uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Watanzania wenzangu amkeni; adui yetu mkubwa ni Bunge letu na Uongozi wake

    Ndugu zangu naomba tujue mahala pa kuanzia kuelekeza malalamiko yetu. Kwa muda mrefu sasa wale tunaowatuma bungeni kutuwakilisha wameshindwa kabisa kutekeleza wajibu wao badala yake ndio wamekuwa wanatuchongea kwa mamlaka za nchi kuwa tukandamizwe kwa kukatwa makodi kibao. Mfano mdogo ni huyu...
  2. J

    SoC01 Utashi wa kuku na mustakabali wetu wa uongozi

    Kuku ni kiumbe chenye utashi wa ajabu kama walivyo viumbe wengine ambao ni tofauti na binadamu. Mtu anapotaka kumtega kuku aliyepo katika kundi la kuku wengi hurusha punje za mahindi, mchele au mabaki mengine ya chakula. Kundi la kuku litaanza kumfuata taratibu mpaka ndani, kisha anafunga mlango...
  3. Nimechagua viongozi walewale walioahidi kurekebisha matatizo yaleyale

    Nilipokua mdogo naanza kupata ufahamu na kujitambua nilipitia haya: Umeme usio wa uhakika Maji yasio ya uhakika Elimu ya kusuasua Huduma bora ya afya kwa matabaka Miundombinu ya wasiwasi Ahadi za uongo kwa viongozi nk. SASA NINA MIAKA ZAIDI YA 30 Nimepata nafasi ya kupiga kura Kutathmini...
  4. SoC01 RC Makalla na Uongozi wa Dar: Fuateni ushauri huu Dar es Salaam itakuwa na mazingira safi kuliko Moshi

    Kwanza kabisa kuondolewa kwa mifuko ya plastiki bado hakujafanya mazingira kuwa safi. Nini tatizo kwa mkoa wa Dar es Salaam? Jibu ni rahisi tu, tatizo ni msongamano wa watu pamoja na wafanyabishara wadogo (machinga) huu ndio ukweli. Japo ili kufanya mkoa huu kuwa safi si lazma uwatoe ila...
  5. Ukweli: Legacy aliyoiacha hayati Mkapa ni kulipatia taifa uongozi wa hayati JPM tuache kupindisha ukweli

    Hayati Benjamini Mkapa aliona mbali mwaka 2015 baada ya CCM iliyokuwa chini ya Jakaya kuwa imepoteza imani kwa wananchi. Mkapa aliona mbali na kuhakikisha taifa letu linapata kiongozi ambae atalinyoosha taifa lililopinda. Ukweli ni kuwa hayati Mkapa ndie alieona umahiri wa hayati JPM kusimamia...
  6. M

    Viongozi kiasili wapo kuwatumikia wananchi na siyo kujineemesha kwa mali

    Uongozi ni kitu cha asili na viongozi wapo kwaajili yetu wananchi na wao hawakupaswa kulipwa mishahara zaidi ya serikali kuzingatia viongozi wanapatiwa huduma za chakula, afya, maji, umeme n.k . Kwa maana kama ni watoto wao watasoma bure katika shule zetu za Serikali na pia wakitaka watoto...
  7. K

    Msamaha wa DPP Kwa aliyekuwa DG wa MSD ndugu Laurean Bwanakunu na Hatima ya Wahanga wa Uongozi wake MSD

    Ndugu Laurean Bwanakunu alikuwa ni DG wa Bohari ya Dawa - MSD tangu Julai/August, 2015 pamoja na kuwa ujio wake uliacha maswali mengi sana, nafikiri siri ya ujio wa Bwanakunu Bohari ya Dawa anaijua zaidi aliyekuwa Waziri wa Afya kipindi hicho na aliyekuwa Mbunge wa Rufiji ndugu Seif Rashid...
  8. T

    RC Mtaka anaponzwa na sifa kutoka mitandaoni

    Kiufupi RC Mtaka ni mtu anayeamini katika kufurahisha watu washangilie kwa muda baadae kombe linafunikwa mwanaharamu anapita bila mabadiliko kutokea au kufanyika. RC ni mtu anayejijenga kupitia mitandao ya kijamii kwa lengo la umaarufu bali si utendaji. Nashangazwa sana ni kwa namna gani...
  9. Lust for governance in Tanzania

    lust for governance in Tanzania 👉 CCM is known to give fake promises to it's citizens! It started on employment ! It was postponed but after some days other leaders came with ' vijana wajiajiri!' 👉 For this also many citizens will put thier faith, thinking she will have time for what she...
  10. Hivi kiongozi kufuata mkumbo wa dunia ni uongozi wa namna gani?

    Nimeshtuka sana baada ya mama yetu SSH kufanya maamuzi kwa kufuata mkumbo wa ulimwenguni wa kuchanja watu chanjo ya korona! Seriously, kwa kuwa dunia inachanja bila kujali madhara wanayopata kwa chanjo ya majaribio, na ukweli kwamba haikingi kihivyo, mnatutoa kwenye reli salama tuliyoachiwa na...
  11. Msolla, uongozi bora kwenye mpira ni vikombe vingi

    Mzee Kikwete aliusifia uongozi wa akina Msolla kuwa anaongoza vizuri klabu ya Yanga. Je, hii ni kweli? Miaka 4 hujapata kombe lolote ispokuwa Mapinduzi Cup huo ni uongozi bora?
  12. Kumbe nilikuwa nakosea sana kuwadharau Wanawake kwenye Uongozi

    Hakika waswahili hawakukosea waliposema mmzaniaye ndiye kumbe siye, maisha yangu yote sikuwahi kudhani au kuwaza kuwa mwanamke anaweza kusimamia vitu vikaenda sawa sawa bila kasoro. Ila kwa kinachoendelea sasa hakika wanaume tunaona aibu kwakeli tumetawala hii nchi kwa miaka 60 lakini huyu...
  13. N

    Kutengeneza kizazi kipya cha uongozi ni jambo muhimu, ila Baraza la Mawaziri liangaliwe upya

    Tulizoea toka enzi ya Nyerere mawaziri walikuwa wanadumu kipindi kirefu utadhani hakukuwa na watanzania wengine wenye uwezo wa kufanyakazi Tunaweza sema alikuwa anaweka misingi imara ya nchi ktk nyanja mbali mbali hivyo ilimfaa kufanyakazi na wazoefu. Kwasasa nchi imekua, technology imekuwa...
  14. Tatizo la Yanga ni uongozi sio wachezaji wala makocha

    Kusajili wachezaji bila kuwepo kwa kocha mkuu, kuondoka kwa Zahera na makocha wengine, kuondoka Molinga, Yondani, Ngassa, Carlinhos, Lamine, Morrison, Mwakalebela na kusuasua kwa mabadiliko ya club ni ushahidi tosha kuwa benchi la ufundi na wachezaji sio sehemu ya tatizo la Yanga kwa sasa. Kuna...
  15. Ndani ya siku 100 za Uongozi wake, Rais Samia amefanya mambo makubwa

    NDANI YA SIKU 100, RAIS SAMIA AMEFANYA MAMBO MAKUBWA Wanaandika Ndugu Twahir Abasi Kiobya na Denis Shanyangi Kama kuna jambo lolote linalonipa amani na Faraja kwenye nafsi yangu katika siku 100 zilizopita, basi ni kuona kuwa tuna rais wa aina ya Mama Samia Suluhu Hassan. 1. Ndani ya siku 100...
  16. L

    China iko tayari kubeba jukumu la uongozi katika kuisaidia Afrika kufufuka baada ya janga la Covid-19

    Kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Mjumbe wa Taifa wa China na Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi amesema China inaona uwezo wa Afrika wa kusimamia COVID-19 ni muhimu katika kusaidia dunia kufufua biashara na uchumi wake. Serikali ya China imesema Beijing inaiunga mkono Afrika kufufuka...
  17. Gharama za umeme: Rais Samia muwajibishe Waziri Kalemani na uongozi wote wa TANESCO

    Nipo kwenye rekodi hapa ya kumtetea waziri Kalemani huko nyuma lakini leo naomba Rais Samia amfukuze tena ikibidi haraka Sana huyu waziri. Kwa mujibu wa maagizo aliyowapa TANESCO waziri Kalemani anataka sasa karibu watu wote Tanzania nzima wakitaka kuunganishiwa Umeme walipe Elfu 27 tu bila...
  18. Ni kwanini Akili yangu inazitafsiri hivi Tawala ( Awamu ) zote za Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Awamu ya Nyerere Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana. Awamu ya Mwinyi Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache...
  19. Capacity Development Specialist at UONGOZI Institute

    About us UONGOZI Institute was established in 2010 by the Government of Tanzania to inspire and equip Tanzanian and African leaders to deliver inclusive and sustainable solutions. This is done through the provision of high-quality executive education programmes, facilitation of policy dialogues...
  20. K

    Dar es Salaam bado inamuhitaji Paul Makonda sana

    Kiukweli hili jiji bado linahitaji huduma ya aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa huu Mheshimiwa Paul Makonda "Bashite" Kwa sasa jiji limepoa, kama vile halina mkuu wa mkoa Sisi wananchi wa Dar tunakuomba Rais Magufuli uturudishie mtu huyu muhimu kwa maendeleo ya jiji ilikuwa haiwezi pita mwezi bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…