Directory ni Sehemu ambayo inaorodhesha majina ya biashara mbalimbali za eneo husika.
Mara nyingi hizi Directory za biashara huonesha Sehemu biashara yako ipo, namba za Simu na tovuti yako.
Directory husambazwa Sehemu nyingi tofauti tofauti na hutumiwa na Wafanyabiashara kutafuta wateja na...