BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 2,767
- 4,400
Dkt. Kisenge tafadhali Tulia ofisini Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), nikueleze.
Madaktari wa OPD Sina neno nao isipokuwa mmoja mtu wa Kagera ana lugha chafu sana.
Tuanze kwenye kupima BP wahudumu hutoka kila baada ya kupima watu kumi.
Pharmacy kumeoza mtu wa computer huwa anachezea game badala ya kuandika Ankara ,Watoa dawa hutumika sàa moja tangu uwafikie.
Mrudisha kadi yule mwenye miwani ana maudhi sana hujiona kama jogoo mbele ya tembe anatoa kadi Moja Kisha simu na kuongea na wageni wake muda mwingi
Maabara ya ISO sawa na kibanda cha chips.
Tulia ofisini Wacha drama za akina Makonda na wanasiasa kuwa professional
Wakatabahu
Mteja wenu wa miaka mitano nikilea moyo wangu bila kuambiwa una shida gani.