ummy mwalimu

Ummy Ally Mwalimu (born 5 September 1973) is a Tanzanian politician belonging to the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. She has been Minister of Health, Community Development, Gender, Seniors and Children in the Cabinet of Tanzania since 2015. She is a two-term Member of Parliament, appointed to a seat reserved for women.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    Ummy Mwalimu: Taarifa za kuzuiliwa kwangu kwenda Nje ni uzushi na zipuuzwe nipo “OK”

    Baada ya kueenea kwa taarifa juu ya kuzuiwa kwa Aliyewahi kuwa waziri wa Afya Ummy Mwalimu kutoka nje ya Nchi amevunja ukimya nakusema kuwa "Nawashukuru wote walionifikia kutaka kujua ukweli kuhusu hii. Ni uzushi. Ipuuzwe. Nipo OK. Alhamdulillah".
  2. Fbn

    Tetesi: Aliyekuwa Waziri Wa Afya Ummy Mwalimu adaiwa kuzuiliwa Horohoro kuvuka kwenda Kenya

    JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kujiridhisha kuwa si ya kweli Sasa ni mwendo wa kuwekana vikwazo. Walivyoona CHADEMA inafanyiwa figusi walijua itakuwa kwa CHADEMA. Unaambiwa watu wanataka kutoroka kabisa kama ana kamatwa fulani na kuwekwa ndani itakuwa mimi. Haya kazi kwenu mtachagua...
  3. The Father of All

    PostGE2025 Tulia, Biteko, Bashungwa, Makamba, Mwalimu na wengine mlobanjuliwa jiungeni na upinzani tuizike CCM

    Kichwa cha habari kiko wazi. Waathirika wa serikali haramu fanya kweli kama ilivyotokea Kenya mwaka 2002 tuizike CCM. Wakati muafaka ndo huu.
  4. M

    Ummy Mwalimu, Nape Nnauye - hawana uzoefu wa kuwa Mawaziri?

    Wanajisikiaje kuwa sehemu ya Bunge hili. Yaani, ningekuwa ninyi ningefanya maamuzi mazito. Kaka Nape, hahahaha! Pole mwanangu
  5. K

    Ummy ni bora ungeuliza Mzee kibao yuko wapi?

    Hao hao CCM wanaokupa madaraka wanajiuliza mpiga kura wako Mzee kibao ambaye alipotea na wewe ukanyamaza. Sasa leo hii unategemea watakuamini vipi. Binadamu wanaogopa watu ambao wanafanya kila kitu hata kuficha hisia zao kwasababu ya kupata cheo Mifano IGP Mangu alikataa kumpeleleza bila...
  6. PAYE

    GE2025 Ummy Mwalimu: Moyo wangu mweupe, tumpe Kura zote za 'Ndiyo'

    Aliyekuwa Waziri kwa Serikali za awamu tatu na Mbunge wa jimbo la Tanga kwa tiketi ya CCM Ummy Mwalimu, amesema roho yake nyeupe hata kama jina lake limeenguliwa na badala yake ataambatana na aliyeteuliwa kuhakikisha anapata nafasi ya Ubunge ili aweze kuendeleza miradi ya maendeleo aliyoiasisi.
  7. W

    GE2025 Ummy Mwalimu: Siwezi kususa, naipambania CCM

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tanga, Ummy Mwalimu, amehudhuria uzinduzi wa kampeni za kumnadi na kumuombea kura ya ndiyo Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea Ubunge wa CCM katika Jimbo la Tanga, Kassim Amar M’baraka (Makubel), katika mkutano uliofanyika katika...
  8. kavulata

    GE2025 Tanga ni kubwa kuliko Ummy Mwalimu, ila hizi ni hasira tu kuliko uhalisia

    Umy tulia dada yangu, CCM ina kazi nyingi sana. CCM ni serikali ndani ya serikali, ina macho na masikio mengi na mikono mingi sana. Sema kweli kama hukutoa chochote kwa wajumbe hawa. https://www.youtube.com/live/4gphFo1NSv0?si=0wN2U524hCofQHh4
  9. Waufukweni

    GE2025 Ummy Mwalimu: Wajibu wetu ni kuheshimu taratibu za Chama, tumuunge mkono Kassim Amar Mbaraka na Rais Samia

    Baada ya Ummy Mwalimu baada ya Jina lake kukatwa kwe Ubunge Tanga Mjini, amesema ni wakati wa kumuunga Mkono Kassim Amar Mbaraka (Makubel) na kumpa kura za ndio Rais Samia
  10. Just Pray

    GE2025 Ummy Mwalimu: Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani

    Na Ummy Mwalimu kutoka kwenye ukurasa wake mtandao wa Instagram Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH. ---- Ndugu zangu wanaTanga...
  11. Pdidy

    GE2025 Naona kila sehemu ooh! Ummy Mwalimu, kwania amekuwa msaafu habadilishwi? Nyienyie mnalalamika watu kukaa muda mrefu kwenye uongozi

    WATANZANIA VIGEU GEU SANA nI SISI TUMEKUWA TUKILALAMIKA VIONGOZI WAMEKUWA VINGANGANIZI HAWATAKI KUPUMZIKA TOKA JANA NAONA MITANDAON KILA MTU.UMMY OOR UMMY. OOH WANANCHI WAMERUDISHA KADI WANAMTAKA UMMY NYIE WATU AMEKUWA MSAAFU AMA BIBLIA HABADILISHWI PLS EMBU MKUBALIANE NA MAAMUZI SAHIHII...
  12. James Hadley Chase

    GE2025 Baada ya Ummy Mwalimu kukatwa "Tutapigia Upinzani Kura si CCM"

    Wilayani Tanga, hali ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefikia kiwango cha juu cha mvutano baada ya wanachama wa chama hicho kuandamana kwa umakini na kutangaza kurejesha kadi zao za uanachama. Chanzo cha malalamiko ni uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kumtangaza Kassim Amari Mbaraka kuwa...
  13. U

    UMMY MWALIMU umekosea barua yako ilitakiwa ielekezwe kwa katibu mkuu CCM ni mamlaka kinidhamu na mdhaminini wako siyo kwenye mitandao ya kijamii

    Nimesima kwa jicho la tatu na kuona ni kama kushtaki kwa wananchi badala ya kushukuru. Umeandika siyo kwa unyenyekevu au kukubali maamuzi ya kamati kuu na hiyo ni ishara isiyo nzuri Tambua kuwa Mamlaka yako ni katibu mkuu wa CCM na ndiye mdhamini wako mkuu mbele ya wananchi ambao unawashukuru...
  14. U

    Ummy Mwalimu: Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH

    Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH. ---- Ndugu zangu wanaTanga Mjini, Nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuniamini kuwa Mbunge wenu kwa...
  15. The Zanzibar Echo

    Uteuzi wa kushangaza CCM, Ummy Mwalimu akitoswa, Baba Levo aula

    Chama tawala nchini Tanzania, CCM, kimehitimisha mchakato wa uteuzi wa wagombea wake wa ubunge kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ambapo matokeo yake yameibua mshangao baada ya baadhi ya majina makubwa kuachwa nje na sura mpya kuteuliwa. Katika mabadiliko hayo, aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    GE2025 Walichomfanyia Ummy Mwalimu ni zaidi ya kiini macho

    Aliepitishwa kugombea Ubunge Tanga mjini ni mtu ambaye alipata kura 80 tu za Wajumbe kati ya kura 10,176/= zilizopigwa. Yaani 1%!!! Na bado tutaendelea kuaminishwa kuwa Viongozi wanapatikana kwa kupigiwa kura?? 😳 Pole sana Odo!!
  17. B

    Hatimaye Mange Kimambi afurahishwa hadharani na uamuzi wa Samia Kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge Tanga

    Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga. My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
  18. Dalton elijah

    CCM Wanahitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Tanzania

    Baada ya Kuona Majina Yametangazwa Na Chama Cha Mapinduzi Nimegundua Kuwa CCM wana hitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Kwa Hapa Tanzania 1)kutokuheshim Maamuzi Ya Wajumbe . 2)Chama Kinaendeshwa Na Wakubwa Mwanachama Wa Kawaida Hana Chake Kabisa ..labda Kupewa Baiskeli,Bodaboda Na Fedha...
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Ummy Mwalimu adondokea pua jimbo la Tanga Mjini, nafasi yake yachukuliwa Kassim Baraka

    Aliyekuwa Mbunge wa Tanga Mjini Ummy Mwalimu Ummy ametupwa nje na chama chake cha CCM kugombea kwa awamu nyingine jimbo la Tanga Mjini na nafasi yake imechukulia na Kassim Baraka
  20. L

    Ummy Mwalimu Anaswa Miguu na kukatwa Jina na Kamati ya siasa ya Mkoa. Asubiria Maamuzi ya Kamati kuu.

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Ummy Mwalimu Waziri Mstaafu katika wizara mbalimbali ikiwepo wizara ya afya amejikuta katika wakati mgumu ,wakati wa mawazo ,wakati wa sintofahamu ,wakati wa mateso Ya moyo kibinadamu baada ya Jina lake kukwaa Kisiki na kukatwa katika vikao vya mchujo kamati...
Back
Top Bottom