Mimi binafsi naamini misemo hii baadhi haina nguvu hivi sasa, kwa mfano
-Aliejuu mngoje chini, Vijana wasasa hawana mda wa kupoteza wanakufuata hukohuko juu
-Mshika mawili moja humpokonyoka, kizazi cha sasa hawashiki moja maana wanaamini ni uvivu
Tiririka nawewe misemo ambayo unaona wahenga...
WANAOPENDA SANA MAHABA
Kuna jamiii ziliwafundisha/zinafundisha wanawake au watoto wa kike kumlea mme, hapa wapo kutoka mikoa ya Tanga, Tabora, Pwani na baadhi ya maeneo mwambao wote wa pwani ya bahari ya hindi
Jamii ya watu hawa wamefundwa haswa kulea mme ukioa huko kwenye hiyo mikoa utapewa...
Kuna zile moment unakuwa na hela nyingi ghafla halafu ulizimiss kushika mkwanja mrefu sasa kuziacha Katika account NI kama roho hairidhiki unatamani uzishike shike uzioneone yaani uwe nazo karibu cash Tu mambo ya tozo na makato na miamala kwa muda uyasahau.
Sasa kimbembe kinakuja pale sehemu...
Wakuu
====
Katika miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Tanzania kupitia DART (Dar Rapid Transit) imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma jijini Dar es Salaam kwa kununua magari ya mwendokasi. Hata hivyo, licha ya uwekezaji huo mkubwa, changamoto bado ni kubwa —...
Mnamo Septemba 2021, mwanamitindo kutoka nchini Brazil Cris Galera, alifunga ndoa na kujioa mwenyewe kwa sherehe aliyoalika ndugu jamaa na marafiki,
Na alipoulizwa sababu ya kufanya hivyo alidai, anachokitaka zaidi ni uhuru wake na kujipenda kuliko kumpenda mtu mwingine.
Lakini katika hali ya...
Ijumaa kareem wana JF
Leo nimekuandalia hii thread ambayo inaweza ikakusaidia wewe mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya aina yoyote ile iwe ni kilimo, ufugaji au hizi biashara za kwenye frame hapa panakufaa.
Kabla ya yote inatakiwa utambue ya kwamba kuna kitu kimoja ambacho biashara zote...
Niaje wakuu, bonjour comment cava!
Kama title inavyosomeka, share chochote unachoona unakifanya kwa utofauti kinakusaidia kwenye mahusiano yako,kazi/ajira yako, biashara yako, ama elimu yako.
Au hata kama hakikusaidii lakini unakifanya kwa upekee.
Cc: Binti Sayuni03 | Vincenzo Jr | Mwachiluwi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.