Wakuu,
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotambua biashara ya utumwa wa Waafrika kama uhalifu dhidi ya ubinadamu, hatua iliyopigiwa kura 123 za kuunga mkono.
Katika kura hiyo, nchi tatu, Argentina, Israel na Marekani zilipinga, huku nchi 52 zikijizuia kupiga kura.
Soma pia...
Mtaalamu Maalum wa United Nations kuhusu haki ya uhuru wa kukusanyika kwa amani na kujumuika, Gina Romero, ameipongeza Tanzania kwa kuunda tume huru ya uchunguzi kuhusu matukio ya vurugu ya Oktoba, akisema hatua hiyo inaonyesha dhamira ya nchi hiyo kulinda haki za binadamu.
Romero alitoa kauli...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika pamoja na Mwanasheria Mkuu wa chama, Rugemeleza Nshala wakiwa kwenye picha pamoja na mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa United Nations, Parfait Onanga-Anyanga, baada ya kufanya mazungumzo katika ofisi za Umoja wa Mataifa zilizopo Dar es Salaam tarehe 10 Machi...
Nimefuatilia kura nyingi za Umoja wa mataifa, kwa asilimia kama 80 ya kura zote, Tanzania huwa ni "abstention" tu, yaani hawapingi wala hawakubali; wapo wapo tu! Hata kura ya busara ya kuunga mkono amani huko Ukraine wao wanasema, hatuna la kusema.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, leo alitaka mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuzuia kile ambacho Iran inakitaja kama mashambulizi ya anga yanayoendelea ya Israeli na Marekani. Amesema " Huu utakuwa mwisho wa taasisi za kimataifa."
Vyanzo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimetangaza kuwa Umoja wa Mataifa kupitia Kikundi Kazi chake kimetoa uamuzi unaoitaka Tanzania kumuachia huru mara moja na kulipa fidia Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma...
Kundi Kazi la Umoja wa Mataifa kitengo kinachoangazia, Kuwekwa Kizuizini Kinyume cha Sheria ( Arbitrary Detention ), limeeleza kuwa kufungwa kwa Kiongozi wa Upinzani Tanzania, Tundu Lissu, ni kinyume cha sheria na limetaka aachiliwe mara moja.
Katika maoni yake yaliyopitishwa katika kikao cha...
Inadaiwa umoja wa mataifa umeitaka mamlaka ya Tanzania imuachie Lissu mara moja kutokana na habari zinazosambazwa na BBC, DW
Vyombo hivi vimekuwa viki ripoti habari zote ya kinacho endelea mahakamani na inaonesha kwamba kesi ni ya uongo hali ambayo imechochea shinikizo la kimatifa kutaka Lissu...
Tanzania to the World!!!!!
Tunasonga mbele, Tanzania imepongezwa kwa kutuo Jumla ya Wanajeshi na Polisi 1,500 kwa ajili ya kuilinda amani katika mataifa mbalimbali Duniani.
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu imesema ina wasiwasi kuhusu taarifa za vifo, majeruhi, watu kupotea na kukamatwa katika muktadha wa uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba nchini Tanzania.
Hayo ni kwa mujibu wa Kamishna Mkuu wa Ofisi hiyo, Volker Turk, ambaye ametoa wito wa familia kupata...
Wakuu,
Shirika la Umoja wa Taifa Tanzania Ofisi ya Human Rights imetoa taarifa ikisisitiza wajibu wa mamlaka kulinda haki za msingi za binadamu, ikiwemo uhuru wa kujieleza, kukusanyika kwa amani na kushiriki katika masuala ya umma, kwa mujibu wa sheria za kimataifa
Kwenye taarifa yao wametaka...
Mwenye macho aambiwi tizama, na mwenye masikio anasikia, hivyo ndivyo unavyoweza kusema juu ya mabingwa wa kihistoria nchini Tanzania Yanga!
Siku zote form uwa inakuja na kupotea lakini class uwa aipotei Abadan,,
Yanga kaonyesha kwa vitendo baada ya kupitia changamoto kidogo na sasa wanarudi...
Umoja wa Mataifa kupitia baraza lake la usalama utume mchunguzi huru na ukweli ufahamike. Maana haya hayakuwa mauaji dhidi ya waandamanaji bali ni mauaji dhidi ya raia wasio na hatia.
Jana kuna familia wamefanya ibada ya mazishi kwa kutumia picha ya mpendwa wao ambae hajaonekana tangu oktoba...
Kwa yale yaliyodhihirika kufanywa na jeshi la Polisi Tanzania, kuanzia utekaji, mauaji ya maelfu ya wananchi, na Ufukiaji wa miili ya watu waliowaua;
Hatua ya kwanza, ni vema Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Ulaya, Umoja wa Afrika na SADC, wakatangaza rasmi kuwa kinachoitwa...
Huu ni ushirikiano ambao hakuna aliyewahi kutarajia … Nicki Minaj anashirikiana na Utawala wa Trump kuhutubia Umoja wa Mataifa.
Msanii wa “Anaconda” anaripotiwa kuungana na Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Mike Waltz, kutoa hotuba Jumanne jijini New York, ikilenga kuangazia ukatili...
Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na dharau kubwa kwa Watanganyika.
1. Wachunguzi binafsi wametamka wazi kuwa waliowaua Watanganyika, ni...
Oktoba 31, 2025
Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania.
Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
Leo nikiwa na pitia hoja za maandamano na mikwara ya polisi juu ya maandamano haya,nikatamani kujua uwinginwa hawa polisi,hakika nilishngaa,kwani Kwa mujibu wa takwimu zilizopo, askari polisi mmoja nchini Tanzania anahudumia wastani wa wananchi takriban 1,300. Hii ni tofauti na viwango...
Kikosi cha Nane cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TANBAT 08) kinachoshiriki katika operesheni za kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kimetunukiwa Nishani za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa (UN) kutokana na mchango wake mkubwa katika kurejesha na kudumisha utulivu...
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza.
Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli ,Pia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.