umeme

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wataka makali bei ya umeme ipungue

    Wabunge wameitaka Serikali kukokotoa upya bei ya umeme baada ya mradi wa kufua nishati hiyo wa Julius Nyerere (JNHPP) kukamilika ili kumpa nafuu Mtanzania. Akiuliza swali la nyongeza bungeni leo Agosti 30, 2024, Mbunge wa Lupa, Masache Kasaka amesema mradi wa JNHPP umeanza uzalishaji umeme wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa hilo la UMEME Nchi nzima hongera Serikali.

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Nachukua fursa hii kuipongeza Serikali kwa KUTIMIZA WAJIBU wake kwa kuhakikisha Tanzania nzima inao mtandao wa mwanga wa nishati ya umeme karibu Miji na Vijiji vyote. Tunaweza kuona ni jambo dogo lakini kwa wenzetu hiyo ni habari kubwa na maendeleo ya...
  3. JamiiForums Tanzania kwa nini ishu ya watu kutekwa lawama haziendi kwa waziri husika bali ni Raisi moja kwa moja ? Mbona umeme na bando walikuwa wakilaumiwa Makamba& Nape

    Wasalaam wanaJf , Sijaona uzi hata mmoja wa kumlaumu waziri husika wala kupewa masharti ya kujiuzulu kama ilivyokuwa kwa Makamba na Nape. Swali langu ni hilo !
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco Mungu anawaona. Mlisema umeme mnaturudishia saa 12 jioni leo.

    Wenye hekima wanasema usitoe ahadi usiyokuwa na uhakika nayo. Mkurugenzi Mkuu tunaomba ikikupendeza huyu Injinia wa Wilaya ya Ubungo na Kibamba MUHAMISHIE NACHINGWEA , tunaona muda wote yupo bize na shughuli zake binafsi za ujasiriamali halafu muda wote ni kuchomekea tu na tai. Injinia gani...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tozo ya kimya kimya ya kununua umeme (LUKU) kupitia mitandao ya simu

    Uzi uwe mfipi kabisa. Nimefuatilia miamala yangu 6 ya kununua umeme ya mwishoni mwezi huu nimeona kuna tozo ya kununua umeme kwa njia ya simu (airtel money) ila haitajwi ni salio linakatwa tu kimya kimya. Umeme wa elfu3 unakatwa TSH 90, Umeme wa elf 5 unakatwa TSH 100. Umeme wa elf 1 unakatwa...
  6. JamiiForums Tanzania Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6 kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma

    SHILINGI BILIONI 4.6 KUPELEKA UMEME MAENEO YA MIGODI RUVUMA - KAPINGA 📌 Asema Serikali itaendelea kupeleka umeme maeneo ya uwekezaji 📌 Serikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6...
  7. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kapinga asema Tsh. Bilioni 4.6 zitapeleka umeme migodini Mkoani Ruvuma

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6 kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma. Kapinga ameyasema hayo Agosti 18, 2024 wakati akizindua Kituo cha Mauzo ya Makaa ya Mawe ya kampuni ya Market Insight Limited (MILCOAL)...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali, ni sawa wamachinga kufanya biashara chini ya nyaya za umeme Karume?

    Kila nikipita hapa soko la Karume huwa nashangaa sana jinsi kundi kubwa la wamachinga wanavyofanya biashara zao chini ya nyaya kubwa za umeme bila hofu yoyote, sehemu nyingi ambapo naona kuna nyaya za umeme mkubwa raia huwa wanasogezwa mbali kabisa, kwa nini hapa Karume hali ni tofauti...
  9. JamiiForums Tanzania TANESCO: Kati ya Vijiji 12,318 bado Vijiji 151 tu kufikiwa na umeme

    RAIS SAMIA AMEFANYA UMEME KUWA SI ANASA- KAPINGA 📌 *Tanzania kufuta historia ya Vijiji kutokuwa na umeme 📌 Kati ya Vijiji 12,318 bado Vijiji 151 tu kufikiwa na umeme 📌 Wananchi watakiwa kutunza miundombinu ya umeme Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Tanzania imejipanga vema kuhakikisha inatumia fursa ya uwepo wa soko la pamoja la EAPP la mauziano ya umeme

    TANZANIA IPO TAYARI KUTUMIA FURSA YA SOKO LA PAMOJA KUUZIANA UMEME - DKT. BITEKO 📌Ni kufuatia uwepo wa fursa hiyo kwa nchi 13 wanachama wa EAPP 📌Mawaziri waridhia uwepo wa kitengo huru cha masoko cha kuuziana umeme 📌Wanachama EAPP watachangia Megawati Elfu 90 kwenye soko la pamoja la...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

    Wakuu Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko. Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board. Natamani kuacha lakini life ngumu.
  12. JamiiForums Tanzania Kumbe mgao wa umeme ulikuwa wa mchongo?

    Angeyasema kiongozi wa dini, angeweza kutuhumiwa kuwa anachanganya dini na Siasa! Wangeongea CHADEMA, wangeambiwa ni tabia yao kupinga! Lakini sasa aliyeongea ni kada Luhanga Mpina? Nani atakayemjibu? Kwa mujibu wa huyo mzalendo, kilichokuwa kikichangia tatizo la umeme kukatika mara kwa mara...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Kituo cha kupozea umeme GGM ni kielelezo cha Historia kwenye Sekta ya Umeme Nchini

  14. JamiiForums Tanzania Mgodi wa GGM waanza kutumia umeme wa Gridi badala ya mafuta

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua kituo cha kupokea na kupoza umeme katika Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) chenye uwezo wa megawati 34 ambacho sasa kinawezesha GGML kuanza kutumia umeme wa gridi kwa matumizi yake badala ya mafuta na hivyo kupunguza gharama...
  15. JamiiForums Tanzania Mgodi wa GGML waaanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa. Sasa watatumia Umeme wa TANESCO badala ya Mafuta

    MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTA 📌 Dkt.Biteko azindua kituo cha kupoza umeme cha GGM (MW 34) 📌 Asema kitaongeza mapato ya mgodi kwa Serikali 📌 Aipongeza GGM kuzipa kipaumbele kampuni za kizawa 📌 TANESCO kuingiza mapato ya sh.Bilioni 2 hadi 3 kwa mwezi Naibu Waziri...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM

    Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM Inauzwa Tsh 700,000/ Phone: 0675336219 Mashine bado ipo wadau
  17. JamiiForums Tanzania TANESCO kuzindua kituo cha kupokea na kupozea umeme cha Mgodi wa Geita mine

    Hatimaye Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) inaenda kuanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa kutokana na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kukamilisha ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme unaofikishwa mgodini hapo Kituo hicho kilichojengwa kwa gharama ya Sh60.6 bilioni...
  18. D

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Biteko, kwanini nguzo moja ya umeme ilipiwe Tsh 515,000/ wakati ni mali ya shirika? Huu unyanyasaji mpaka lini?

    Wakati unataka kuunganishiwa huduma ya umeme kama nyumba iko mbali kila nguzo moja ni sh. 515,000/, nguzo ni mali ya shirika, mwananchi ni mteja wa huduma ya umeme kwanini alipie nguzo? Huu ni uonevu mkubwa sana. Kwanini mwananchi anunue kitu ambacho si mali yake? Mlitegemea bila nguzo...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko huu mgao wa umeme Arusha ni wa nini?

    Sahivi kila siku kuanzia saa 12 jioni umeme unakatwa huku Arusha wilayani Arumeru, kurudi saa 5 usiku, huu ni mgao? Kwanini msitangaze? Huu mgao upo na maeneo mengine ya nchi? Shida Biteko baada ya kuwa naibu waziri mkuu naona muda mwingi yuko kwenye uzinduzi wa shughuli mbalimbali...
  20. D

    JamiiForums Tanzania TANESCO, Usa-River Arusha kuna mgawo wa umeme?

    TANESCO Wilaya ya TANESCO Usa-River Arusha tangia juzi ikifika saa 12 jioni mnakata umeme, vipi kuna mgawo? Au ni kwamba hamsikii raha bila kutukatia umeme. Meneja wa hapa km siyo mchawi basi ana roho ya kichawi maana mojawapo ya malengo ya uchawi ni kutesa wenzako.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…