umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ikifika Derby ya October, wazee wa Yanga watakuwa wamesogeza umri kwa miezi miwili

    Jana vijana wa Ultrasound waliwatoa ulimi kweli kweli vyura wakongwe bado kidogo watapike nyonga. Baada ya mechi tuliwaona kina Mzee Aucho viungo vyote havifanyi kazi hata kutembea kwenda vyumbani ilikuwa shida. Tunaenda kuongeza chuma moja matata sana kusimama pale namba 9 akishare namba na...
  2. JamiiForums Tanzania Refresh kidogo na old skul ukifikiria jinsi umri wako unavyoenda kwa kasi

    Greetings wanajukwaa. Leo nilikuwa nasikiliza Album ya Lady Jay dee inaitwa SHUKRANI nikakoshwa sana na nyimbo mbili moja namba 4 na namba 9 4. Mwanaume hana dawa - lady jay dee Na hii hapa chini inaitwa usikatae lady jay dee ft Various artist https://youtu.be/8hhRee7ZoY4?si=lP2XoLVCHWk4WhID...
  3. JamiiForums Tanzania Unatamani kufa ukiwa na hali gani?

    Unatamani kufa ukiwa Mzee hujiwezi kwa lolote, au unatamani kufa ukiwa na nguvu zako?
  4. JamiiForums Tanzania Tofauti za umri katika mahusiano ya kimapenzi: Nadharia na uzoefu wa maisha halisi

    Katika dunia ya mahusiano ya kimapenzi, tofauti za umri kati ya wenzi ni jambo ambalo linaweza kuleta changamoto na fursa za kipekee. Utafiti wa kina umeonyesha kuwa tofauti hizi zinaweza kuathiri mienendo, malengo, na matarajio ya wahusiano. Nadharia mbalimbali, kama vile Nadharia ya Mwitikio...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua umri wa Boka, nahisi kaja kula pensheni yake

    Yanga tumesajili beki mpya wa pembeni Boka. Anachukua nafasi ya Lomalisa. Jana alicheza dakika 10 tu akatoka nje kwa majeraha. Naomba kujua umri wa huyu veteran wetu mpya? Kuna hesabu napiga hapa…
  6. T

    JamiiForums Tanzania Umri unaenda aisee, nachanganyikiwa! Samahani niliowatukana kwasababu umri mkubwa halafu hawana kitu

    Kiukweli hapa nilipo nachanyikiwa Sana wakuu sijui nifanyeje kiukweli Kama ingewezekana kuna uwezo wa kurudisha siku nyuma ningefanya hivyo lakini ndiyo hivyo haiwezekani hata kidogo aisee ndugu zangu mniombee kabisa Unajua kipindi Niko kijana barobaro kwenye mwanzoni mwa miaka 20 nilikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume umri 30+ kama hajaoa ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa 27+ ni Malaya

    Shalom, Ukweli ni dawa na acha tuwape dose, mwanaume akiwa akiwa na kazi rasmi na umri 30+ years kama hajaoa huyo ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa umri wa 27+ years huyo ni Malaya. Sina Cha kuongeza ukibisha aidha ni Poyoyo au Malaya. Ni hayo tu Shukrani Wadiz
  8. JamiiForums Tanzania Mchezaji mwenye Umri mkubwa kwa Simba SC hii ya sasa ana miaka 22 tu, je, wa Vilabu vingine wana mingapi?

    Kuna Daktari mmoja wa Hospitali moja ( yenye Hadhi ) kasema kuna Timu Mchezaji wao mwenye Umri mdogo ni 43.
  9. JamiiForums Tanzania Wanaotafuta wachumba njoooni hukuu na wale wenye umri mkubwa waume wapo kazikwenu

    Jana nilikuwa sehemu ya kinywaji nkaumia sana kuona mabinti 3 niliosoma nao wakinywa kama wanataka kwenda mwezini walipoanza kulewa tukaanza mazungumzo longtym nk.. nkauliza amjaolewa mpaka sasa jaman ndoa tatizo ndoa sugu hataree wwtote waliishia embu tunywee pombee bahaanaa hapa kama unataka...
  10. JamiiForums Tanzania Wakati Rais Ruto wa Kenya akiwataka Maafisa wa Serikali wenye Umri wa miaka 60 Kustaafu, mwingine duniani anawapa Uteuzi ili wamsaidie Kumdanganya

    Rais Ruto anatakiwa aje kujifunza nchini Tanzania ambapo Maafisa wote wenye huo Umri wa miaka 60 hakuna aliyeko bado Serikakini katika Utumishi wa Umma na kwamba Waajiriwa wote Tanzania ni Vijana watupu wa kuanzia miaka 25 hadi 45 walioko huko. Na ndiyo maana Utawala wa Rais Samia unafanya...
  11. JamiiForums Tanzania Mabinti wenye umri kati ya miaka 18 -22 ni tiba Mujarab kabisa ya tatizo la msongo wa mawazo kwa wanaume

    Kama wewe ni mwanaume wa age 30+ umeoa au umezaa na mwanamke/wanawake na wanakupa stress za mapenzi kama vile unahisi wana flirt na michepuko au mmeachana na ex wako ame move on, etc, halafu kwa sababu hiyo eti umepatwa na msongo wa mawazo basi Mimi NINAKUTUKANIZIA MAMA AKO MZAZI. Kosa lako...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume "kwa mara ya kwanza kubebesha msichana mimba" nulikuwa na umri gani, ulijisikiaje alipokwambia ana mimba yako?

    Wavulana wana balehe miaka 14 na kuendelea japo mikoa ya Pwani hasa Tanga, Dar es salaam, Pwani, Mtwara na Lindi wananza ngono kabla ya baalehe tofauti na mikoa yenye maadili na mafunzo ya kaskazini na kanda ya kati na kanda ya ziwa. Sasa , kijana wewe ulimpa msicha mimba ukiwa na umri gani na...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya 'kwanza kabisa' ulibeba mimba ukiwa na umri gani?

    Wanawake wengi hatupendo kuongelea hili, kwa kuogopa na kuonwa wahuni. Leo naomba tujimwage hapa, Je, wewe ulibeba mimba ya kwanza ukiwa na umri gani? Sijasema ulizaa na umri gani, ulibeba mimba na umri gani?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Umri upi ni sahihi kumuita mtu mzee?

    Mtanzania kijana ni mwenye miaka 18-35, je ukiwa na miaka 36 kwenda juu unakuwa umepata hadhi na status za kuitwa mzee, na kama sio mzee je mwenye miaka 36 kwenda juu ni nani. Nataka kukata safari za kwenda bar, nijikite nyumba za ibada, niondoke kati kati ya mji nikajichimbie nje kidogo ya...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kufuatia suala la RC wa Simiyu, Kuna haja ya kuangalia upya umri wa wasichana kushiriki ngono kisheria. Tutafungwa wengi.

    Watoto wa kike wa sasa hivi si sawa na zamani, macho yao yako juuu juu kama wapiga debe wa stendi. Wako kwenye sare za shule lkn mishe yao ya kingono si ya kitoto. Kwa mfano huyo msichana alikuwa anafanya nn kwenye gari ya RC manane ya usiku? Unadhani alilazimishwa kuwa humo? After all, kwenye...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Umri wa miaka 40+ wengi hukubali matokeo yoyote, ndoto nyingi hufa kwenye miaka 20

    WASIKILIZE WATU WENYE MIAKA 40+ 1.Wengi wameolewa/kuoa na ambao hawakujipangia wakiwa na miaka 20 2 .Wengi wameridhika na mafanikio ambayo sio yao 3 Wachache sana utakuta bado wanapambania ndoto zao. 4 Wengi ndio waumini wa kauli ya "MAISHA NDIO HAYA HAYA" 😔 5 Wengi ndio waumini wa kauli ya...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Uzee umekuja ghafla kwenye maisha yangu

    Habari wakuu natumaini muko vizuri. Maisha yangu yanaendelea kunishangaza kila siku kuhusu nyakati zangu, Nimekuwa nikiishi kama kijana mdogo wa kawaida lakini kumbe jamii hainioni kuwa ni kijana mdogo bali inaniona ni Mtu anaefukuzia uzee. Nilizoea kupewa shkamoo na watoto wadogo lakini sasa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni umri gani mtoto wa kiume atahiriwe?

    Ni umri gani no mzuri kumtahiri mtoto?
  19. JamiiForums Tanzania Binti amuombea Mama yake umri mrefu, ili amuhudumie yeye na mtoto wake aliezaa

  20. W

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa la maambukizi ya VVU kwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 Tanzania

    Maambukizi ya VVU miongoni mwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 yameongezeka kwa kiwango cha kutisha, kwa mujibu wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids). Kulingana na takwimu, maambukizi ya VVU kwa wasichana katika kundi hili la umri yameongezeka kutoka asilimia 14 katika kipindi cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…