uporaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Huu ni uporaji au wizi

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuachiliwa kwa sehemu ya kwanza ya mali za Iran zilizokuwa zimezuiwa, akisema kuwa Iran itatumia fedha hizo kununua chakula kutoka kwa wakulima wa Marekani. Abdolnaser Hemmati, mkuu wa Benki Kuu ya Iran, pia amethibitisha kwa njia isiyo ya moja kwa...
  2. sammosses

    JamiiForums Tanzania Je, Demokrasia ya Tanzania inaruhusu Misingi ya Uporaji Haki za Raia na Mali zao

    Tanzania, nchi yenye mamlaka kamili iliyosaini mikataba mbalimbali ya Kimataifa hususani mikataba ya kulinda haki za binadamu na ulinzi wa rasilimali za umma imeacha misingi hiyo,na sasa inajinadi kuwa na Demokrasia yake na tamaduni zake. Kwa kuwa lengo ni kukuza aina mpya ya Demokrasia ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Makurunge, kata ya Kiluvya, wilaya ya Kisarawe hali tete baada lile sakata la uvamizi wa uporaji

    Ni baada ya polisi kuanza doria usiku imesababisha raia hasa wale wanaochelewa kurudi majumbani kwa sababi kadhaa wakikutana na polisi wanachezea kichapo kwanza ndo kisha kuhojiwa. Hii imepeleka raia wengi kuwa na hofu asa kuwahi makazini kwao au kutokurudi kabisa kukwepa kurukishwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Bilionea mwingine huyo hapa. Unadhani atakemea wizi, uuaji, uporaji etc? Never!

    Clip inatosha
  5. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania MAKALA YA SABA “JKT na Vita Dhidi ya Uporaji wa Fikra za Vijana”

    Ndugu zangu, Kizazi cha taifa hakipotei kwa njaa, hakipotei kwa maradhi, hakipotei kwa umasikini tu. Kizazi cha taifa hupotea pale fikra zake zinapotekwa na kupotoshwa. Hii ndiyo hatari kubwa inayotukabili leo. Tazameni vyombo vya habari vilivyotujaa ndani ya nyumba zetu. Vijana wetu wakiwasha...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Je 29/10 yalikuwa ni maandamano kwaajili ya haki au uporaji?

    Mkiambiwa muwe mnaelewa haya hiyo haki mliyokuwa mnaitafuta mmeipata?
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Matukio ya ujambazi, utekaji na uporaji yamedhibitiwa

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amesema matukio ya utekaji, ujambazi na uporaji yamedhibitiwa kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita. IGP Wambura ameyasema hayo leo, Jumatatu Juni 9, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa kufunga Kozi ya Maafisa na...
  8. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Deo Mushi ashinda vita dhidi ya tajiri mtoto wa Ndesamburo uporaji shamba la shule ya msingi Wereni,apewa siku 14 kusalimisha hati feki

    DEo Mushi kada wa Chama cha mapinduzi(CCM)ameshinda vita kubwa dhidi ya tajiri mtoto wa mwanasiasa mkongwe(marehemu)Philemon Ndesamburo aitwaye Thomas Philemon Kiwelu ambaye amekuwa katika jitihada za siku nyingi za kupora eneo la shule ya msingi Wereni iliyopo kata ya Kibosho Magharibi wilaya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mamlaka zimeshindwa kudhibidi Vijana wanaovamia Watu, kuwajeruhi na kupora katika Mitaa ya Tabora Polytechnic College?

    Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College ambacho kipo Ipuli, hapa chuoni kwetu pamoja na mitaa ya karibu na hapa kuna kundi la Vijana wanaojiita Mabamzi ambao ukikutana nao barabarani hasa majina ya usiku au jioni badi tambua kazi ipo. Hawa vijana wamekuwa wakipiga watu...
  10. danhoport

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna tukio la uporaji mali limepangwa kufanyika Upanga usiku huu, Polisi wekeni doria

    Nimetoa taarifa kama raia mwema, muda ni usiku kuanzia saa saba nyie wekeni doria, target ni raia mmoja wa kigeni
  11. N

    JamiiForums Tanzania Uporaji viwanja vya michezo vya Shule, ni unyanyasaji wa watoto

    Tanzania, kama taifa, kuamini kwamba tunawapenda watoto wetu, tunazidanganya nafasi zetu, ukweli hatuwapendi. Kuna matukio mengi yenye kuthibitisha kuwa hatuwapendi watoto wetu, ama viongozi wa taifa hili hawawapendi watoto wa wanaowaongoza maana wao wa kuwazaa hawapitii mapito ya wale wanao...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya udhibiti wa mianya ya wizi wa kura za wabunge na madiwani......

    Jana nilikuwa na mjadala wa kina wazalendo mwenzangu kuhusu mchakato wa uchaguzi wa wawakilishi wetu na mianya ya wizi wa kura ambayo ama imewekwa kwa makusudi ama kwa bahati mbaya lakini wajanja wanaitumia kufanya ujambazi wa kura za watu. Tulijikita kwenye uchaguzi wa wabunge na madiwani hasa...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Papua New Guinea: Hali ya hatari yatangazwa Mji Mkuu baada ya maandamano na uporaji kutokana na kupanda kwa gharama za maisha na malipo finyu

    Papua New Guinea imekusanya vikosi vya usalama baada ya uporaji na ghasia nchini kote. Ufinyu wa ajira na kupanda kwa gharama ya maisha kumezua hali ya kufadhaika katika taifa hilo la Pasifiki Kusini Waziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape alitangaza hali ya hatari ya wiki mbili katika mji...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wanaokimbia Sudan wakumbwa na ujambazi na uporaji

    Siku tatu tangu maafisa wa Ubalozi wa Marekani kuhamishwa kwa helikopta za jeshi na kupokelewa nchini Saudi Arabia kwa vishada vya maua,wale raia wapatao 16000 wengi wao wakiwa raia pacha wameendelea kuhangaika ili na wao waweze kuihama nchi kuelekea Marekani. Hata hivyo zoezi hilo limekumbwa...
Back
Top Bottom