uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Dar es Salaam bado inamuhitaji Paul Makonda sana

    Kiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa huu Mheshimiwa Paul Makonda "Bashite" Kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa Sisi wananchi wa Dar tunakuomba Rais Magufuli uturudishie mtu huyu muhimu kwa maendeleo ya jiji ilikuwa haiwezi pita mwezi bila...
  2. Jambo ambalo wengi hawalijui: Hakuna kiongozi wa kisiasa atakayeshitakiwa kipindi cha uongozi wake au baada ya uongozi wake, ilimradi awe mwanaCCM

    Habari wapendwa! Mimi si mwandishi mzuri na huwa ni mzito kuandika jumbe ndefu. Habari ni kwamba viongozi wa kisiasa chini ya serikali ya CCM hawawezi kushitakiwa kwa makosa yao waliyotenda kipindi cha uongozi wao. Wanawaza kuwajibishwaa kwa namna tofauti ila sio kuwapandisha kizimbani. CCM ni...
  3. A

    Mabeberu na Uongozi wa Awamu ya Tano

    Mabeberu nini maana yake halisi: - hili neno liliweza kupata tafsiri yake halisi katika kipindi cha miaka ya sitini late baada ya nchi nyingi za Africa kupata uhuru kutoka katika ukoloni wa nchi za ulaya. Hapa tunaweza kupata picha halisi kipindi ilipoanza sera za imperialism yaani kwa tafsiri...
  4. M

    Siku 60 za Rais Samia madarakani: Tunakushukuru sana kwa uongozi wako makini, hakika umerejesha tumaini na furaha

    Mheshimiwa Rais. Awali ya yote nakutakia Amani ya Mwenyezi Mungu BWANA wa Majeshi na Nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nipende kuchukua fursa hii kukupongeza kwa uchapakazi makini, kwa uongozi thabiti na serikali inayosikia na kuzingatia maoni, matakwa na maslahi ya...
  5. Je, Hatuna Wanawake wa kutosha kukidhi 50/50 au kuna kosa?

    Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kila nipatapo fursa, huwa naendeleza zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zina lengo la kukuza uzalendo na kulisaidia taifa letu, kusaidia nchi yetu, kusaidia serikali yetu na kusaidia viongozi wetu waweze...
  6. Uongozi wa Kenya Pale UN Security Council

    Kenya kama Mwakilishi na mteteaji wa maslahi ya kiafrica imechukua jukumu lake na kuanza kuchapa kazi kuhakikisha waafrica wanaskizwa na hoja zao zinapatiwa nguvu inayostahili. A closed session of the Security Council to discuss the danger of the spread of mercenaries in Libya to the countries...
  7. Exposure kumbe Haina tija yoyote kwenye uongozi

    Leo kumetokea maamuzi Kama siyo ya kushangaza Basi maamuzi kichaa kabisa umma wa watanzania umeshikwa na butwaa watu wametumia rasilimali fedha,muda kufika uwanjani Halafu anatokea mtu mmoja mwenye mamlaka kwa sababu anataka kujikomba anatoa matamko ya kisiasa kupeleka mechi mbele!!unajiuliza...
  8. Athari za uongozi dhaifu zilizoletwa na Uchama kuanzia Wenyeviti wa vitongoji hadi madiwani zinavyokinzana na maendeleo

    Athari za uongozi dhaifu zilizoletwa na uchama kuanzia wenyeviti wa vitongoji hadi madiwani zinavyokinzana na maendeleo. Tafiti ndogo niliyoifanya mikoa mbalimbali hasa mkoa wa Kagera nimegundua kwamba mwaka wa ushindi wa kishindo ambao wapinzani walisusa uchaguzi viongozi wa CCM wengi wao...
  9. Maendeleo huletwa na watu, kazi, siasa safi pamoja na Uongozi Bora

    Uongozi wa Serikali ya Awamu ya sita ya mwanamke shupavu Samia Suluhu Hassan umejikita katika kuifanya falsafa ya Mwl. Nyerere ihusuyo maendeleo kukamilika. Falsafa hiyo inazungumzia MAENDELEO / UCHUMI n.k ambapo lazima utengeneze muunganiko imara wa mambo yafuatayo ambayo ndiyo Samia Suluhu...
  10. Tumefika hapa kwa sababu ya Kikwete kumlea vibaya Ridhiwani kuihusisha familia yake kwenye masuala ya uongozi

    Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni...
  11. B

    Viongozi wazawa wa kanda ya ziwa tunajifunza nini kipindi hiki Cha mabadiliko ya uongozi? Tulisimama kwa Hali?

    Nimtizamo wangu kwamba tunaliwa vichwa kimya kimya bila kupigiwa kelele. Nadhani tunapoelekea wale watu wote waliopanda kwa kasi miaka mitano iliyopita na wakashindwa kumaintaini nidham kwa wengine tayari wamekwisha. Kwenye chama tumepotea na hakuna anayetaka kutusikia, kwenye serikali...
  12. Uongozi wa Simba SC tafadhali kwa 'Umafia' unaopangwa na Yanga SC kuelekea 'Derby' yetu nao May 8, Wafuatao wasicheze FA Jumamosi

    Nimepenyezewa za ndani kabisa kutoka kwa Watu wa Yanga SC ( ambao wanajua Mimi ni mwenzao ) kuwa wamezungumza na Wachezaji wa Kagera Sugar tunaocheza nao FA Jumamosi ili 'Wawaumize' Wachezaji wetu Muhimu ( Waandamizi ) Wanaotakiwa 'Kuumizwa' vibaya ili wakose ( waukose ) mtanange wa Simba na...
  13. Rais Samia: Mijadala Bungeni haina afya kwa Taifa. Tufanye kazi kama Bunge linavyotakiwa kufanya kazi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana...
  14. J

    Viongozi wa Serikali wapikwe na Taasisi ya Uongozi - Waziri Mchengerwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa azitaka wizara, idara na taasisi za serikali kuhakikisha zinapitisha viongozi wake katika mafunzo yanayoandaliwa na kutolewa na Taasisi ya UONGOZI. Waziri Mchengerwa aliyasema hayo wakati wa...
  15. Uongo haukwepeki ili uishi vizuri

    Ukiwa na dingi mkali au mbabe, huyu lazima umdanganye, hakuna namna Ili umnase demu lazima utupie uongo Walimu wanoko, dawa yao uongo tu. Hata kanisani wengi ni waongo na wanafiki, nyuma wameficha ukweli mchungu Na sehemu nyingi, uongo haukwepeki Uongo ni sehemu ya maisha yetu. Ukweli...
  16. L

    Uzinduzi wa mtandao wa 5G Afrika ni ishara ya uongozi wa China duniani kwenye enzi mpya

    Mwaka 2015, China ilitangaza kuwa itaongeza maendeleo ya dijitali kuwa sehemu ya miradi ya Ukanda Mmoja na njia moja. Hii ni njia moja ya kutosheleza mahitaji yanayoongezeka ya mtandao wa kasi ambao unategemewa na mamilioni ya biashara kila siku hasa kwenye nchi zinazoendelea. Tayari China...
  17. Mwenyekiti CCM Mbeya Mjini atuhumiwa kumrubuni kimapenzi mwanafunzi wa miaka 15. Baba mtoto alalamika kunyimwa ushirikiano na uongozi mkoa Mbeya

    Sakata la Mtoto na mwanafunzi wa miaka 15 kulubuniwa kimapenzi na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini. Sakata hilo limeshafika kwa RPC na RC wa Mbeya. Mzazi na Baba wa mtoto huyo amelalamika kunyimwa ushirikiano baada ya kufika ofisi ya RC Mbeya na kumfikishia malalamiko yake. Chanzo: HAROUBTV.
  18. Hawa watu wasirudi kwenye Uongozi, Rais Samia ashauriwe vizuri

    Ngeleja - Bilioni 500 za umeme wa mgao wa kutengeneza .. Muhongo - Mkataba wa dharura wa wa kuuza gesi Kwa wawekezaji na mipango yake ya kuongeza badala ya kupunguza wazalishaji umeme wa binafsi na kumpa mzigo mwananchi wa wa kulipa capacity charges. Nyalandu - Vitalu vya kuwinda inajulikana...
  19. J

    Uongozi wa juu wa CCM unaenda kubadilika tutegemee maendeleo zaidi na zaidi!

    CCM inakwenda kupata mwenyekiti mpya wa taifa kufuatia mama Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa JMT. Katibu mkuu atakuwa mpya Katibu wa Itikadi na Uenezi atakuwa mpya. Yawezekana hata makamu wa mwenyekiti bara na visiwani wakawa wapya Mambo ni fire. Maendeleo hayana vyama
  20. Uongozi wa DAWASCO umeshindwa kufanya kazi ipasavyo na kusababisha wakasi wa jiji la Dar Es Salaam kunywa maji machafu

    Wakazi wa Dar es salaam kwa siku mbili mfululizo tunachota maji yaliyo na vumbi katika mabomba ya Dawasco.tunaomba uongozi wa Dawasco iwajibike kwa uzembe wa kushindwa kuyatibu haya maji,wananchi tuna wasiwasi na haya maji yanaweza kuwa na wadudu waenezao magonjwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…