upinzani

  1. JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

    Wananchi leo wanapiga kura kuchagua viongozi wao wa Serikali za Mitaa ambapo zoezi hilo linaanza saa mbili kamili asubuhi hadi saa kumi kamili jioni na wale wote watakao kuwa kwenye foleni muda huo wataruhusiwa kupiga kura Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema Uchaguzi huo utafanyika katika...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Vyama vya Upinzani kushindwa kutoka Madarakani sababu ni kazi nzuri au kuna jambo la Binafsi?

    Kuna suala ukiliangalia kichwa kichwa unaishia kuchanganyikiwa, Nauliza je mfano pale CHADEMA kuna mtu anaitwa Mbowe! Siyo rahisi kumtoa Mbowe kwenye uenyekiti najiuliza 1. Je, Chadema hawana mtu wa kuvaa viatu vyake? 2. Kafanya kazi kubwa sana kiasi kwamba ni fadhila kwa kazi alofanya? 3...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Upinzani nchini

    Upinzani pamoja na figisu zote wanazofanyiwa unatakiwa kubadilika na kubadili mitazamo na aina ya siasa wanazozifanya kutoka kwenye siasa za kiharakati kua siasa za ukombozi zenye hoja mubadala kwa mustakabali wa nchi na zifike kwa wananchi. Kuendelea kung'ang'ania kudai vitu ambavyo pengine...
  4. JamiiForums Tanzania Dhamira ya kuua upinzani ni kwa faida ya Chama Tawala au Ubinafsi wa mtu mmoja?

    Wanabodi za asubuhi!naenda moja kwa moja kwenye mada. Kwa wale makomredi wa chama tawala naombeni ufafanuzi wenu kuhusu lengo la kuua upinzani nchini linaisaidiaje CCM kama chama tawala? Upinzani si ndio kioo? kama kwa miaka mingi upinzani umekuja na ajenda nyingi za wananchi ambazo serekali...
  5. JamiiForums Tanzania Wapanga mipango ya ushindi, fitina, na propaganda wa CCM na upinzani ni wafanyakazi hewa

    Salam wakuu, Naomba niseme CCM, CHADEMA, na ACT mnalipa wafanyakazi hewa kwenye vitengo vyenu vya ubunifu wa mikakati ya ushindi, propaganda, fitina, figisu figisu na uenezi. Mnatabirika mno, yaani kama kuna madudu au propaganda au bao la mkono linajulikana hata na mtoto mdogo. KUNDI LA...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara Channel ten wanazungumzia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani wako mubashara katika kipindi cha Baragumu studio za channel ten wakizungumzia ushiriki wao katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Viongozi hao nguli wa kisiasa nchini wanamwaga cheche zao muda huu. Karibu!
  7. JamiiForums Tanzania Vyama 7 vilivyojitoa uchaguzi wa mitaa vyatoa tamko la pamoja

    Nimesikia viongozi wa vyama vya upinzani wakiwaambia watu watege masikio ili wasikie maamuzi yatakayotolewa na viongozi wao kuhusu mwenendo wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwani serikali ya CCM wamekuwa wakijiamulia kufanya wanayotaka. Sasa hapa si ajabu ukasikia viongozi hao wamekamatwa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2019 :Watendaji Wa Kata Wapokea Maagizo Toka Juu, Hakuna kupokea Barua Za Kujitoa Za Wagombea Wa Upinzani.

    Taarifa zinasema kuwa watendaji wa kata kote nchini wameendelea kupokea maagizo toka juu, kwamba wasipokea barua za kujitoa wapinzani wote kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa. Huo ni mwendelezo wa hujuma kwa uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika November mwaka huu. Wapinzani wapata...
  9. JamiiForums Tanzania Kambi ya Upinzani Bungeni inakosa nafasi ya kuuliza swali la kwanza kwa Waziri Mkuu kutokana na kiongozi wa kambi hiyo, Freeman Mbowe kuwa mtoro

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa mara kwa mara nafasi ya upinzani kuuliza swali la kwanza kwa Waziri Mkuu inapotea kutokana na kiongozi wa kambi hiyo kuwa mtoro. Spika ametoa kauli hiyo leo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu maarufu kama maswali...
  10. JamiiForums Tanzania Benjamin Mkapa: Natamani kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi, Wapinzani wahusishwe kwenye kupiga na kuhesabu kura na kutangazwa mshindi

    Kama nakosea Mungu anisamehe. Nachoamini huyu Mkapa ndio alimpora Maalim Seif urais wa Zanzibar. Pili huyu ndio mwasisi wa ubavu ubavu na ubabe inakuwaje leo katoka madarakani na anaonekana kachoka ndio anatubu. Kwanini asiwambie aliowaweka madarakani watende haki? Kwanini alazimishe...
  11. JamiiForums Tanzania Seneta mmoja wa upinzani amejitangaza kuwa Kaimu Rais wa Bolivia

    Siku chache baada ya Rais wa Bolivia, Evo Morales kujiuzulu naibu Spika wa Bunge la Seneti la nchi hiyo, Jeanine Anez amejitangaza kuwa kaimu Rais katika kikao cha Bunge ambacho kilikuwa na idadi ndogo ya wabunge. Wabunge wa Bolivia walikuwa wameitwa kupitisha uamuzi wa Morales kujiuzulu na...
  12. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama vya Upinzani Tanzania ni dhaifu sana! Havina mikakati na watu makini wanaojua siasa!

    Vyama vya upinzani karibia vyote na hasa CHADEMA havina mikakati na watu makini wanaoweza kuendesha siasa ya kuing'oa CCM madarakani. Ni vyama ambavyo vimejaa mamluki na wachumia tumbo wanaotafuta umaarufu na kuendesha siasa za mihemuko. Vyama havina organization na vinaendeshwa siyo kitaasisi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi bado Watanzania tunajidanganya mfumo wa siasa uliopo utadumisha amani na umoja wa kitaifa?

    Amani na umoja wa Watanzania, ni sifa ambayo ilijulikana juu ya Watanzania duniani kote. Kwa miaka mingi sana Tanzania ilikuwa haitajwi na vyombo vya habari kama BBC na CNN kwa kuwa hatukuwa na habarai mbaya ambazo vyombo vya magharibi hupenda kuzitangaza juu ya nchi zinazoendelea na masikini...
  14. JamiiForums Tanzania Madai ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ndio mtihani uliobaki kwa upinzani nchini

    Baada ya CCM na Serikali yake kusalimu amri. Kilichobaki kwa upinzani sasa hivi ni kutoshiriki uchaguzi wa aina yoyote ile mpaka Serikali ikubali mchakato wa kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Kama Wapinzani sio wasaliti wa watanzania mtayazingatia haya.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli, kuna mahali viongozi wa vyama vya upinzani "wanalegeza kamba"

    Kazi kubwa ya kiongozi yeyeto yule ni kuhakikisha taasisi au watu anaowaongoza wanafikia malengo waliyojiwekea kwa asilimia zote. Kiaongozi asiye na uwezo wa kuweka malengo mahususi (specific objectives) na njia za kuyafikia (strategic plan) hana sifa za kuwa kiongozi bora. Kiongozi bora pia ni...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
  17. JamiiForums Tanzania Upinzani mkitii maagizo toka juu mmekwisha!

    Kuna kila dalili kuwa punde si punde upinzani utaitwa kwa mwamvuli wa viongozi wa dini (yale mapandikizi). Lengo ni kuwarubuni ili wayakane matamko yao ya kususia uchaguzi! Ni hivi; upinzani mnatakiwa mjue kuwa wananchi wanawachora tu! Na siku zote wanalalamika kuwa vyama vyenu na imani...
  18. JamiiForums Tanzania Chama cha ACT - Wazalendo chajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayo yametangazwa na kiongozi wa chama hicho Mh Zitto Kabwe. ACT WAZALENDO CHAIFUATA CHADEMA, CHAJITOA KUSHIRIKI UCHAGUZI. Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametangaza kuwa chama hicho kimejitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa sababu...
  19. JamiiForums Tanzania Uwezekano ni mkubwa wa CUF kuwa chama kikuu cha upinzani

    2020 ni bayana sasa na dalili zote zinaonyesha kuwa Chama cha Wananchi CUF kinaelekea kuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Na hii ni kwasababu ya CHADEMA kuonesha kuzidiwa kimbinu na fitina na CCM. Ikumbukwe hadi wakati huu CUF hawajatangaza kujitoa katika mbio za Uchaguzi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Upinzani mnapoambiwa mwakani hakuna mbunge wa upinzani atakayerudi muwe mnaelewa

    Vyama vya upinzani na wanachama wake wasipochukua hatua kwa serikali na wasimamizi wa uchaguzi Nina maanisha watendaji kata ,vijiji na mitaa mwakani hali itakuwa mbaya sana, hakuna mbunge wala diwani hata mmoja atakayeshinda mwakani. Waache kufikiria CCM ina huruma, CCM na serikali yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…