upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. SAIKOLOJIA YA SOCCER: Mwenyekiti ajaye SSC upande wa wanachama atakuwa Muhindi

    Mo ni mbinafsi, Changu ni changu chako ni changu Pesa yake ni yake, ila pesa inayopatikana SSC kama fungu la CAF au NBCPL pia ni yake, Hii ni Falsafa yake, Akisimama ktk camera husema simba ni yake, Ana wajumbe wake kwenye bodi upande wa uwekezaji, Wote ni watiifu kwake, Wote wamejiuzuru...
  2. FIFA watumia rangi za upinde kwe profile yao

    Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono ? Tukae tusubiri.
  3. Hivi kwanini tunasinzia upande wa kulia pekee

    Kwenye magari ukikaa ukaanza ku falling a sleep lazima shingo iende upande wa kulia sijawahi kujikuta nimesinzia Kwa upande wa kushoto. Tafiti zinahitajika ili tujue haswa sababu ya hili jambo.
  4. Tetesi: Boom: Wajumbe wote wa Bodi ya Simba upande wa Mo Dewji wajiuzulu

    Shaffih anatupa za ndaaani kabisa, anasema Wajumbe wa Bodi ya Simba wamejiuzuru. Nini maoni yako kuhusu move hii kama itakuwa na ukweli PIA SOMA - Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi
  5. TANESCO yatangaza maboresho ya Mita za LUKU, soma ujue jinsi ya kuingiza Token upya kuanzia Juni 1, 2024

    MABORESHO YA MITA ZA LUKU KWA WATEJA WA TANESCO KANDA YA ZIWA NA KANDA YA MAGHARIBI Jumatatu, 27 Mei 2024 Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa mikoa ya Mwanza, Kagera, Mara, Geita, Simiyu, Tabora, Katavi na Shinyanga kuwa zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU litaanza...
  6. SoC04 Sekta ya ulinzi na usalama Kwa upande wa Polisi wanapuuzia kigezo cha elimu wakati wa udahili

    Tanzania Tuitakayo inahitaji ulinzi imara ili kuimarisha usalama WA wananchi na mali zao. Kwa sasa kumekuwa na uhitaji wa mkubwa wa Polisi Jamii kwenye kata mbali nchini, Hali hii inatupa taswira sio tu ongezeko la watu lakini hata ongezeko la uharifu. Kwa kipindi Cha miongo kadhaa hapo nyuma...
  7. T

    Msaada Kwa waliowahi kufanya interview utimishi wa uma Kwa upande wa clinical officers

    Nisaidieni Kwa anaefahamu kwenye ritten wanauliza maswali yapi je ni essay au short answers na oral je wanauliza maswali yapi mwenye uzoefu nisaidieni
  8. Hivi Kuna league ya mpira duniani inayopita vibe la bundesliga kwa upande wa mashabiki

    Hawa watu kwao mpira ni kama Nini sijui maana Kila mechi viwanja vinafurika tena pomoni hata kama kombe halipatikani. Nadhani mpira una tafsiri nyingine Ujerumani ,lazima siku Moja niwe pale Signal iduna kuangalia mechi Moja.
  9. Jamii imewatelekeza vijana wa kiume na kuweka nguvu kubwa kwa upande wa kike

    Ukweli inatakiwa usemwe wazi kwamba leo hii jamii imesahau kabisa kuhusu mtoto wakiume ikiamini anaweza kujipambania bila hata ya kupata msaada kutoka kwa jamii inayo mzunguka. Ni wazi kwamba Taifa lijiandae kupambana na kumuinua kijana wa kiume ifikapo 2030+ Kwasababu leo hii jamiii yetu...
  10. Mpaka sasa WASAFI TV na FM sijui wapo kundi gani upande wa tasnia ya habari

    Ni jambo zuri kuwa na ongezeko la vyombo vya habari ila kuongezeka kuna takiwa kuwe na utofauti sana ili ukiangalia au kusiliza unajua kilichokupeleka. Wasafi Tv na FM bado wanashida kwenye kujitofautisha yani uwezi kuelewa wanataka nini kama ni kwa ajili ya burudani,michezo,habari au mambo...
  11. M

    Fani nyepesi kutoboa kwa upande wa IT kwa ngazi ya Masters degree

    Salam wanajamii Forums! Tunaomba msaada kwa wenye uzoefu je kwa upande wa fani za IT, Ni fani ipi nyepesi kutoboa kwa ngazi ya Masters Degree? Kijana anaomba msaada!.
  12. M

    Kwenye Ishu ya Uzanzibari na Utanganyika Lissu amekuwa upande wa haki siku zote

    Kuna watu wanajaribu kuchukulia kauli za Lissu kukerwa na aina hii ya muungano kuwa eti anajaribi kuleta mgawanyiko wa Utanganyika na Uzanzibari. Kiukweli kabisa kama ukifuatilia miongoni mwa watu waliojaribu kuwatetea Wazanzibari dhidi ya muungano huu ni Tundu Lissu. Lissu amekuwa consistent...
  13. Kwa upande wako kiongozi mwenye sifa zipi ndiye mtawala bora?

    Moja ya sifa ya kuna demekrasia ni uwepo wa utawala bora, dhana hii ya utawala bora imekuwa na mtazamo tofauti tofauti kutoka kwa mtu mmoja kwend akwa mwingine, kila mtu amekuwa akiweka kipimo cha kumjua mtawala bora kulingana na na jinsi alivyokuwa akitegemea kuongozwa na mtawala au kiongozi...
  14. Ona jinsi wakristo wanavyoteseka nchini Nigeria na jeshi liko upande wa islamist

    Je ni kweli dini yao ni ya amani kama wasemavyo wenyewe humu? https://twitter.com/visegrad24/status/1781802292548673704?t=u-VrM9jzxIx-C2pXqt8iog&s=19
  15. Tetesi: Simba imepasuka. Kuna Simba ya Try Again na Simba ya Mo, Kila upande unauroga upande mwingine

    Haya Sasa, huko Simba hali ni mbaya sana. Try Again anairoga Simba ifungwe ili Mo aachie timu. Upande wa Mo na wenyewe unaonekana kuhaha Hadi Cameroun kusaka ushindi dhidi ya Yanga ili kuwapa ahueni mashabiki waendelee kuwa na Imani naye. Try Again anapambana kumtoa Mo kwenye uwekezaji na...
  16. N

    KERO Mazingira ya Kituo cha Daladala cha Kivukoni upande wa Kigamboni hali sio nzuri

    Tunaopata tabu ni Sisi Wananchi, kwa hali hiii jamani tafadhali halizetu mbaya, Abiria tunakanyaga matope ili tuingie kwenye Daladala. Hali ni hatari kwa mlipuko wa magonjwa, hii inatia kinyaa hata kupita eneo husika, na mvua hizi zinazoendelea tutarajie hali kuzidi kuwa mbaya. Mamlaka za Dar...
  17. Ikitokea vita ya maninja na makomandoo, upande upi utashinda?

    Usiseme huu ni utoto. Tuseme upande mmoja (labda Rwanda) unaamua kutumia makomando 1000 na upande mwingine ( labda DRC) unaamua kuja na maninja 1000. Hamna kutumia silaha za moto, ila visu, mapanga, chain, kamba, nguvu nk vyote vinaruhusiwa. Kwa utaalamu wako hapo nani ataibuka kidedea...
  18. G

    Kama Israel imeweza kushawishi mataifa makubwa Duniani kuwa upande wao naona wana akili kubwa sana

    Wakuu naona watu wengi wanalalamika Israel kusaidiwa na mataifa makubwa hivyo kwa upande wangu naona tofauti Kwanza ndege wanaofana wanaruka pamoja Kama tunavyoona nchi zenye race Fulani zinaweza kusaidiana Au nchi zenye mrengo wa dini Fulani zikisaidiana Pia matajiri kwa matajiri husaidiana...
  19. D

    Tunaipokea treni ya mchongoko kwa shingo upande, ni kama ile ya zamani imechongwa kimchongo

    Usanifu ni sanaa ya ubunifu! Na ubunifu ni sayansi yenye vipimo ili kupata muonekano unaovutia. Katika hatua za utengenezaji huanza na michoro na mpangilio wa ndani (interior design) Hii treni tuliyopokea tukiambiwa ni ya mchongoko. Ukitafuta ile curve ilivyo chongwa unaona kabisa ni mchongo...
  20. CAF kama mmeweza kutumia Picha ya Mandela kwa upande wa Mamelodi kwanini Msingeweka picha ya Nyerere upande wa Yanga?

    Hii Picha kwanini wasingemweka na nyerere? Najua kuna watu mtaniona kama nimewehuka ila mjue hizi issue ndio hua zinafanya wamchukulie poa Nyerere kabisa. Nyerere kafanya makubwa Mengi kwa Afrika ila hua hatambuliwi hadi hapa unaona kabisa..wameona huyo Askari ndie mkubwa Nchini kuliko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…