uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Ilianza jamuhuri kwanza,Kisha vyama vya siasa halafu awamu za uongozi na majina ya watu baadae,kwanini jamuhuri inadogoshwa!!?

    Kwasasa majina ya wanasiasa ni makubwa sana kuliko jina la jamhuri,Chama cha siasa ni taasisi kubwa kuliko jamhuri matokeo yake tunatibu hisia za wanasiasa na tamaa zao kuliko matakwa ya jamhuri!ni kwanini tumeamua kuidogosha jamhuri na kukuza majina ya wanasiasa na vyama vyao!!? Ni nani tumpe...
  2. Unadhani ni kwanini Lisu hapendi collective responsibilities ndani ya uongozi wa chama chake?

    Sote ni mashahidi kwamba Tundu Lisu ni mbinafsi mno. Hapendi, haheshimu wala kuzingatia dhana ya uwajibikaji wa pamoja ndani ya taasisi yake mwenyewe. Ratiba za mkutano yake na hata contents za mkutano huwaga ni za kibinafsi Lakini anatumia platforms za Chadema. Hakuna jambo analofanyaga Tundu...
  3. CHADEMA inahitaji uongozi mpya sio uenyekiti pekee.

    Kwa maoni yangu naona CHADEMA inahitaji uongozi mpya kabisa. Naona watu wengi wanaangalia cheo Cha Mwenyekiti na kuacha kuangalia vyeo vingine. CHADEMA inahitaji Mwenyekiti mpya mwenye msimamo sio Leo anasema hivi kesho anabadilika. CHADEMA inahitaji mwenyekiti atakaye kuwa nembo ya chama...
  4. Mfumo wa Uongozi wa Vyama vya Siasa vya Kenya ni mzuri sana, I wish tungeuiga.ACT waliiga ila Zitto alikosea setting.

    Kenya wana mfumo mzuri wa uongozi wa vyama vyao vya siasa na ndio maana hutakaa usikie sijui Raila apumzike, sijui Kalonzo sasa atupishe kule Wiper. Kenya chama kama ODM na vyama vingine wana kiongozi mkuu wa Chama ambaye ni Raila Odinga, huyu ni mbeba Idea ya ODM, hiki cheo gakishindaniwi...
  5. Sijaridhishwa na namna Mbowe anavyoiongoza Chadema, chama chetu kinahitaji mwelekeo mpya na uongozi wenye maono mapya," alisema Tundu Lissu leo akizun

    Sijaridhishwa na namna Mbowe anavyoiongoza Chadema, chama chetu kinahitaji mwelekeo mpya na uongozi wenye maono mapya," alisema Tundu Lissu leo akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Mlimani City. Lissu alitumia fursa hiyo kutangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa...
  6. Q

    Prof. Tibaijuka: Uongozi wa Chama na wa Nchi ni tofauti, mission ya Mbowe haijakamilika

    PROF TIBAIJUKA: MISSION YA MBOWE HAIJAKAMILIKA! “Nimemsikiliza huyu Katibu. Sidhani kama anafahamu haja ya kutenganisha Chama Tawala na Chama cha Upinzani. Anaongea kama aliyekariri mambo. Anatumia mfano wa Zitto Kabwe (@zittokabwe) kuachia ngazi. Mbowe alielezea vizuri jana suala la Mission...
  7. Dar es Salaam: DACOBOA Wakutana na Uongozi wa TRA kujaili masuala ya kikodi

    Viongozi wa Chama Cha Wamiliki wa Daladala Dar es Salaam (DACOBOA) wamekutana na Viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo 10 Desemba, 2024 kutoka Idara ya Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano na kufanya nao mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kikodi kuhusu usafirishaji wa abiria ndani...
  8. Mwenyekiti wa UVCCM, Kigoma: Abuya awataka Vijana kuwajibika na kuonyesha Uadilifu katika Uongozi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kigoma, Ndugu Emanuel Abuya, amekutana na wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa vijana, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji katika nafasi zao za uongozi. Alisema kuwa chama kina imani kubwa na vijana, hivyo ni jukumu lao kuonyesha mfano bora kwa vitendo. "Twende...
  9. Uongozi wa UDSM watoa angalizo uwepo wa CHATU maeneo ya Shule ya Msingi Mlimani

  10. Kwa mtazamo wa Polybius huenda tatizo kubwa la Afrika ni kujaribu kurukia Demokrasia, kukimbia kabla ya kutambaa

    Polybius, Mwanafilosofia wa kale wa Ugiriki na baadaye mfungwa wa Roma kisiasa aliyeishi karne ya pili kabla ya Kristo alichukua muda mrefu kujifunza mifumo ya serikali na historia yake katika nchi yake ya Ugiriki na Utawala wa Roma akaja na nadharia maarufu ya "anacyclosis". Katika nadharia ya...
  11. Vijana na nafasi za uongozi Marekani

    Wanajamvi kuna suala la USA kutowaamin vijana kwa upande wangu nimeshuhudia masenators wengi ni wazee ha hata viongozi mbalimbali wa mataasisi na hata pia cabinet secretaries na member of house of Representatives. Je ni kweli USA haimini ktk vijana ktka masuala ya uongozi?
  12. DOKEZO Ujenzi holela ndani ya Manispaa ya Moshi, ukiendana na uongozi mbovu wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi

    Ujenzi Holela Ndani ya Manispaa ya Moshi Moshi imekuwa mfano wa usafi na mpangilio mzuri wa makazi katika nchi yetu. Hata hivyo, tangu mwaka 2024, hali imebadilika kutokana na usimamizi hafifu wa sera na kanuni za mipango miji. Ujenzi holela wa maeneo kama vile bar, car wash, na biashara...
  13. Israel ataanzisha mashambulizi makubwa mara tu Donald Trump atakapoanza Rasimi Uongozi wake hapo January

    Ndugu zangu Ayatollah, najua mnafurahia makubaliano ya kusitisha vita, ila nawapa Pole. Hivi kweli Israel anawadanganya nanyie mnaingia King? Alafu Trump naye akawazuga, Et ohoo nitasitisha vita Gaza??.. yaan Trump aloitambua Jerusalemi kama mji Mkuu wa Israel? Subirini, sahizi Israel...
  14. A

    KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

    Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo. Tatizo letu kubwa ni kuhusu...
  15. M

    Uongozi wa chuo Cha usafirishaji Tanzania(NIT) tunaomba mtusikie

    Moja kwa moja niende kwenye mada inayohusu vyuo vingi lakini hasa Chuo cha Usafirishaji Tanzania (NIT), ambapo limetoka tangazo linalowataka wanafunzi kulipa asilimia 50 ya ada ili kuruhusiwa kufanya Test 1. Kwa kuwa mhula umeanza hivi karibuni na tunafahamu vipato vinatofautiana, baadhi ya...
  16. Mashabiki wa Yanga wanahaha eti Shida sio wachezaji, shida ni uongozi, unamtoaje Gamondi? Wamefungwa mechi tatu mfululizo

    Kumekucha Jangwani, wenyewe wahaha baada ya kipigo cha mbwa koko cha bao 2 kwa nunge dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Soma Pia: FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |
  17. R

    Chuo Kikuu Mzumbe mmetumia vigezo gani kumtunukuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi?

    1. Katika historia ya Tanzania, hakuna kipindi ambacho demokrasia imekanyagwa kama kipindi hiki cha Rais samia. Dunia ya leo base kubwa ya uogozi bora inapimwa na demokrasia katika utawala husika 2. Haki za binadamu zimmekanyagwa kuliko kipindi chochote kila hata kuzidi kipindi cha mtangulizi...
  18. Tanzania yashinda tena tuzo kubwa ya utalii ya kuitwa World's Leading Safari Destination

    Wakuu, Tanzania imeendelea kung'ara kwenye utalii katika ngazi ya kimataifa na hii ni baada ya kuibuka kidedea kwa mara nyingine tena kwenye tuzo za World’s Leading Safari Destination ============================================================= Hatimaye baada ya mchuano mkali Tanzania...
  19. L

    Rais Samia: Mapito Ya Uongozi Yameniongezea Maarifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ametoa hotuba yenye hisia kali sana ,iliyowagusa watu wengi sana. Ni hotuba ya kihistoria yenye kuonyesha namna Tanzania tulivyo bahatika kuwa na kiongozi mwenye Maono, akili kubwa, upeo, maarifa na kipaji cha uongozi. Imeonyesha namna Rais wetu...
  20. Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi

    https://www.youtube.com/live/4zaJF1ulpWo?si=IAPHRSt9HALIxBDp Chuo Kikuu Mzumbe kinatarajia Kumtunuku Rais Samia Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi wa Chuo kama ishara ya kutambua jitihada zake katika kuboresha Elimu ya Juu Nchini hasa miundombinu,Utafiti na kuongeza idadi ya udahili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…