unafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Munch wa Annabelle

    Guest na Lodge wamezijaza wao lakini kwa unafiki wataanza memes za kuwasema waislam

    Shalom shalom Nipo kwenye group ambalo members wake asilimia 99 ni makafiri huku kobaz tukiwa wawili tu. Vilevile huo mkoa asilimia kubwa ni hawa ndugu zetu katika imani asilimia 99 Chakushangaza washaanza memes za kudai kobaz wapunguze oda za Lodge na guests wakati kuhalisia hata kobazi wa...
  2. baz kaiza

    Mach 17 kesho tunaenda kushuduia unafiki wa kiwango cha kupitiliza cha wanasiasa wa Tanzania

    Kesho kila mtu atajifanya alikua rafiki wa JPM hata maadui zake kesho wanaenda kutumia karata ya uzalendo wa JPM na wao kujifanya wanasisitiza watanzania kua wazalendo wakati ni kinyume chake. Kesho tunaenda kuona na kushudia hata wale waliosema...
  3. baz kaiza

    Kesho Machi 17 kwenye kumbukumbu ya Hayati Magufuli tutashuhudia unafiki wa wanasiasa wa Tanzania

    Kesho kila mtu atajifanya alikua rafiki wa JPM hata maadui zake kesho wanaenda kutumia karata ya uzalendo wa JPM na wao kujifanya wanasisitiza watanzania kua wazalendo wakati ni kinyume chake. Kesho tunaenda kuona na kushudia hata wale waliosema bahari imetulia au waliosema wabaya hawafi nao...
  4. Jaji Mfawidhi

    Dini ndio chanzo cha unafiki Mashariki ya kati?

    There is something wrong somewhere! Watu wengi huangalia juu juu tuu. Shida kubwa duniani ni UNAFKI. Haswa unaotokana na imani. Imani ni kama kutu, inakula tuu! Kuna vitu vilipaswa kuisha. Kama fujo za Palestine na Israel. Lakini, dini na watu wa dini ndio fujo.. Palestine ISSUE" Fatah ndio...
  5. Red black

    Tuache unafiki mtu usiku kucha umekesha unakula vyakula vya kutosha halafu next day unajifanya saumu imekaza😆

    Binadamu always ni mnafiki,
  6. Stuxnet

    Pengo na Nkwera wote wamekufa. Mungu atatoa jibu ni nani alikuwa sawa kwenye mgogoro wa 1992-95

    Mgogoro dhidi ya Fr Nkwera ulianza mara tu Pengo alipokuwa Askofu Mkuu (1992) 1.Matatizo yalianza baada ya Polycarp Pengo kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Dar es Salaam. Alimuita “padre mtoro” na kuanza mchakato wa kumdhibiti. Fr. Nkwera alitajwa kama padre asiye chini ya jimbo rasmi, jambo...
  7. Hance Mtanashati

    Ramadhan Special Thread

    Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...
  8. The Father of All

    Ona unafiki wa hawa Maayatollah na wizi wao kwa kutumia dini

    Hii ni picha ya kaburi la ayatollah Ruhollah Khomeini lillilogharimu takriban dola bilioni mbili. Halafu wanakwambia kuwa hakuna shirk wala kuabudia sana au kufanya israfu au matumizi mabaya. Hii kama siyo israfu na shirk ni nini jamani? Hicho ndicho kitovu cha jengo lote hilo. Waislam...
  9. Damaso

    Kataa unafiki wa SMS za Mwisho wa Mwaka: Kataa Drama za Dakika za Mwisho

    Bado masaa machache tu kuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, wakuu ndipo simu zinapoanza kulia kwa fujo. Ghafla, watu waliokuwa kimya na jeuri kwa siku 364 na zaidi wanakumbuka uwepo wako. Unakutana na liujumbe refu: “Kama nimekukosea nisamehe,” “tusameheane kabla ya mwaka kuisha,”...
  10. hamis77

    Rasmi nimehamishia ibada nyumbani sababu ya unafiki wa viongozi wa dini

    Kutokana na haya yanayotokea katika nchi yetu, tumeona TEC wakitoa msimamo wao msimamo wa kusimamia haki, kutetea wanyonge na kusimama na Watanzania bila woga. Maandiko yanasema👇👇 “Fungua kinywa chako kwa ajili ya bubu… hukumu kwa haki, mtetee mnyonge na maskini.” (Mithali 31:8–9) “Jifundisheni...
  11. Cute Wife

    PostGE2025 Mtangazaji Clouds TV: Pongezi za Msigwa kwa Waandishi hazinihusu, tuache unafiki!

    Wakuu, Wakiwa kwenye kipindi watangazaji wa Clouds, wameulizana swahili hili: "Sifa mlizopewa jana na Msemaji Mkuu wa Serikali mpaka kufikia kuundiwa mfuko maalum (wa wananhabari) mnadhani sifa hizo mnastahili?" Mtangazaji Sam Sasali kajibu hizo pongezi kwaajili ya kutopost picha za...
  12. Jidu La Mabambasi

    PostGE2025 Unafiki wa Wazanzibari: Fatma Karume kimyaaa!

    Pamoja na kusikia idadi kubwa ya wananchi kufariki wakati wa uchaguzi/ maandamano October 29 mwaka huu Wazanxibari woke kimya kabisa. Si Rais Mwinyi wala wanaharakati kama Fatma Karume wamenyanyua mdomo. Watanganyika mjitathmini!
  13. Waufukweni

    Kumbukizi: Godbless Lema zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, Uislamu na Ukristo ambao hautendi haki, huo ni unafiki wala siyo Udini

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Godbless Lema kwenye moja ya Mkutano wake wa hadhara alisema; Waislamu sikilizeni, zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, nawaambia mimi najua 'game' zinavyochezwa nchi hii, waambieni hivi kwani CHADEMA wanashida na Msikiti?...Sisi...
  14. H

    Maalim KONDO BUNGO Aelezea unafiki wa BAKWATA

    BAKWATA KIDONDA KIPO MGUUNI DAWA MNAWEKA MACHONI ! Na Maalim KONDO BUNGO Nikweli tunafahamu kwamba Bakwata haijawahi kupingana au kutofautiana na Ccm na Serikali yake hata mara moja hata pale Serikali inapofanya matukio yanayo onesha kuwadhuru waisilam. Tumeona mwaka 1993 waisilam (...
  15. Kubwjing

    Sheikh Hassan Jah apingana na wenzie na kusema waislam waache unafiki katika kuliombea taifa

    Asalaam Aleykhum Warahmatulaah Ndugu zangu, hasa Waislam wallah huyu Sheikh huwa ana Mawaidha ambayo yanaweza kukupa maswali mengi lakini mengi yaukweli ndani yake kwa kulingania na yaliyoandikwa katika Qur'an LEO HII, Amesema kuwa endapo Viongozi wa Dini ya Kiislam watawataka Waumin wakutane...
  16. K

    Polepole athibitisha unafiki wa urafiki ndani ya CCM

    Polepole athibitisha unafiki wa urafiki ndani ya CCM! Yaani mtu ambaye mlikuwa karibu hutaki hata kujua hali yake hata baada ya Mama mzazi wake kuongea hujali hata kuuliza na hata kusema basi unamuombea na kumuombea shinikizo aachaliwe. Yaani muongeaji pekee ni Heche!!!! huko CCM kuna binadamu...
  17. Lamomy

    Watanzania na unafiki huwezi kuwatenganisha

    Watanzania sisi ni wanafiki sana haijawahi kutokea, mtanzania mnaweza kupanga jambo pamoja lakini mbele akakusaliti sijui ni roho mbaya au wivu? Ngoja niwaambie, sisi watanzania sio waoga ila tunateswa na UNAFIKI. Ukitaka kujua mtaani tunapoishi umeme ukatike, cha kwanza ni kuchungulia kama...
  18. Surya

    Naamini Maandiko na Kugundua Dini zimejaa unafiki

    Watanzania ifike sehemu Tupunguze unafiki tukiamua kupenda unafiki basi tukomae nao bila kuficha, Na tukiamua kuacha unafiki Tuache bila kuficha... Kiwango kikubwa hicho cha unafiki huwenda kikageuzwa na Neema(Grace) kuwa baraka. Tuelewe kwanza, biblia haifundishi kuwa Dini ndio kigezo cha...
  19. nzalendo

    Unafiki kando.....hii kitu iruhusiwe....serikali inakosa mapato

    https://www.instagram.com/reel/DNzqOD_UrIt/?igsh=MXRscThhYmkwbmJkbQ==
  20. Tlaatlaah

    Nidhamu ya uoga, unafiki na kujipendekeza ndivyo haswa vinamtesa Hamphrey Polepole kisaikolojia na moyoni akiwa mafichoni

    Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake ukataliwe kwa vielelezo angalau leo hii angelionekana mtu wa maana kiasi. Hivi sasa, historia ina...
Back
Top Bottom