unyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Malaika wa kwenye uislamu humlaani mwanamke usiku kucha akimnyima mumewe unyumba

    Ni kama hawa malaika hukaa mkao wa kusubiri kutazama show, ila sasa mke akigoma kumfuata mume kitandani, wanamlaani huyo mwanamke usiku kucha.... Sio maneno yangu ila andiko hili hapa.... sahih al-bukhari 3237 Allah's Messenger (ﷺ) said, "If a husband calls his wife to his bed (i.e. to have...
  2. N

    Huwa tunakuwa wanafki kuonekana wema lakini suluhisho la kunyimwa unyumba muda mrefu na kukosa watoto ni kuongeza mke au kuvunja ndoa

    Imekuwa too much sasa, mara kwa mara naona wanaume wakilalamika kunyimwa unyumba muda mrefu, pia kumekuwa na ongezeko la ndoa nyingi zenye miaka 5+ kukosa watoto. Kama ni mwanaume -Ongeza mke -Vunja ndoa oa mwengine Kama ni mwanamke -Omba talaka uolewe upya Tuache kujifanya wema kwa unafki...
  3. UtdProfile_

    Mwezi wa Nne mchumba ananinyima unyumba wakuu nifanyaje?

    Kumekuwa na sitofahamu kati yangu na mchumba ang, last dance ilikuwa kama miez 4 iliyopita.. na kila nikimpangilia kuja ghetto ni kipengele aisee nifanyaje?
  4. Sigara Kali

    Dawa ya mwanamke anayekunyima unyumba

    Nitajieni dawa mujaribu ya kukomesha hii tabia ya huyu mwanamke alieanza kuninyima unyumba Ni binti wa miaka ya 2000 namlisha mamvisha na kumhudumia kwa kila kitu Hivi karibuni nimegundua kuna jamaa anachat nae sana hadi mwanamke kaanza kuwa na kiburi cha chini chini Mbaya zaidi kaninyima...
  5. Melki Wamatukio

    Kipi hupelekea wanawake kuwanyima unyumba waume zao?

    Hili sasa limekuwa ni tishio. Nahisi ni moja kati ya sababu inayowapelekea vijana wengi kuishi maisha yao wao kama wao. Unyumba Unyumba Unyumba Najiuliza, sijui wanapitia machungu makali sana pale Abdallah anapozama chumvini🤔 Sijui ni uvivu tu🤔 Sijui ndo upendo umekwisha, I mean bila upendo...
  6. F

    Mke ananipa unyumba kwa tabu sana

    Habari zenu wakuu, kama kichwa kinavyojieleza. Mimi na huyu mke wangu tupo kwenye ndoa kwa miaka mitatu sasa. Mwanzo kipindi tunaingia kwenye ndoa alikuwa ananipa haki yangu tena kwa ushirikiano mkubwa sana. Tatizo lilianza alipobeba ujauzito. Miezi ya mwanzo ya ujauzito hadi kufikia miezi...
  7. Fbn

    Hivi kwa nini familia ambayo imedumu mke na mume ina watoto wengi waliozaa ukilinganisha na hawa sasa watoto wakizidi watatu?.jibu ni unyumba

    Ukichunguza ukaribu watu ambao ndoa kuvunjika na ikivunjika basi kunatizo tena sio tatizo ni kwamba mzee ndio tatizo kama baba wa kusimamia. Miaka ya nyuma wazee waliweza kumudu wake wengi na kila mke aliweza kupata anacho wekewa kuzalishwa idadi ya watoto ya kama movie ya fast ferious. Ila...
  8. Fbn

    Kesi nyingi za wanandoa ni kupangiana au kunyima unyumba

    Ni aibu sana au kukuta mtu jasiri akitamka kuwa mizozo na kushindwa kuelewa ni unyumba. Shida hii inaweza kuwa kwa mwanaume au mwanake kila mtu kuwa na sababu zake mfano utafutaji,kukosekana kwa ubunifu,kupungua kwa mapenzi,kuzoeana na kujuana sana kabla mjaingia kwenye ndoa. Sababu zengine...
  9. Waufukweni

    Wanaume waililia Serikali ya Kijiji kisa kunyimwa Unyumba na Wake zao

    Wakuu Mwenyekiti wa kijiji cha Mloda kata ya Mlowa barabarani, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Adam Philemon amesema miongoni mwa malalamiko yaliyokithiri katika kijiji hicho ni wanaume kunyimwa unyumba, huku akiwataka wanaume kutoa taarifa za vitendo hivyo kwenye sehemu husika ili kutokomeza...
  10. Maleven

    Tangu mke wangu apate ujauzito maelewano yamepotea na unyumba nanyimwa

    Japo tulitofautiana kipindi cha nyuma ula mambo yalikaa sawa, sex ilikua vizuri tu na mambo mengine, ila tangu apate ujauzito, 1. Ni kama ananichukia yani hakuna yale mazungunzo tuliokua twafanya, hakuna story 2. Hata akipika sasa siitwi tena anaweka anakula unakuta tu chakula mezani. 3...
  11. Waufukweni

    Ruvuma: Aua mke wake kisa kunyimwa Unyumba

    Martin Hyera, mkazi wa Kijiji cha Kizuka, wilayani Songea anatafutwa na Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, kwa tuhuma za Kumuua Mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu chenye ncha kali kichwani chanzo kikiwa kunyimwa Unyumba. Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya...
  12. KikulachoChako

    Mwanaume mwenzangu, mkeo kukunyima unyumba nje ya dharura za kibinadamu ni dharau kubwa sana

    Kumekucha wana Baraza....... Hili halihitaji maelezo mengi kwani limekuwa tatizo sugu kwenye vyumba vya wanandoa mpaka baadhi ya wanaume (mabwege) wameanza kuona ni jambo la kawaida...... Ngoja niongee KIUME...... Kunyimwa uchi na mkeo sio jambo la kawaida.....tendo la ndoa ni nguzo kuu...
  13. Mjanja M1

    Video: Nimenyimwa unyumba na Mke wangu miezi 9

    Johnson Antony anasema mke wake akimkosea ananuna mpaka wiki mbili na akimgusa anamtoa mkono au anasema amechoka yani inaweza kufika mpaka miezi 9 ajapewa unyumba. Credit: WasafiTv
  14. Mjanja M1

    Mtoto wa miaka mitatu awekwa unyumba na Baba yake mzazi

    Kuna msemo unaosema ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, tukio la Baba mzazi mkazi wa mtaa wa Mafisa, Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kudaiwa kumuweka unyumba mtoto wake wa kike wa miaka mitatu limewachukiza wengi huku baadhi ya wananchi wakiiomba serikali kuchukua hatua kali...
  15. BARD AI

    Polisi Njombe: Mwanaume aliyeua Mkewe na Kumkata Vipande Vipande Alinyimwa Unyumba

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Hassan Banga amesema Tumaini Luvanda (35) Mkazi wa Dombwela Wilaya ya Makete Mkoani Njombe aliyeuawa kwa kukatwakatwa na panga vipande na kisha kutenganishwa kichwa na kiwiliwili, na baadhi ya viungo vyake kutupwa Mtoni katika eneo la Kabinda Wilayani...
  16. T

    Kikongwe wa miaka 110 aua mke kisa kunyimwa unyumba

    Babu, kikongwe wa miaka 110 amekamatwa kwa kosa la kuua mke baada ya mke wake kumnyima unyumba. ==== Polisi huko katika wilaya ya Ntungamo nchini Uganda, wanamshikilia mzee mmoja mwenye umri wa miaka 110 kwa tuhuma za kumuua mkewe mwenye umri wa miaka 109 kwa kosa la kumnyima unyumba. Kwa...
  17. Mganguzi

    USHAURI: Vipimo vya UKIMWI kupitia mdomo vinaonesha mmoja wetu ameathirika, sasa hataki tena kunipa unyumba

    Nampenda sana mke wangu, inshort ni mrembo sana na amejaaliwa kila kitu ambacho mwanaume anakitaka kwa mwanamke na nimezaa naye mtoto mmoja. Miezi mitatu iliyopita tulikuwa katika hali ya kutaniana, mimi nilikuja na vipimo vya HIV vile vya kuweka mdomoni, kuna jamaa yangu ni daktari alinipa...
  18. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Ipo haja ya viongozi wetu kujali maslahi ya umma na si kujali maslahi yao na koo zao baada ya kustaafu uongozi!

    Wakuu Kama Dp world imeyeyuka rasmi baada ya tamko la Tec na wanaharakati mbali mbali kupiga kelele it's obvious kwamba mhanga wa hayo yote ni Dr slaa KWA KUWA msemaji mkuu wa kelele hizi nchini!! Gubu la mfaidikaji mkuu wa kandarasi hiyo limeamua kumtafuna Ili kupoza machungu ya kukosa ugali...
  19. Oscar Lyrics

    Inawezekanaje mke kumnyima mume wake unyumba?

    Habarini wandugu, Moja kwa moja kwenye mada yetu. Rafiki yangu mmoja aliniuliza `Hivi King Jody umewahi kunyimwa unyumba na mke wako? Nikamjibu hapana, hata mara moja, nikamwambia nipo kwenye ndoa kwa zaidi ya mika 10 sijawahi nyimwa hata mara moja hata kama tumepishana kauli nikihitaji napewa...
  20. Maleven

    Suala la kuomba unyumba na kunyimwa linaumiza sana

    Usiku unaambiwa amechoka hadi asubuhi, asubuhi unambiwa ngoja nimalizie usingizi, yani unapigwa danadana kama unaomba kazi vile au nini. Af we unahasira mtu kakunyima, anaingia kwenye simu anakuonesha ujinga ujinga aloukuta huko mitandaoni anadhani we uko kwenye mood ya kucheka. Kuna wanawake...
Back
Top Bottom