TUACHE UNAFIKI KIDOGO, TUONGEE UKWELI.
Kuna kitu nimekuwa nikikiona sana kwenye maisha ya watu, na sijui kama ni mimi nimekiona au wengi tunakiona ila tunaogopa kusema.
Kwanini mtu akianza maisha akiwa hana kitu, watu wanamwambia “vumilia, kila mtu anaanzia chini”, lakini huyo huyo mtu...