ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Panapo uzima nitasomesha watoto wangu ulaya au Marekani waende kupata exposure, Watanzania wengi hatuna exposure ndio maana tunafeli maisha

    Update: watu wengi wanatoa maoni kuogopa watoto wao kurudi wakiwa mateja au upinde, Hofu hii hujengwa kwa vitu vichache tunavyoviona mitandaoni vinavyokuzwa kuzidi uhalisia (mfano huwa tunadhanani wanaume wengi ulaya wamepinda ila ukienda nchi kama uingereza ni asilimia 3 tu). mlee mtoto kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ili Air Tanzania iweze kupenya soko la ulaya inabidi ifanye mipango na mikakati ya muda mrefu.

    Juzi kati hapa kulikuwa na mjadala niliokutana nao humu mtandaoni kuhusiana na Air Tanzania kufanya safari za moja kwa moja ulaya hadi hapa Tz. Kiukweli mjadala ule ulinivutia kwa kiasi chake ,lakini binafsinikagundua ili shirika hili liweze kupenya soko la ulaya itahitaji mipango,ubunifu na...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya wafungwa magerezani wanaishi maisha mazuri kuliko binadamu wengi wa Africa.

  4. JamiiForums Tanzania Bora nikaokote makopo Ulaya na degree yangu, kuliko kuokota makopo hapa bongo

    Vijana wenzangu nje KAZI zipo, tumieni maaagent nendeni Dubai Qatar na Canada fursa ni nyingi
  5. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje nchi kama USA na baadhi ya nchi za ulaya hakuna Tatizo la ajira kama nchi zingine?

    Hili swala linaniwazisha sana. Inakuwaje haya mataifa ya wenzetu kupata kazi ya kufanya yoyote sio big issue sana. Ilhali nchi zingine kama kenya ,rwanda ,zimbabwe na nchi zingine za huko asia kupata kazi kwa ajili to make both end meets inakuwa ni ngumu na kuipata lazima u struggle...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Afrika kama Ulaya mwaka 2070

    Kabla ya haya mambo ya smartphone, vijana wa kipindi hicho wapenda mambo ya siasa na mambo ya dunia tulikuwa hatubanduki DW Swahili, BBC Swahili na VOA. Nakumbuka Jumamosi moja hivi miaka ya 2000-2005 (Nimesahau mwaka kamili, nakumbuka tu nilikuwa sekondari). Siku hiyo nilikuwa nasikiliza dira...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ahimiza ushirikiano wa kiuchumi na umoja wa Ulaya

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameendelea na juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU), katika ziara yake ya kikazi inayoendelea mjini Brussels, Ubelgiji. Akifanya mazungumzo kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Idadi ya watu barani Ulaya, kila nchi kwa idadi yake

    European countries by population in 2025, organized from highest to lowest: 🇷🇺 Russia - 144,174,675 🇹🇷 Türkiye - 87,639,701 🇩🇪 Germany - 84,075,075 🇬🇧 UK - 69,461,932 🇫🇷 France - 66,650,804 🇮🇹 Italy - 59,146,260 🇪🇸 Spain - 47,889,958 🇵🇱 Poland - 38,140,910 🇺🇦 Ukraine: 33-37M* 🇷🇴 Romania -...
  9. JamiiForums Tanzania MDAU: Kwanini ni nadra kuona watu wakipeperusha bendera ya Palestina kwenye nchi za Uarabuni tofauti na wanavyofanya Ulaya au Marekani?

    Katika pitapita zangu nikakutana na hii video jamaa anamuuliza mdau mwingine kuwa kwa nini Hawa wafuasi wa Palestina na Uislamu hawawezi kupeperusha bendera ya Palestina wakiwa kwenye mataifa ya Kiislamu kama Dubai (UAE), Saudi Arabia, Qatar, na kwingineko, lakini wanafanya hivyo wakiwa nchi...
  10. JamiiForums Tanzania Soko tajiri Duniani ni la Marekani likufuatiwa na la Jumuia ya Ulaya, huko Asia China hakuna kitu

    Hata mashirika makubwa ya ndege Duniani wanakuambia njia yenye pesa ni ya kwenda Marekani au kutoka Marekani, Mfano London to New york, New Delh to New york, Tokyo to New york na kadhalika. Hio ndio njia tajiri inayo yapa mashirika ya ndege pesa. Turudi kwenye bidhaa, producer yoyote Duniani...
  11. JamiiForums Tanzania Umoja wa ulaya kuweka ushuru kwa bidhaa za kimarekani wa asilimia 10-25

    JUST IN: 🇪🇺 🇺🇸 European Union to impose between 10% and 25% tariffs on US goods. https://x.com/WatcherGuru/status/1909962445570834677?t=BG_6OJW2HO9f-l2Eos6FPQ&s=19
  12. JamiiForums Tanzania Afrika yapongezwa kwa kukataa kua tegemezi wa Marekani na Ulaya

    Nchi za Africa zimefanya chaguo sahihi la kutafuta mshirika wa kiuchumi anayejali na kuheshimu mamlaka za Nchi hizo na kuepukana Ushirika wa Marekani na Ulaya ambao mara nyingi umekua haziheshimu mamlaka za Nchi husika na wamekua wakiingilia siasa na hata kujaribu kushinikiza ajenda zao...
  13. JamiiForums Tanzania Zelensky anazidi kuzivuta nchi za Ulaya ziingie vitani na Urusi kwa uchokozi wake huku nchi za kiarabu zikijficha kusaidia ndugu zao wanaodhulumiwa

    Dunia kwa sasa ina vita viwili mashuhuri zaidi na ambavyo havifanani kabisa. Kwanza ni vita vya Ukraine ambavyo raisi Zelensky ambaye baada ya kuvimbiwa utajiri akakubali kazi ya kuichokoza Urusu kwa faida ya nchi za NATO. Vya pili ni vita vya Gaza ambavyo wapalestina wakiongozwa na Hamas...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ulaya na Amerika majina kama"Bush",""Liver", "Crew" na "Langstone" yamefanikiwa lakini Afrika majina ya Mohamad, John, Abdala,nk ni masikini?

    Ukitafakari kwa kinahuko ulaya na Amerika wanatumia majina yasikuwa kwenye biblia/quruan na yasiyo na maana kabisa kama"bush",""liver", "crew" na "langstone" wenye majina hayo wanafanikiwa lakini Afrika majina ya kibiblia/quruan yenye asili ya kiarabu na kizungu waliyoaninishwa kuwa ni ya Mungu...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana hukimbilia Ulaya na America mwezi wa Ramadhan kukwepa nini Saudia

    Ili kuepukana na Sheria za kufuatiliana nani kafunga Nani hawafungi vijana wengi toka Saudia hukimbilia Ulaya na amerika kuendelea kuponda raha kipindi cha mwezi wa ramadhani Hadi ipite ndo warudi huko Saudia
  16. JamiiForums Tanzania Wabongo mnaoshi ulaya acheni sifa za kijinga

    Wabongo mnaoishi ulaya acheni sifa za kijinga . Mkipata wekezeni Hizo hela mnatuma huku kwa ndugu zenu wanakunywa mapombe kuhonga then mkifia huko majuu maiti zenu zinashindwa kusafirishwa Watoto wenu mnawaacha katika umasikini. Mkizeeka pia mnatia aibu. Kuna mmoja ameona amefia huko majuu...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika Vs Viongozi wa Ulaya

    Tukisema Tubadilishane, Viongozi hivi, Hawa Viongozi wetu wakienda Ulaya, Je maendeleo yataendelea kuwepo au yatakufa.
  18. F

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wazungu waliacha kuamini uchawi na kuua wachawi ? nini sababu ya kufutwa kwa Witch hunting ulaya na marekani ?

    Watu wakijipa muda zaidi na kusoma kuhusu history za uchawi hasa msako wa wachawi (Witch Hunts in the Western World) kwenye karne zilizopita ulikuaje na kwa nini kilisababisha msako huo usitishwe. pia wakasoma kuhusu msako wa wachawi uliotokea marekani pia maarufu kama The Salem Witch Hunt na...
  19. JamiiForums Tanzania Chimbo la Jezi za Jumla za Ulaya, Delivery Popote Ulipo

    Wadau wa JamiiForums! ⚽️ Karibu Kariakoo! Tumeleta jezi za timu za Ulaya (Arsenal, Liverpool, Man United, n.k.) kwa bei za jumla! Hii ni fursa kwa kila mtu kupata jezi za timu pendwa kwa bei nafuu. Tunatuma mikoani na nchi jirani kama Congo, Zambia, na Malawi! Bei ya jezi moja ni TZS 15,000 tu...
  20. JamiiForums Tanzania Salim Kikeke mbona umelambishwa Asali na 'Mama Fulani' mapema sana? Nilijua ukiwa Ulaya na kurudi Bongo huwezi kuwa Chawa au Muoga wa Maisha mapya!!

    Halafu acha Kutudanganya kuwa umerejea Nyumbani kwakuwa Mama fulani Kakushawishi na kwamba sijui Baridi Kali la Uingereza pia ni sababu, bali ukweli ni kwamba kwa ilivyokuwa BBC na kwa Umri wako (huku ukiwa huna jipya tena) waliamua Kukumwaga mapema. Wewe ni mwana Simba SC Mwenzangu na nilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…