uonevu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtumishi akihoji kuhusu stahiki zake tu Sabasaba Health Center anahamishwa

    "Mimi ni mtumishi hapa Kituo cha Afya Sabasaba Health Center, Morogoro. Ningependa kueleza kero kubwa inayotuumiza na inayohitaji uchunguzi wa dharura kutoka mamlaka za juu. Ndani ya kituo chetu, kuna uonevu unaoendelea; watumishi wote wanaothubutu kuhoji au kudai haki na stahiki zao za msingi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rushwa na Uonevu Bandari ya Kemondo

    Bandari ya Kemondo(Kagera) kumekuwa na matukio yasiyofaa ambapo walinzi katika eneo ilo wamekuwa wakitumia kigezo cha kutokuwa na vitambulisho kuomba rushwa. Lakini pia idara ya ulinzi ya eneo ilo wamegeuka miungo watu wasumbua sana wasafiri kwa kutaka kunyenyekewa na pale inaponekana mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Hata Bokoharamu walianza kwa mzaa mzaa kama TFF. Uonevu huleta chuki katika jamii

    Hawa wanaojiita Tff unaweza kuwadharau. Kumbe uonevu umezalisha chuki
  4. JamiiForums Tanzania Ramadhan Special Thread

    Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Maafisa wa Manispaa ya Songea Mjini wanaonea Vijana wanaondesha Bajaji, wanawatoza faini Sh. Laki 5

    Vijana wanaoendesha Bajaji wamekuwa wakishikwa kwa nguvu na (WAGAMBO), kuna muda wanakimbizwa na gari na wengine wakisababishiwa ajali wakidai ni WRONG PARKING. Baada ya kukamata Bajaji zinafungiwa ndani na ukifatilia ili uzitoe, unaambiwa ulipie Shilingi LAKI TANO (Tsh 500,000). Tumeenda...
  6. JamiiForums Tanzania Update ya tukio la uonevu kwa kijana Emmanuel Mlimila

    - Baada ya video ya jiko lile na wanafunzi kusambaa, viongozi wakamkamata, wakamlazimisha arekodi video ya "maelezo ya uongo" ili wamuachie, na video yenyewe ni hii chini Unyanyasaji na upuuzi wa viongozi na polisi wa eneo hilo, unamuumiza kijana asiye na hatia aliyetaka shule yao isaidike...
  7. JamiiForums Tanzania Wengi wetu tulikuwa tunaona ni uonevu Russia kuivamia kijeshi Ukraine, ila kwa haya yanayotokea (Imperialism)- ilikuwa haki kabisa ya Urusi

    JUST NI REALITY VIEW , NGUVU KUBWA INATUMIKA KUHAKIKISHA MALI (RASILIMALI ) ZA NCHI MOJA ZINAPITIA , NA NI LAZIMA ZIPITE KWENYE NCHI KUBWA YENYE NGUVU KIJESHI ILI TUU MAISHA YAENDELEE.............. NILIKUWAGA NAONA NI UONEVU WA URUSI , KUMBE MADAI YAKE YALIKUWA NA MASHIKO ...... OIL...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukweli wasioutaka Mafisadi: TEC hawajaoverride madhehebu mengine bali Wanapinga uonevu na ufisadi

    Hata kwenye Biblia walikuwepo manibii kama Elisha na Eliya walipinga uonevu na ufisadi. TEC wanapinga utekaji, wizi wa mali za umma na nepotism ya hali juu. Mfano Dp World kupewa usimamizi wa Bandari bila sababu ili kutengeneza mianya ya upigaji na kuwanufaisha warabu. Utekaji usio na...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kama kweli kuna wataalum wa nguvu za asili wenye kuweza kulipiza mabaya kwa mabaya basi walipize kwa uonevu unaotokea Tz

    Huu ni ujinga kila siku watu wanateseka kwa maovu na uonevu wa viongozi ndani ya Tz na huku watu wakijinadi kuwa wanauwezo wa kulipiza kwa nguvu za asili kila leo. Ni wazi mungu wa biblia na quruan kashindwa kuwatetea waTz hivyo hawa watu wenye nguvu za asili za Mungu wakweli amkeni muwatete na...
  10. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 Digital memorial/Archive for Lives Lost in Tanzania’s Recent Violence

    The last couple of days, tumeshuhudia ndugu, marafiki, na jamaa zetu, wakubwa kwa wadogo wakiuwawa bila huruma yoyote. 💔 MAY THEY REST WELL! Tunayopitia ni magumu, ila kwa neema ya Mungu na kwakufarijiana, tutafika.😔 Kila nikiingia online nakutana na videos mpya za watu waliouwawa, ama...
  11. JamiiForums Tanzania Zama za Uonevu na ufisadi zimefika mwisho

    CCM lazima iwajibike ipasavyo! Wale wote waliotumia madaraka vibaya, waliokwapua mali ya umma au kuvunja haki za wananchi, watakabiliwa na sheria. Hakuna aliye juu ya sheria — kila mtu atajibu kwa matendo yake.” Kesi zitakazochunguzwa ni pamoja na: Kesi za ufisadi na matumizi mabaya ya fedha...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Uonevu wa wakulima wa cocoa halmashauri ya Mlimba

    Salaam wakuu, Uongozi wa Halmashauri ya Mlimba umetangaza kuanza kuwaandikisha na kuwasajili wakulima wa zao la kokoa, Hii inafikirisha sanaaa, je Nia yao Nini hasa? Kwanini waje na huo Mpango kwa wakulima wa kokoa tu? Kwanini wasifanye kwa wakulima wote wa mpunga, mawese, mahindi, matikiti...
  13. JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Huu ni uonevu ambao haupaswi kuvumiliwa

    Maxence Melo: Huu ni uonevu ambao haupaswi kuvumiliwa. Tunajenga hofu kwa vijana wa Kitanzania kuwa na udhubutu kufanya vitu kama hivi, tunatamani watu wenye uwezo wa kufanya vitu kama hivi kikakua nje ya mipanga ya Tanzania na kikaweza kufanya zaidi na zaidi. Kimsingi kinauwa local content...
  14. JamiiForums Tanzania Sabaya onyesha kuwa na njaa na dhiki za kisiasa. Atamka hadharani kuwq hata akipelekwa gerezani kwa uonevu CCM ni dude kubwa

    Huu ni upumbavu na ujinga. Unapelekwa gerezani kwa kesi ya unyag'anyi wa kutumia silaha ya kubumba. Alafu unasota gerezani mpaka unakuwa hoi Unatoka gerezani na mahakama inathibitisha kuwa haukufanya kosa la kunyag'anya mali kwa kutumia silaha. Kwa upuuzi na dhiki za kisiasa unatamka...
  15. JamiiForums Tanzania Albert Msando, Mkuu wa Wilaya UBUNGO anatafuta Hela kinguvu kupitia makosa ya uonevu barabarani

    CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye! tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI aiianza na kusema...
  16. JamiiForums Tanzania CCM na Siasa ya Kuendeleza Umaskini: Uongozi au Uonevu wa Kitaasisi?

    CCM imeigeuza Tanzania kuwa laboratory ya umaskini wa kimfumo. Badala ya kutengeneza mazingira ya usawa wa kiuchumi, mmejenga structures zinazowanufaisha wachache huku mamilioni wakizama kwenye umasikini wa kurithishana. Kilimo kimebaki kuwa cha jembe la mkono, elimu ni kwa wenye uwezo, afya ni...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tuliokoe taifa, Uonevu ukizidi watu wanaanza kuwa na mawazo mtambuka. , Tusifike huko hakufai

    Msikilize huyu, naomba tusifike huko
  18. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwanajeshi wa KDF, Afikishwa Mahakamani kwa Kuunda Kundi Dhidi ya Uonevu wa Polisi

    Patrick Osoi, aliyewahi kuwa askari wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), alikamatwa Jumanne baada ya kuunda vuguvugu la kupinga ukatili wa polisi pamoja na maafisa wawili wa polisi. Siku ya Jumatano, alifikishwa katika Mahakama ya Kahawa. Kwa mujibu wa hati ya maombi iliyowasilishwa na Idara ya...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu

    Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu. Hivyo mtu yeyote asisingizie chama cha mtu kufanya haya. Kwanini unaibia kura watu ambao unasema wanakupenda, kwanini unakula rushwa au kuteka . Jeshi letu na mahakama saidieni nchi kwenye haya
  20. S

    JamiiForums Tanzania Taswira ya serikali ya CCM; utekaji, uuaji, kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa

    Kuna kitu nimeshindwa kabisa kuelewa sisi Watanzania ni watu wa aina gani. Tunawezaje kuona serikali ambayo imekubuhu katika utekaji, uuaji, utozaji kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa kwa wageni, udanganyfu katika uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…