upishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rajabu mjanga

    Natafuta kazi ya upishi

    Habari, Mimi ni kijana ninaumli wa miaka 23, ni mvulana kwa sasa naishi Zanzibar, ila nyumbani ni Dar es Salaaam, nimejifunza kazi ya upishi na ninauzoefu wa kupika tokea 2019 mpaka sasa 2022. Najua kupika vyakula vya Indian food, Asia food, Americans food, tacos za Mexico na pasta za Italian...
  2. 666 chata

    Una Degree na unafanya kazi ambayo ungeweza kuifanya hata kama ungeishia darasa la saba

    Wakuu kwema! Huyu Rafiki wa zamani tulipotezana miaka mingi kidogo, enzi za chuo chuo miaka ile mwamba akisomea moja ya fani ya Engineering pale DIT. Miaka hiyo tukiongelea future jamaa alikuwa akijiweka katika nafasi kama tisa hivi za juu za nchi vile akiamini uinjinia utakapo mweka. Juzi...
  3. M

    Natafuta kazi ya upishi

    Habari wakuu, Polen sana na majukumu nimekuja kwenu kwa mara nyingine tafuta kazi ya upishi. Mimi ni mpishi mzuri sana wa bites na chakula.
  4. Poker

    Upishi wa mlenda

    Mahitaji: 1- Bamia kilo 1 2- Nyanya 2 3- Nsusa 4- Ntwili 5- Kitunguu 1 6- Magadi Namna ya kupika katakata bamia nyanya na vitunguu vichemshe huku unachanganya na magadi baada ya hapo weka ntwili Kisha malizia na msusa acha vichemke kwa dakika Kama 5 Tia chumvi yako mlenda utakua tayari...
Back
Top Bottom