifo cha mfanyabiashara mashuhuri wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, maarufu kama Sir Wicknell, ni msiba ambao umeacha maswali, huzuni na tafakuri kubwa katika familia yake, Zimbabwe na sehemu mbalimbali za Afrika. Chivayo, aliyekuwa na umri wa miaka 43, alifariki katika ajali ya helikopta nchini...
  4. JamiiForums Tanzania Mpatie mwanao elimu maana ndio urithi wa kudumu

    📚 ELITE HOME TUITION 🏠🎓 Unahitaji Mwalimu Binafsi (Private Tutor) kwa ajili ya mtoto wako? Elite Home Tuition inakusaidia kupata walimu wenye uwezo na uzoefu kulingana na darasa, curriculum na mahitaji ya mwanafunzi. ✅ KG hadi University ✅ Cambridge, IB, British, Indian & Kenyan Curriculum ✅...
  5. K

    JamiiForums Tanzania 🔥 Kutoka Kongo Hadi Morogoro: Miamba Mitatu ya Rumba na Jinsi Watoto Wao Walivyobeba Urithi wa Wazazi

    Wanajamii Forums, leo naomba tupitie kwa ufupi magwiji wa muziki wa dansi ama Rumba wa Afrika Mashariki na Kati, kazi zao zilizotukuka, na jinsi vizazi vyao vinavyolinda urithi huu wa kihistoria. Tasnia ya muziki wa kizazi cha dhahabu (Golden Era) barani Afrika ilitawaliwa na ubunifu mkubwa wa...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu Yangu Amekataa Kumrithisha Mke Wake Mali Amedai Sio Ndugu Yake wa Damu Amewarithisha Watoto Wao Amedai Ndio Ndugu zao wa Damu

    Ilibidi tuende kusuruhisha baada ya mke wake kulalamika jina lake kutohusishwa kwenye wosia kama mtu anaye takiwa kurithishwa mali. Ndugu yangu akaanza kueleza kama ifuatavyo: "Mme na mke sio ndugu wa damu. Na ndio maana mme akifariki siku hiyohiyo mke anachukuliwa na mwanamme mwingine na...
  7. JamiiForums Tanzania Ifike mahala Simba na Yanga zitambuliwe kama sehemu ya urithi wa utamaduni wa Taifa

    Kama kuna tukio moja kubwa linalowakutanisha watanzania wengi kwa mara moja, basi tukio hilo ni Derby ya Kariakoo. Hizi klabu mbili zinawaunganisha watanzania nje ya mipaka ya itikadi, dini, kabila, jinsia, rika n.k. My fair assessment is, hizi timu zinamchango mkubwa mno kujenga umoja wa...
  8. JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu: Ushiriki wa Tanzania majukwaa ya vijana ya UNESCO unaimarisha sauti ya Taifa katika urithi wa Dunia

    Tanzania imeendelea kuonesha uwezo wake katika jukwaa la kimataifa la UNESCO baada ya Bi. Rose Kinabo kuiwakilisha nchi katika Jukwaa la Vijana Wataalamu wa Urithi wa Dunia 2026, linalofanyika sambamba na Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia jijini Busan, Jamhuri ya Korea. Katika kuonesha...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Homera aipongeza Korea kwa kuandaa Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Zuberi Homera (Mb.) ameipongeza Jamhuri ya Korea kwa kufanikiwa kuwa mwenyeji wa Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO (48th Session of the World Heritage Committee), kinachofanyika katika Jiji la Busan kuanzia tarehe 19 hadi 29 Julai 2026...
  10. JamiiForums Tanzania "Mwana wa Zinaa" Kiislamu HANA URITHI, Wakristo ninyi vipi, mnawapa urithi?

    KATIKA UISLAMU mtoto wa nje ya ndoa (mtoto wa zinaa) hana haki ya kurithi mali ya baba yake kibiolojia kwa sababu hakuna uhusiano wa kisheria wa kifamilia kati yao. Hata hivyo, mtoto huyo anayo haki kamili ya kurithi kwa mama yake mzazi na ukoo wa upande wa mama. Ingawa hana urithi wa moja kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mali za urithi na hekaheka zake

    Mahakama ya Rufani imeamua kuwa baadhi ya mali zilizokuwa zikihusishwa na marehemu Getrude Rwakatare si sehemu ya urithi wake, bali zinamilikiwa kisheria na kampuni ya St Mary’s International Academy Limited. Katika hukumu iliyotolewa Mei 18, 2026 jijini Dar es Salaam, Mahakama ya Rufani...
  12. B

    JamiiForums Tanzania TRAMEPRO Yasisitiza umuhimu wa Kulinda Urithi wa Mila, Utamaduni na Tiba Asili

    Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TRAMEPRO) limetoa limesisitiza kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kulinda urithi wa mila, utamaduni, tiba asili na mazingira kama nguzo muhimu ya maendeleo endelevu ya Taifa. TRAMEPRO inasisitiza kuwa maeneo ya mila, maarifa ya tiba...
  13. JamiiForums Tanzania Al-Kaaba: Urithi wa Kipagani na Ibada ya Siri

    Hii ni Al-Kaaba ikiwa imetandwa shuka jeusi. Kiswah, kitambaa chenye aya za Qur’an zilizochorwa kwa uzi wa dhahabu, kimeundwa kwa vipande 41 na hubadilishwa kila mwaka. (Kaaba History, Sabir Khan) Exoteric meaning (kwa waumini au Maamuma) Hawa Mimi nawaita tabaka la chini,maamuma, huambiwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kuuza Dhahabu ya Taifa: Wezi wakikosa Fedha, Huuza Urithi wa Watoto Wako

    Uamuzi wa kuuza sehemu ya hazina ya dhahabu ya Tanzania si mpango wa kiuchumi. Ni tamko la kushindwa kwa dola. Ni kukiri wazi kwamba serikali imeshindwa kuendesha nchi kwa uadilifu, imeshindwa kudhibiti wizi, na sasa imeamua kuuza urithi wa taifa ili kuendeleza mfumo wa ulaji wa wachache...
  15. JamiiForums Tanzania Shamba la Urithi

    Inaumiza kichwa sana kwani ukiwa nje huwezi kuona ya ndani (sio nje ya nchi) .. 15 ni namba iliyo leta miyegusho kwa Taifa .. lakini ilileta Nuru na mwanga kwa kizazi Mengi ambayo yalishikiliwa na wachache sasa yakawa yanapenyeshwa kwetu kwa namna ya utofauti mkubwa .... Katika picha ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tuwambie vijana vijiweni uko nchi hii ni mali yao wana haki yakupata mgao wao kama wanavyogombania kodi za nyumba ya familia za urithi

    Tutumie mfano mwepesi vijana waelewe na wajue kwanini kina polepole, kina mdude wametekwa kina tundu lisu wamepigwa risasi nk. na kwanini kuna watu wanatumia nguvu nyingi kubaki madarakani, wanapiga watu virungu, wapo tayali kuuwa watu Wambieni hao ndio wale wanaotaka kubaki na mashamba ya...
  17. JamiiForums Tanzania Urithi sio Majumba na pesa pekee ila hata ukipita sehemu kila mtu anasema Baba yako alikuwa mtu mzuri na mtu huo pia ni urithi.

    Urithi sio majumba na pesa pekee Ila hata ukiwa unapita pita sehemu kadhaa watu wanakuambia baba yako alikuwa MTU bora na mwema huo pia ni urithi. Maana unajisikiaje Baba yako anakufa watu wanashangilia na kusema alikuwa MTU Mbaya Sana kuwahi kutokea duniani.
  18. JamiiForums Tanzania Tathmini ya marais wa Tanzania: Nani ameacha urithi bora na funzo gani kwa uchaguzi mkuu 2025?

    🗳️ TATHMINI YA MARAIS WA TANZANIA: NANI AMEACHA URITHI BORA NA FUNZO GANI KWA UCHAGUZI MKUU 2025? 🔎 Utangulizi: Katika kipindi hiki tunapoelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, ni muhimu sana kwa Watanzania kujitathmini – sio tu kwa kutumia hisia au propaganda – bali kwa kutumia akili, takwimu, na...
  19. JamiiForums Tanzania Muhammad Ali: Safari ya Mshindi Aliyepigana Ndani na Nje ya Ulingo – Hadithi ya Ujasiri, Imani na Urithi Usiofutika

    Muhammad Ali alizaliwa tarehe 17 Januari 1942 huko Louisville, Kentucky, Marekani, akiwa amepewa jina la Cassius Marcellus Clay Jr. Alizaliwa katika familia ya Kiafrika-Amerika, na tangu akiwa mtoto alikumbana na changamoto za ubaguzi wa rangi. Ali alikuwa na roho ya kupambana tangu utoto wake...
  20. JamiiForums Tanzania Urithi wa akili, siyo mali

    "Kijana mwenye akili muhimu kwake ni amani na upendo tu kutoka kwa wazazi/walezi. Mengine yote hujipambania mwenyewe. Mzazi anayehangaika kumrithisha mali mtoto ni kiherehere cha uzeeni ambacho kitaamua aidha ni mtoto awe mzazi na mzazi awe mtoto, hapo mzazi lazima aondoke haraka sana kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…