ulinzi na usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Habari JWTZ Na majeshi ya ulinzi na usalama nchini!?

    Habari kwenu majeshi ya ulinzi na usalama nchini (Tanzania)? Tangu uchaguzi upite Leo ni siku ya 9! Lakini cha ajabu hatuoni tena mkifanya mazoezi ya utayari kwa umoja wenu mtaani. Tulipowaambia mnatumika kisiasa kutisha raia mlitoka hadharani na kusema mnafanya mazoezi ya utayari huo utayari...
  2. Life2

    JamiiForums Tanzania Nlitegemea kujiuzulu kwa viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama mpaka sasa.

    Mwenyezi Mungu atusamehe watanganyika, Nimeshindwa kulala ndugu zangu, najuta sana kwanini nimeangalia hizi video za mauaji ya watanzania wenzetu. Je kama mimi nashindwa kulala vipi aliyetoa amri ya haya mauaji ya halaiki au aliyeshiriki? Kama huko walipo wanaamani hakika watakua wasaidizi wa...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanganyika tu vinavyomchekea Kiongozi anayeua raia wao

    Jeshi la Misri walimshughulikia Anwar Saddat kwa kuingia makubaliano na Israel baada ya vita vilivyoua raia wengi wa nchi yao. Israel walimshughulikia Isaac Rabin kwa kuingia makubaliano baada ya vita vilivyoua raia wao wengi Tanganyia Rais asiye Mtanganyika ameua mamia Watanganyika tena kwa...
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mnyika: William Tengecha hajawahi kuwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama CHADEMA Amerusha uchafu wa uongo Tumpuuze!

    Usaliti unaombatana na uongo katika mambo yanayohusu uhai na maisha ya watu ni uuaji. Nyamatari (William) Tengecha hajawahi kuwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Chadema aliteuliwa kama Mtaalam wa Hamasa. Amerusha uchafu wa uongo ambayo ni vyema ukapuuzwa na wapenda ukweli na haki. Nasikitika...
  5. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Lindi vyafanya mazoezi ya pamoja

    Huko Lindi - Oktoba 24, 2025. Vyombo vya Ulinzi na Usalama mkoa wa Lindi vimefanya mazoezi ya kutembea (Route March) ya pamoja iliwa ni kawaida kwao kufanya hivyo. Mazoezi hayo yakiwa na lengo la kudumisha ushirikiano na mshikamano baina ya vyombo hivyo sambamba na kuimarisha afya ya mwili kwani...
  6. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 SACP Safia Jongo: Vyombo vya dola vimejipanga kuhakikisha usalama wa wapiga kura Oktoba 29

    Vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Geita vimeendelea kuimarisha ulinzi na usalama ili kuhakikisha amani, usalama na utulivu kabla, wakati na baada ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 29, 2025. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya...
  7. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, vimejipanga vyema, na tumevijengea uwezo wa kutosha

    Bi mkubwa anaendelea kuwatisha watanzania ambao wapo tayari kutetea nchi yao. Ila hivi vitisho vina mwisho wake kwa wale wote wanajiona ni bora zaidi kuliko watanzania wengine. ========== "Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ndani ya Taifa hili vimejipanga vyema, tumevijengea uwezo wa...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamati ya Ulinzi na Usalama Tanga yatoa onyo kwa watakaovuruga Amani siku ya Uchaguzi

    Kamati ya ulinzi na Usalama Mkoa Tanga imetoa onyo kwa wananchi wote wenye nia ovu ya kuvunja amani siku ya uchaguzi na kwamba kwa yeyote ambae atajaribu kufanya hivyo,atachukuliwa hatua za kisheria. Onyo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na Mkuu wa Mkoa wa Tanga...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Baada ya CDF kuhongwa Uwaziri Mkuu, Wanajeshi wa Madagascar waungana Rasmi na Wananchi

    https://x.com/marxistJorge/status/1976999644975841453?s=19 "Watoto wetu wanahangaika sana , hayupo hapa Kuwaua wala kuwpaiga .Na sisi pia tunatipitia kile kile wanachopitia watoto wetu.Ni lazima tuwaunge Mkono " . TUSIKUBALI KUHADALIWA KWA PESA AU NAFASI ". Haya ni Maneno ya Hasira na Uchungu...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vitisho vinaendelea? Vyombo vya Ulinzi na Usalama Pwani wafanya mazoezi ya Ukakamavu

    Kwa sasa mazoezi ya ukakamavu yanayofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama yameongezeka kwa kasi mithili ya 5G Plus. Hii inaleta tafsiri gani kwa wananchi, hasa tukielekea Oktoba 29? Je, ni ishara kwamba mipango ya maandamano iangaliwe upya na labda kuahirishwa, au ndio kinyume chake...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali yakabidhi magari 24 kwa Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma kuimarisha ulinzi na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025

    https://youtu.be/JBthEm_5Myc?si=xtKNiW05D4y7m1CG Serikali imetoa magari 24 kwa Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuongeza nguvu ya ulinzi na usalama katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo, hususan katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Golugwa: Vyombo vya ulinzi na usalama visiwashambulie raia

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, ametoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuacha kuwashambulia wananchi wanaojitokeza kuonesha hisia zao katika masuala yanayohusu maisha na mustakabali wa taifa. Golugwa ameyasema hayo wakati wa mazungumzo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Polepole, lazima utajiuliza Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika nchi vinafanya nini?

    Yaani ukumsikiliza Polepole, unajiuliza hawa watu wako kazini kulinda nchi na masilahi ya nchi au ni kulinda masilahi ya watu wachache? Hivi Rostam ana nguvu na Mamlaka kuliko Usalama wa Taifa, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na ofisi ya Raisi na Raisi mwenyewe? Kama tuhuma anazotoa Polepole ni za...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Eti Kwamba TANZANIA nayo ina inteligence,kwamba tunavyombo vya ulinzi na usalama vyenye uzalendo kwa Taifa lao! Hebu acheni dhihaka.

    Uzalendo wa kweli si kupambana na wananchi na raia wanao toa maoni pinzani dhidi ya mwenendo usio ridhisha wa serikali yao waliyo ipa dhamana . Bali ni kupigania usalama wa taifa na rasilimali zake zote kwa maslahi ya taifa na na raia wake ndivyo ilivyo kwa mataifa mengi duniani yanayo piga...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Msingi wa uzalendo na uadilifu wa vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania ni upi?

    Nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa matukio mbalimbali hapa Tanzania Kuhusu rasilimali zetu mda mrefu toka enzi za mkapa kashifa za Rada na EPA. Tukija kwa Kikwete mambo ndo yalikuwa ya hovyo japo hii ESCROW na DOWNS Msingi wake ni awamu ya mkapa. Ila kipindi cha Kikwete uozo ulikuwa mwingi...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Anachokifanya polepole ni kuvivua nguo vyombo vya ulinzi na usalama TZ siyo CÇM hata Raisi hayupo salama chini ya wanamtandao.

    GT Ukifuatilia kwa umakini madai ya polepole tatizo utagundua ni wanausalama wetu siyo CCM. Vyombo vyetu vipo corrupted na wanasiasa kiasi kwamba hawaoni mambo yenye kuhatarisha usalama na maendeleo ya nchi. Tujiulize. 1. Mpaka mkataba wa Bandari unasainiwa kinyemela walikuwa wapi. 2. Mtu...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Shekhe Ponda: Kunatatizo kubwa sana kwenye vyombo vya ulinzi na usalama na vinahitaji kufanyiwa marekebisho makubwa sana

    Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema kuna tatizo kubwa linaloikumba sekta ya ulinzi na usalama nchini, na kusisitiza kuwa vyombo hivyo vinahitaji kufanyiwa marekebisho makubwa ili viweze kutimiza wajibu wake ipasavyo
  18. Chief Sam

    JamiiForums Tanzania Binafsi kwa mambo yanayoendelea nchi hii imani sina na vyombo vya usalama nchi

    Habari ya jioni wakuu, Binafsi kwa mambo yanayoendelea nchi hii imani sina na vyombo vya usalama wa nchi. Vinatumia nyadhifa zao kukandamiza raia na kutetea tabaka tawala bila hofu kwa sababu mihimili mikuu ya nchi hii haiko huru. Imefika mbali tunaanza kutoana uhai sisi kwa sisi ,hii laana...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama viwe makini sana na hawa wahuni wa Chadema kwani wana nia ovu ya kuchafua amani na utulivu wa Nchi yetu

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema. Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu wa idara za afya na vyombo vya ulinzi na usalama

    Kuna nafasi za ajira jeshi la Magereza zimetoka na nna mdogo wa kwa upande wa mama wa kambo anataka kuomba,lakini yeye ana changamoto ya kuishi na Virusi vya ukimwi. Je kwa mwenye uzoefu anijuze ; inawezakana akapata nafasi endapo vigezo vyote anavyo isipokua hapo kwenye suala la afya ambalo...
Back
Top Bottom