kichwa cha habari chahusika, tukumbushane kuwa, hapa duniani bila Yesu Kristo na toba ya kweli hatutaweza kushinda, hapa tulipo na hapo ulipo na hapa tulipofika ni kwasababu tumeiacha kweli na kufuata mafundisho ya mashetani, leo hii msomi mzima unaamini miujiza ya maji, mafuta, jiwe na vitambaa...