upinzani

  1. C

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania bila katiba mpya ni sawa na CCM kuumiliki upinzani

    Unajua inasikitisha sana, sijui wanasiasa wa upinzani wanajali zaidi ruzuku au kushika dora? Haya manyanyaso hayatakuja kuisha sababu wanaowatuma polisi kuwanyanyasa wapinzani ni makada wa CCM, hebu fikiri mkuu wa wilaya ni mkuu wa kamati ya ulinzi wa wilaya na RPC yuko chini yake na wote...
  2. Just Pray

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Jussa: Chama cha upinzani chenye muelekeo ni ACT- WAZALENDO

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa, amewaomba wananchi wa Mtaa wa Komesho, Kata ya Msambweni, Jimbo la Tanga Mjini na vijiji vya jirani kuwaamini wagombea wa chama hicho kwa kuwapigia kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Kiongozi wa Upinzani ashtakiwa kwenye Mahakama ya Kijeshi baada ya kukamatwa kinguvu akiwa Kenya

    Mahakama ya kijeshi ya Uganda imemshtaki mwanasiasa wa upinzani, Dkt Kizza Besigye, pamoja na mshirika wake, Hajj Obeid Lutale, kwa kumiliki silaha nchini Kenya, Ugiriki, na Uswisi. Walipofikishwa mbele ya mahakama kuu ya kijeshi jijini Kampala, chini ya uenyekiti wa Brigedia Freeman Mugabe...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania hauna nguvu ya kuleta mabadiliko huu ndiyo ukweli.

    Zilikuwa Propaganda tu za kutojianda kwenye uchaguzi, wamethibitisha wenyewe mmeliona. Hadi muda huu hakuna chama kilichosusia uchaguzi kila chama kipo dimbani kwenye kampeni, CHADEMA wao wameamua kuchangisha kabisa na Fedha za ufunguzi wa kampeni kwa maana hiyo vyama vyote vimethibitisha...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Hayati Magufuli siasa zilikatazwa kabisa za upinzani na ukiwa mpinzani ulikuwa unashughulikiwa kwelikweli ila watu wamesahau

    Mara baada ya mama kuingia madarakani aliweka mazungira ya siasa vizuri mana kuna watu wangekufa kwa kukosa mkate wa kila siku. Ikumbukwe siasa ni ajira ila ajira hiyo jpm aliiondoa huku akijua hakuna mbadala wa ajira hiyo as a result akaongeza mrundikano wa wahitimu myaani hence unemployment...
  6. Just Pray

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Maeneo yasiyo na wagombea wa upinzani, kura za ndiyo chini ya asilimia hamsini uchaguzi utarudiwa

    Katibu wa Itikati Mafunzo na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Njombe Josaya Luoga, amesema katika maeneo yote ambayo vyama rafiki havijaweka mgombea zitapigwa kura za ndio au hapana. Katika kura hizo mgombea anapaswa kufikisha asilimia hamsini au zaidi ya kura za ndio ili aweze...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe ukiwa chama cha upinzani unasahahu kusoma na kuandika

    Nimetafakali na kuwaza sana zaidi ya wagombea elfu 16 za wagombea wa vyama vya upinzani walikosea kujaza form. Cha ajabu form hizo ziliandikwa kwa k Swahili. Lakini cha ajabu CCM walijaza kwa ufasaha wote. Hii ndio sababu ya kuuliza hivi ukiingia champ chochote cha upinzani una sahahu hapo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Unabii: Ajaye ni Mwanaume, iwe anatokea tawala au upinzani

    Salaam, Shalom!! Huu ni unabii Si ubashiri Wala uganga. Ajaye ni Mwanaume, haijalishi ni anatokea upinzani au tawala. Haya Si maneno yangu, ni unabii kama alivyoona Nabii husika. Source: Hero TV utube channel.
  9. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Wagombea wa Upinzani wamewekwa Ofisi ya Wilaya siku 3 kwa mahojiano, Masasi

    Viongozi mliopo humu, mjue na mtambue ambacho kinaendelea halmashauri ya wilaya ya Masasi. Wagombea wa upinzani wamekalishwa siku ya tatu mfululizo pasipo maelekezo ya aina yeyote. Hii inaonesha kwa namna gani DAS na watu wake wanaendelea kuhujumu wagombea. Watu wanahojiwa karibu masaa matatu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT-Wazalendo: Waliowaengua wagombea wa upinzani wachukuliwe hatua

    Chama cha ACTwazalendo kimetoa wito kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, kusimamia maelekezo yake kuhusu rufani za wagombea ili kuhakikisha kuwa wagombea wa chama hicho waliotenguliwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji...
  11. K

    JamiiForums Tanzania CCM wanataka kudanganya upinzani na serikali ya kitaifa

    Upinzani ni lazima waelewe huwezi kuwa na serikali ya kitaifa bila katiba kufanyiwa mabadiliko na hawa CCM hawatafanya mabadiliko. Yaani chama ambacho kinaengua wanakijiji mnafikiri watawapa kazi serikalini!. Habari za ndani ni kwamba wameanza kuongea na upinzani eti CCM na upinzani waunde...
  12. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kubenea: Hakuna uchaguzi, kuna uchafuzi. Vyama kuendelea kushiriki ni kuhalalisha uhuni, madhara yake yataonekana 2025

    Kupitia andiko hilo la leo, Jumanne Novemba 12.2024 Kubenea ambaye ni mwanahabari nguli nchini na Mkurugenzi wa kampuni ya habari ya Mwanahalisi amedai kuwa kitendo cha vyama vya upinzani nchini kuendelea kushiriki uchaguzi huo ni sawa na kuhalalisha 'uhuni' unaoendelea, na hivyo kutahadharisha...
  13. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua adaiwa kuanza mazungumzo ya kuungana na Upinzani ili kupambana na Ruto mwaka 2027, asema Gen Z ndio silaha yao

    Kalonzo and Gachagua’s camps are reportedly meeting in secret to devise a formula to defeat Ruto in 2027. For Gachagua, winning a duel with Ruto would be sweet revenge against the President. Wiper Leader Kalonzo Musyoka and Deputy President Rigathi Gachagua. FILE A political marriage between...
  14. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wagombea wengi wanaowekwa na upinzani ni makanjanja watupu, hawawezi kusaidia kuleta maendeleo ya nchi hii

    Zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa linaendelea na sasa hivi liko hatua ya uwasilishaji wa pingamizi, nimeona malalamiko mengi sana kutoka kwa vyama vyote vya siasa nchini ikiwemo Chama cha Mapinduzi.CCM imelalamika kule Arusha kuwa majina ya wagombea wao 9 yamekatwa, Chadema wamelalamika...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Uvuguvugu wa siasa za upinzani nchini umewasababishia mawenge katika kila wanalofanya

    Hawaaminiki tena, hawaeleweki kabisa kwa wananchi, wamekosa na kupoteza uelekeo, ushawishi wa kisera na mipango mikakati kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa. Kanuni, sheria na katiba viko wazi kabisa kuhusu uchaguzi huu, lakini wanalilia hisani na kutegemea huruma za wananchi. Walianza kusita...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hamasa kubwa kwa wananchi kujitokeza kupiga kura sanjari na zoezi la kuwaengua wagombea wa upinzani kwa fitina Je CCM inataka kuwaminisha nini Wadau

    Nimeshangazwa na hii style ya hiki chama Wanahamasisha sana watu kupiga kura Hali inayowafanya tuwaone kuwa wanataka kushindanishwa kwenye sanduku la kura Lakini ajabu ni kuwa wanawaengua washindani wao Tena kwa dhuluma tuu Sasa mie najiuliza na jibu nalitaka Hivi CCM wanataka...
  17. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Naona dhahiri vyama vingine vya upinzani vimetendewa haki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Tanzania tuna vyama vya siasa takribani 18 kama sijakosea. Vyama ambavyo vimekua vikilalamika tangu wakati wa uandikishaji wapiga kura nawaona CHADEMA, CUF NA ACT. Hii inadhihirisha kwamba wale wala ubwabwa na wenzake wamesimamisha wagombea na hawajakutana na changamoto yoyote. Na inasemekana...
  18. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Uchaguzi Serikali za mitaa 2024 na mkuu 2025 , CHADEMA na upinzani kwa ujumla hatujajipanga

    .nimepita mitaa mingi wananchi wanawaongelea na kuwajua wagombea wa CCM tu .mitaa mingi haina ofisi za vyama vya upinzani . CHADEMA tunafocus mambo hasi kama wizi ,wagombea kutokuwepo-wagombea ambao hata wananchi hatuwajui kuelekea uchaguzi baada ya kujikita katika zoezi zima . .Kwa nchi...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Upinzani tumechanganya sana Watu, tunahitaji kiongozi ambaye akisema neno anaaminika

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akihojiwa na Kituo cha NTV cha Kenya amesema “Upinzani unahitaji kuwa na Uongozi wenye maono makubwa na yasiyokuwa na mawenge tofauti na ilivyokuwa hapo Katikati.” Aidha, Lissu amezungumza kuhusu nafasi ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA baada...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Israel kwafukuta. Natenyahu akabiliwa na upinzani kila kona!

    Haya ndiyo yanayomsibu Natenyahu huko Israel. Zipo gharama za kulipa kwa kutokuwasikiliza wananchi ambapo madaraka ni dhamana tu. Wenye nchi wananchi. Mara zote wasio busara hukumbuka wakiwa wamekwisha chelewa mno!
Back
Top Bottom