umasikini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Watanzania wengi kunywa chai ya rangi inawezekana ni dalili ya umasikini

    Kutokunywa chai ya maziwa kwa raia wengi na badala yake kunywa chai ya rangi zaidi inawezekana ni ishara mojawapo kubwa ya umasikini wa nchi yetu. Sidhani kama watu wanakunywa chai ya rangi na mihogo, maandazi na vitumbua kwa sababu wanapenda tu au kwa sababu chai ya rangi ni tamu kuliko ya maziwa.
  2. M

    Ni jambo gani mzazi/ndugu yako aliwahi kufanyiwa kisa umasikini hujalisahau hadi ukubwani ?

  3. tgeofrey

    Umasikini na ngono hatarishi

  4. Think2

    Zinaa ni chanzo cha umasikini, vijana acheni zinaa

    Vijana zinaa inaleta umasikini just imagine kijana unafanya kazi za saidia fundi,viwandani, mlinzi pesa unazipata kwa shida then unakuja kutoka na demu kwa siku 50K - 100K inakatika, room 30K Msosi 20K Nauli 5K Asante kwa kuja 30K Hapo kunakutoboa miaka nenda rudi hakuna maendeleo. Kwanini...
  5. Mr George Francis

    Maisha Ndani Ya Umasikini Ni Darasa Tosha

    MAISHA NDANI YA UMASIKINI NI DARASA TOSHA. Kuna msemo unasema, "Umasikini ni mbaya tena unatia haya." Nami nakubali kwamba umasikini ni mbaya sana, tena siupendi. Kwa wale waliopitia maisha ya umasikini au wale wanaopitia sasa maisha ya umasikini wanaweza kunielewa vizuri bila shaka. Lakini...
  6. X

    Watanzania wengi hawali chakula cha asubuhi (breakfast). Chanzo ni umasikini

    Huu ni utafiti wangu nimefanya kwenye miji mikubwa na hata vijijini kwenye kila mkoa hapa Tanzania Ni Watanzania wachache sana ambao wanamudu kula milo 3 na hasa kipengele ni breakfast (mlo wa asubuhi) Utakuta watu wanaenda mashambani, kazini na wanafunzi wanaenda shuleni hawajala chochote...
  7. S

    Umasikini unadharirisha sana

    yaani haina haja ya kuwalaumu watu wanaofanya illegal activities kujipatia pesa as long hawaumizi mtu. UKizaliwa familia maskini..kufanikiwa kimaisha ni mtihani sana sana
  8. X

    Dalili nyingine ya umasikini: "Weka chips za kushiba"

    Hapo suluhisho ni kuongeza hela uwekewe kipimo utakachoshiba. Pesa zitafutwe wakuu Mliozaliwa mwaka 1996 bado siku 3 tu kuna jambo litawakuta
  9. M

    Polisi wataacha lini kutumiwa na wanasiasa kufanikisha agenda zao huku wakiachwa katika umasikini?

    Nimeona hii clip ya mchekeshaji Crazy Kennar, inaakisi hali halisi ya jeshi la Polisi ambapo askari wamejikuta wakiwatumikia wanasiasa kufanikisha mambo yao huku lenyewe likiendelea kulalamikiwa na kudharauliwa.
  10. Traxtion

    Tanzania tunapaswa kufanya hivi ili kupunguza umasikini, uhaba wa ajira na kukuza lugha ya Kiswahili

    Hapa nitaongelea vipengele viwili na vinahusiana sana, kwa hiyo naomba usome hadi mwisho I. Suala la Uhaba wa Ajira II. Ukuaji wa Lugha ya Kiswahili I. UHABA WA AJIRA Tanzania ina uhaba wa ajira kwa sababu ya uhaba wa makampuni na wawekezaji. Sio tu wawekezaji wa nje, hata wa ndani pia ni...
  11. Luca Paguro

    Ila jamani nchi yetu ni masikini, khaa

    Hivi ni mimi peke yangu naliona hili? Mbona nchi yetu masikini jamani. Mimi nimezaliwa Ruangwa huku Lindi mara nyingi nimeona watu wakipakandia Lindi kwa umasikini hususani mitandaoni, mimi nikadhani ni huku tu hali ni mbaya, mpaka nilivyopata exposure. Maeneo mengi nilizunguka zamani utotoni...
  12. M

    Nampinga Mzee Mwandambo kwa mengi ila sina budi kukubaliana nae "hakuna dhambi kubwa kama umasikini"

    Huyo Msafwa wa Mbeya Clemence Mwandambo nampinga kwa vingi ila katika hili ana uzito Umasikini utakufanya utengwe hadi kanisani Ukiwa masikini sahau kuzikwa na maaskofu utazikwa na wasaidizi. Ukiwa masikini utatengwa na watu, ukiwasogelea wanahisi unataka kuwaomba hela. Ukiwa masikin huna...
  13. Desierto

    Je, Mwanamke anaweza kuwa sababu ya umasikini kwenye familia?

    Imezoeleka familia ikiwa tajiri basi ni baba, na je? mwanamke anawezaje? kusababisha umasikini ndani ya familia? Naongea hivo kwasababu mm nikipanga malengo ila kila ukizuka ugomvi mipango yote inaharibika. Swali la ujumla ni je familia isiyokuwa na amani je inaweza kuwa na maendeleo?
  14. K

    Hivi nifanyeje ili kuondokana na hofu ya kifo,hofu ya kushindwa na hofu ya umasikini?

    Umasikini ni mbaya sana kiukweli nipo kwenye health services nikiwa mfanyakazi kiukweli naona jinsi watu wanavyo strugle kulipia huduma ya matibabu na jinsi wanayohangaika mpaka utawaonea huruma yaani kuna mtu unamshauri nenda kwenye high level of health facility lakini anakulilia wewe umsaidie...
  15. Victor Mlaki

    Rostam: Umasikini siyo jambo la kujionea fahari

    Katika mahojiano maridhawa ya Mwanahabari nguli Tido Muhando wa TBC na Mfanyabiashara "guru" Rostam Abdulrasul Aziz pamoja na kuongea mengi juu ya biashara na siasa, Watanzania tumeshauriwa kutokuuona Umasikini kama jambo la fahari au la kawaida. Watanzania wengi imesemekana tunauona Umasikini...
  16. GENTAMYCINE

    Nilishawahi kuandika hapa kumhusu Gerson Msigwa kuwa ni Mtu mwenye Umasikini wa Akili wa Kudumu sikueleweka, ila sasa naamini mmeshanielewa

    Niseme tu kuwa Gerson Msigwa anahitaji miaka zaidi ya 200 kuwa na IQ kubwa aliyonayo JamiiForums Founder Maxence Melo
  17. H

    Masikini hana chakupoteza akipoteza labuda kapoteza umasikini wake

    Watanzania msifikir kucomment na kupost ndo inatosha kupaza sauti zenu kudai HAKI dhidi ya viongozi wabinafsi bali watawapuuza kama vile hawajawaona. Marekani waliandamana Hadi bungeni na ikulu kumpinga Trump Nyie endeleeni kukaa kama wafu mtegemee mtu mmoja awapazie sauti wakati umoja ni...
  18. matunduizi

    Kwa MKRISTO: Umasikini wa kipato/Fedha/Mali ni matokeo ya Shambulizi la KIROHO

    Kuishiwa na KUWA ombaomba sio mpango wa Mungu KWA MKRISTO. Kwa hiyo huwezi kujisifia kuishiwa, mbango wa Mungu ni watu wasiwe tegemezi kiuchumi KWA wateja wao ( wasiomuamini Mungu). Msisitizo uliotolewa. 1: Umasikini ni laana ( Torati 28). Yesu ametukomboa na laana ya TORATI. 2: Mcha Mungu...
  19. H

    Adui wa maendeleo ya Mwafrika/Mtanzania ni wasomi wa kiafrika siyo maradhi,ujinga na umasikini tena!

    Adui wa maendeleo ya Mwafrika/Mtanzania ni wasomi wa kiafrika siyo maradhi,ujinga na umasikini tena,kwanini hao wabunge na viongozi wasomi wameshindwa kuondoa umasikini,ujinga na maradhi kama kweli elimu yao ni muhimu na suluhisho la matatizo?
Back
Top Bottom