umra

  1. N

    Sunna za Umra

    Sizokuwa nguzo na wajibu ni sunna. - Matanabahisho 1. Mwenye kuacha nguzo moja miongoni mwa nguzo za Umra, ibada yake ya Umra haitatimia mpaka ailete. 2. Mweye kuacha tendo moja la wajibu miongoni mwa wajibu za Umra, itamlazimu achinje mnyama (mbuzi au kondoo, au fungu moja kati ya mafungo...
Top