umeme

  1. E

    JamiiForums Tanzania KERO Kiluvya Kwa Sumaye Hakuna Umeme

    Yaani Kiluvya kwa Sumaye, 4km kutokea barabara ya Njia 6 kweli hakuna umeme?. Nguzo 17 kuwasaidia wananchi wapate Umeme imekuwa ni changamoto? Napata mashaka na seriousness wa Tanesco Kibaha.
  2. JamiiForums Tanzania Namtafuta mgunduzi wa umeme wa sumaku KAWE!

    Habari za waseee. Kama title inavyojielezea hapo juu, kuna mshua nilimuona youtube ametengeneza machine ya kufua umeme kwa kutumia sumaku , nimekuwa exicited kwakwel kuonana nae . Mwenye namba yake ya simu naomba , kwa maelezo ya kwenye video anaishi kawe. Youtube video...
  3. JamiiForums Tanzania Mashine (ya kisasa )ya juice ya miwa inatumia umeme

    Specification zake 1.size 48*38*78 2 voltage 220/50hz 3. Three crushing rollers 4.material (Stainless) 4. Ipo na 3HP electric motors. 5. Uwezo 300kg kwa saa.bei 1,400,00 Ipo mtoni kijichi, mashine ni mpya kabisa
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Doto Biteko: Bwawa la Mwalimu Nyerere lina uwezo wa kuilisha Nchi hii umeme peke yake

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Mashine ya tisa ya mtambo wa kuzalisha umeme katika Bwawa la Julius Nyerere Machi 22, 2025 imekabidhiwa na kuunganishwa kwenye Grid ya Taifa. Amesisitiza kuwa kutokana na ongezeko hilo la megawati za umeme Bwawa la Kuzalisha...
  5. JamiiForums Tanzania Ofisi ya ya Serikali ya 'HUDUMA PAMOJA CENTER' haina jenereta? Umeme ukikatika huduma zinasimama

    Katika kuhakikisha wananchi wanapatiwa huduma za haraka bila usumbufu hasa kuepuka kutumia muda mwingi kwenye ofisi za umma, Serikali iliamua kuanzisha Kituo jumuishi cha huduma (HUDUMA PAMOJA CENTER) ambacho kina ofisi za taasisi mbalimbali za Serikali eneo moja. Miongoni mwa ofisi zinazotoa...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imesema mradi wa kusafirisha umeme wa kilovoti 400 Iringa hadi Sumbawanga (TAZA) mbioni kukamilika

    Serikali imethibitisha kuwa mradi wa kusafirisha umeme wa kilovoti 400 kutoka Iringa hadi Sumbawanga (TAZA) upo mbioni kukamilika, ukilenga kuunganisha Mkoa wa Rukwa na gridi ya Taifa. Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa mradi huo utamaliza utegemezi wa umeme wa diseli katika...
  7. JamiiForums Tanzania Unit moja ya umeme inatakiwa iuzwe sh 50 huku viwanda vikinunua kwa sh 20

    Kama Tanzania inataka kuachana na umaskini basi ni wazi unit moja ya umeme inatakiwa iuzwe sh 50 kwa matumizi ya wananchi na sh 20 kwa matumizi ya viwanda Faida ya unit kuwa bei ndogo Ukuaji na kuongezeka maradufu kwa shughuli za viwanda Ukiajia wa biashara Kuongezeka mapato serikali Mfano...
  8. JamiiForums Tanzania Wananchi Njombe waomba kasi kuongezwa katika Usambazaji wa Umeme Vijijini (REA)

    WANANCHI wa Mkoa wa Njombe ambao bado hawajafikiwa na huduma ya umeme wameiomba serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme katika kaya zao ili waweze kuutumia kwa shughuli za kiuchumi na kijamii. Hayo yameelezwa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 MIZANIA Usambazaji wa Umeme umefikia asilimia 100 ya vijiji vya Tanzania

    Wakuu Salama? Katika pitapita zangu mtandao wa X nimekutana na Post hii ambayo inadai usambazaji wa umeme kwa vijiji vya Tanzania ni asilimia 100, na nimkekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema hilo. JamiiCheck mtusaidie hapa ni upi uhalisia?
  10. JamiiForums Tanzania Umeme wa Bwawa la Nyumba ya Mungu

    Hivi lile Bwawa la Nyumba ya Mungu halizalishi tena umeme? Kama linazalisha kwa nini umeme wake usitumike huko Kaskazini kujazia huo unao pungua? Naona kama TANESCO wanakuja na miradi mipya miingi kuliko kipindi kile tukiwa na tatizo kubwa la umeme kama vile wana justify matumizi ya hela...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania inauwezo wa kuzalisha megawatts 100,000 na zaidi za umeme

    Tanzania inauwezo wa kuzalisha umeme wa megawatts zaidi ya 100,000 hii inatokana na vyanzo vya umeme vilivyopo kama vifuatavyo Uwepo wa gesi asilia Uwepo wa makaa ya mate Uwepo wa upepo singida na same Uwepo wa jua (solar power) Hivyo vyanzo vinne vinauwezo wa kuzalisha megawatts zaidi ya laki...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania kununua umeme kwene nchi masikini zaidi duniani Ethiopia?? Nawaza sipati jibu

    Nchi yetu tulipaswa tutawaliwe miaka 200 tena. Bado kabisa yaan
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wassira: Kufikia mwaka 2030 kila Mtanzania atakuwa na umeme

    Wakuu, Miaka 63 ya Uhuru na bado CCM wanazungumzia masuala ya umeme? Seriously? Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, akizungumza na wakazi wa mji wa Tunduma uliopo wilayani Momba mkoani Songwe akiwa katika ziara mkoani humo, alisema kuwa katika Ilani...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Handeni Mjini: Tunautaka umeme wa Ethiopia, hata Marekani wananunua umeme nje

    Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini (CCM) Kwagilwa Rubeni, amesema kuwa wabunge na wananchi wa ukanda wa kaskazini wanaunga mkono uamuzi wa serikali wa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya, kwani baadhi ya maeneo ya kanda hiyo hayana vyanzo vya kutosha vya umeme. Akizungumza na wanahabari...
  15. JamiiForums Tanzania TANESCO: Kuna changamoto kwenye kununua Umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kuna changamoto katika ununuaji wa Luku kupitia mitandao ya simu huku likitoa njia mbadala ya kupata huduma hiyo. Taarifa ya Tanesco imetolewa leo Jumapili Machi 16, 2025 na Kurugenzi ya Mawasiliano na Huduma kwa Wateja huku ikiahidi kuitatua...
  16. JamiiForums Tanzania TANESCO iwaunganishie wateja umeme kwa makubaliano ya kulipia kidogokidogo kupitia manunuzi yao ya umeme Kila wanunuapo luku.

    Wakuu ili kujenga taifa lenye uchumi imara na imara ni muda wa shirika la umeme Tanzania TANESCO kuweka utaratibu wa kuwaungia umeme wateja wapya ambao hawana uwezo wa kulipia gharama za umeme kwa mkupuo kwa utaratibu wa malipo ya polepole. Faida kuu itakayopatikana ni pamoja na: 1. Kuimarisha...
  17. B

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Chanika Zingiziwa tuliwekewa nguzo huu Mwaka wa tatu sasa hatuna umeme na hatujui kinachoendelea

    Sisi Wakazi wa CHANIKA ZINGIZIWA tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua huu mwaka wa pili sasa, tangu Mwaka 2023 tuliambiwa tutaletewa mradi wa umeme lakini hii sasa ni 2025 mpaka leo hatuna umeme. Inashangaza sana, Chanika ni Wilaya ya Ilala, Wilaya ambayo imekuwa ikisemwa inaingiza mapato zaidi...
  18. JamiiForums Tanzania Hapa ulipo Kuna umeme Leo?

    1. Singida hakuna 2. Mbeya hakuna 3. Arusha hakuna 4. Kilimanjaro hakuna
  19. I

    JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa: Ili tuweze kusafirisha umeme sisi wenyewe kwa tija inabidi tujenge vituo vya kupozea njiani

    By Malisa GJ, Kwanza, ieleweke kuwa hili si jambo geni. Hii si mara ya kwanza kununua umeme nje ya nchi. Tunanunua umeme kutoka Zambia kwa ajili ya mkoa wa Rukwa, kutoka Uganda kwa ajili ya mkoa wa Kagera, na kutoka Kenya kwa ajili ya wilaya ya Mkinga, Tanga. Pili, watanzania tunahoji kwanini...
  20. JamiiForums Tanzania Wenzetu(China) wanafanyia majaribio treni ya umeme yenye mwendo wa Km 450/saa...Vipi sisi na nyungo na fisi zetu?

    Nimeikuta habari hii mtandaoni Kwenye Facebook Ajabu watu wakaanza mahesabu...mara Dar Mbeya masaa 2...mwingine Dar Arusha masaa 3 nk Mbona tunatamani vya watu hali tuna vya kwetu...Fisi wetu na nyungo zetu za usiku hazitutoshi? Ukweli ni kuwa kizuri chajiuza...Acha tuendelee kutopea kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…