umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆡𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania DC Shaka awataka Wanakilosa usafi uwe utamaduni wao kuanzia majumbani, maeneo ya kazi, biashara mpaka maeneo ya Umma

    DC SHAKA AONGOZA ZOEZI LA USAFI STENDI KUU YA MABASI KILOSA ~ Wananchi Wajitokeza kwa Wingi, Wampongeza kwa Uongozi wa Vitendo Macho ya abiria na wafanyabiashara katika Stendi Kuu ya Mabasi Kilosa leo asubuhi yaligeuka ghafla kuona jambo ambalo hawakulitarajia. Sio basi jipya lililowasili...
  2. E

    JamiiForums Tanzania AFRODAD, SADCOPAC zaungana kuimarisha usimamizi wa Bunge kwa Madeni ya Umma

    MANZINI, Eswatini. Shirika la African Forum and Network on Debt and Development (AFRODAD) na Jumuiya ya Mashirika ya Kamati za Hesabu za Umma ya Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADCOPAC) zimeingia rasmi katika ushirikiano unaolenga kuimarisha usimamizi wa Bunge, kuhamasisha...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wa umma wanaringa wakiwa kazini?

    Taasisi nyingi za umma ukienda kutafuta huduma ni kama vile umeenda kuwaomba hela, uwezi kwenda ukiwa na muda wako lazima uteseke tu na usikamilishe, watanzania nyie ni watu wa hovyo kweli, ukienda ofisi yoyote ya serikali ukitoka huko satisfied na tatizo lako umelitatua kwa wakatii, na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ijitahidi kuweka vyoo vya umma kwenye vituo vya mabasi na maeneo yenye msongamano

    Kwenye vituo vya mabasi na maeneo yenye msongamano mkubwa wa watu, kama Mbezi, tunaomba Serikali ijenge vyoo vya umma vinavyopatikana kwa urahisi. Vyoo hivyo vitasaidia wasafiri, wanaowasindikiza au kuwapokea ndugu zao, pamoja na wapita njia, kupata huduma bila kulazimika kuingia ndani ya vituo...
  5. JamiiForums Tanzania Hongereni MAT kwa kusimama na Mwanataaluma Mwenzetu; Afande Muliro ameudanganya Umma

    Jambo ambalo lipo wazi hakuna watu WAONGO kama polisi wa Tanzania na ni kama uongo wao unalindwa na sheria . Changamoto nyingine Polisi wengi wa Tanzania ni form four failures just as Muliro Jumanne . Nadhani kwa sasa tuna degree holders wengi tutoke kwenye form four failures ! Hatujaona...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia kukaa mapumziko ya Eda siku 90

    Kumekuwepo na picha inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuwa ni taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi. Picha hiyo inadai kuwa, kufuatia msiba wa mume wake, Mzee Hafidh Ameir Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahirisha...
  7. JamiiForums Tanzania Kambi maalum na mafunzo ya matibabu ya maumivu ya magoti na mabega kuelekea michuano ya AFCON 2027

    KAMBI MAALUM NA MAFUNZO YA MATIBABU YA MAUMIVU YA MAGOTI NA MABEGA KUELEKEA MICHUANO YA AFCON 2027 Dar es Salaam: 07/09/2026 Uongozi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) unapenda kuutaarifu umma kuwa, kwa kushirikiana na madaktari bingwa na bobezi wa magoti na mabega kutoka Uingereza...
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania, tumwombee sana Mzee Warioba. Ndo Mzee pekee ambaye amebaki kwa Maslahi ya Umma.

    Huyu mzee kwa sasa ndiye pekee amebaki akiwa na spirit ya Kiafrika na Upendo kwa nchi yake. Amekataa kugeuka kuwa jiwe la chumvi. Ipo mizee ya hovyo ambayo ilishaamua kuusaliti umma wa Watanganyika. Imekaa kuangalia matumbo yao na vizazi vyao. Mzee Warioba yeye hajaamua kushiriki huo ushetani...
  9. A

    JamiiForums Tanzania HOJA TANESCO, badala ya posti za Wizi na Pongezi tu, Tumieni kurasa zenu kuelimisha Umma kuhusu majanga ya Shoti za Umeme

    Habari zenu Wana-Jukwaa, Lengo langu la kuandika uzi huu ni kutoa ushauri na wito kwa Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu namna linavyotumia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Kazi kubwa na ya msingi ya TANESCO ni kuhakikisha Watanzania wanapata nishati ya umeme kwa usalama na...
  10. JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma kuhusu kisiwa cha Lupita

  11. JamiiForums Tanzania Jengo Pekee Ambalo Halijasombwa na Mafuriko ya Nepal Limeonesha Umuhimu wa Ujenzi unaozingatia viwango na vigezo vya Kihandisi kwenye majengo ya Umma.

    Wataalamu wa uhanrdisi wa majengo wamefanya uchambuzi ni Kwa nini jengo Pekee la gorofa lilibakia limesimama bila kuangushwa na kusombwa na Mafuriko yenye Nguvu ya Nepal wakati majengo yote ya jirani yalioshwa. Jambo hili Limeonesha Umuhimu Kwa Serikali na watu binafsi kufuata vigezo na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Mtu yoyote usikubali kununua mali yoyote ya Rwakatare

    Kupitia Mawakili Tibe Kenneth Rwakatare, mtoto wa marehemu Mchungaji Dkt. Gertrude Pangalile Rwakatare, Nicholas Mugarura, Mwesigwa Muhingo na David Saire Manoti, wametoa tahadhari kwa umma kutonunua mali zinazodaiwa kumilikiwa na St. Mary’s International Academy Limited pamoja na mali za...
  13. JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa anaishi Marekani kwa mke na watoto wake Leo hii watumishi wa umma wangekuwa mbali sana kiuchumi.

    Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida. Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila mtanzania mzalendo. Leo hii tunaona aibu hata kuomba serikali iongeze mishahara kwasababu tunajua...
  14. JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi wa umma mwezi huu wa 8 kulikoni

    Tarehe 23 mwezi huu wa 8 ni Jumapili, kwa hiyo tuseme mishahara italipwa baada ya tar 23, nini kinaendelea. Je haiwezekani kulipwa ndani ya muda wa kazi kabla ya tar 23? Au ndio tuelewe pesa za mabeberu zimeleta uhaba wa fedha kwenye mfuko. mliopata. Nimepita benki za NMB watu wamekaa nje...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2027 Countdown Yaanza: Watumishi wa Umma Wanaotaka Viti Wapewa Hadi Februari 10 Kujiuzulu

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetangaza kuwa watumishi wa umma wanaopanga kuwania nyadhifa mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 10, 2027 wanatakiwa kujiuzulu kufikia Februari 10, 2027. Mwenyekiti wa IEBC Erastus Ethekon amesema tarehe hiyo ni miezi sita kabla ya uchaguzi na...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali ina data, Vijana wana mawazo: Kwanini APIs za mifumo ya Umma Tanzania zisiwe rahisi kupatikana?

    Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kuhusu safari yetu ya digital transformation Tanzania. Serikali ina mifumo mingi yenye taarifa muhimu, na tayari ina miundombinu ya data sharing na interoperability kupitia GovESB. Miongozo ya e-GA yenyewe inaeleza kuhusu application integration, data...
  17. JamiiForums Tanzania Je, hii kauli aliyotamka mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ni sahihi kwa taifa?

    Shalom shalom watanzania! Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Hivi ni sahihi kwa mkuu wa mkoa wa mji mkubwa wa Dar es salaamu tena uliojaa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa Hadi kuuliwa kutoa kauli hiyo mbele ya kadamnasi ya umma? Hivi hii kauli angeitoa kiongozi yeyote wa upinzani...
  18. B

    JamiiForums Tanzania JAB yawataka waandishi wa habari kulinda imani ya umma

    Na Mwandishi Wetu. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewataka Waandishi wa Habari wa Crown Media kulinda imani ya umma kwa kuzingatia weledi, maadili, uadilifu na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao. Wito huo umetolewa wakati wa mafunzo ya siku mbili yaliyotolewa na...
  19. JamiiForums Tanzania Madeleka: Jaji aliyesema nimemdharau aje mahakamani nimdodose ili umma ujue

    Wakili Peter Madeleka amesema kesi inayomkabili ya tuhuma za kudharau amri ya Mahakama Kuu ni suala ambalo wananchi wanapaswa kulifuatilia kwa karibu, akitaka kubainika iwapo kwa mujibu wa sheria, tuhuma za aina hiyo zinapaswa kuchunguzwa na polisi. Amesema endapo kesi hiyo itafikishwa...
  20. JamiiForums Tanzania Sarakasi za usafiri wa umma Dar ni ishara tulivyo na viongozi wenye upeo mdogo sana.

    Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…