ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada kasema ukweli kwamba ushindi wa CCM sio wa mungu kupenda, wapinzani wamehamaki!

    Nimeona Wapinzani wamehamaki kwa kauli ya huyu kada aliyesema ushindi wa chama chake hautegemei mungu kupenda! Huu ni ukweli mtupu, wapinzani lazima wajue madaraka hayapatikani kwa miujiza au kudra. Huwa nawacheka sana wapinzani wanapomsubiria mungu kwa kauli mbalimbali za kujifafariji ooh...
  2. JamiiForums Tanzania Nasema ukweli kuhusu uganga

    Kuhusu kuoneshwa mbona nakumbuka sio lazima mtu apelekwe mapangoni kujifunza hayo yote,,mtu akiwa kapewa mkoba wa uganga anaanza kwa kuumwa sana tu. Kama malaria huku akiwa kwenye ndoto wale wote waliokuwa waganga wa tangulizi anawaona nakupewa masharti yakufanya ili awe mganga. Baada ya kupewa...
  3. JamiiForums Tanzania Je, anayoyasema kiboko ya wachawi kuhusu Watañzania kuwa wendawazimu yana ukweli kiasi gàni? Je, yeye ni wa kwanza kutamka maneno kama hayo?

    JE ANAYOYASEMA KIBOKO YA WACHAWI KUHUSU WATAÑZANIA KUWA WENDAWAZIMU YANA UKWELI KIASI GÀNI? JE YEYE NI WAKWANZA KUTAMKA MANENO KAMA HAYO? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nimeshangaa Sana Baadhi ya Watu wakiumia, wakikerwa na kuchukizwa na maneno ya Nabii wa Buza, AKA Kiboko ya Wachawi baàda...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna ka ukweli hapa

  5. E

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwa Maamuzi yenye utata ndio yaliyoirudisha kwenye reli Yanga .

    VAR ni muhimu sana , ingekuwepo Yanga ingetumia nguvu sana kurudi kwenye form .
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Zanzibar_supermotors.

    Wana jukwaa habari ya wakati huu. Bila kupoteza muda naomba kufahamu kuhusu hawa wauzaji wa pikipiki hasa brand ya Honda wanaopatikana huko zanzibar ni wa kweli kwa kiasi gani. Maana nimefuatilia bei za pikipiki kutoka kwa uzaji mbali mbali ila naona wao bei zao ni chee kiasi kinanitia mashaka...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli unaojulikana lakini kila mtumishi wa UMMA anajifanya hajui kitu

    1. Mshahara wa walimu na askari magereza ndio mshahara pekee wa watumishi wa umma unaokutana na mshahara mwingine. Hii ni kwasababu wanajua wakifanya masihara tu wamekula tope. 2. Watumishi walioko kwenye taasisi zenye udambwidambwi (madili) mshahara wao unaisha ndani ya wiki moja tu hata kama...
  8. JamiiForums Tanzania Telegram: Ukweli Kuhusu Usalama na Shughuli Haramu

    Telegram ni jukwaa maarufu la ujumbe linalotumiwa na zaidi ya watumiaji milioni 950 duniani kote. Ni maarufu kwa sababu ya uwezo wake wa kutoa ulinzi wa faragha kupitia mazungumzo yaliyosimbwa kwa njia fiche (encryption), ingawa ulinzi huu hauwashiwi moja kwa moja na hauhusishi mazungumzo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi: Wanaume au wanawake wajanja huoa au kuolewa na wenza wabovu sana

    Hii ni tafiti ya wazi kabisa, ukiona mwanaume alisumbua sana mtaani na wanawake wazuri, mwishowe anakuja kuoa mwanamke mbovu kuliko wote aliowahi kutesa nao awali. Mpaka watu wanashangaa huyu ndo wa kuoa huyu mwanamke au amelazimishwa? Lakini nimeamini huo ni mfumo tu wa dunia unatak watu...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna umakini tuelezane ukweli kwenye kila kitu

    Siku moja watoto walikuja kunitembelea mwaka 2020 wakitoka USA .Bahati mbaya mtoto mwengine alikuwa anajisikia vibaya ikabidi nijifanye daktari wa kubumba nikampa dawa kwa mawazo ya maduka ya dawa. Mambo yakawa mabaya ikabidi kuwasiliana na ubalozi wao nipate msaada maana watoto wangu sio raia...
  11. JamiiForums Tanzania Ili Kupata Maendeleo ya Kweli, Je Watanzania Tujifunze Kuukubali Ukweli wa Tatizo, Ufumbuzi wa Tatizo au Tuendelee na Funika Kombe Mwanaharamu Apite?.

    Wanabodi, Kama kawa, hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la leo, Ili kupata maendeleo ya kweli, Je Watanzania tujifunze kuukubali ukweli wa tatizo, tutafute ufumbuzi wa kudumu wa tatizo husika, au tuendelee na huu mtindo wetu wa kufunika tuu kombe mwanaharamu apite?. Tutakuwa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama uko serious kuja kinachoendelea Tanzania njoo JF utapata ukweli halisi, wasaidizi wako hawatakwambia ukweli

    Wasaidizi wako ni machawa, watakwambia lile ambalo wanaona utalipenda kulisikia na kulinda interest zao! . Ukweli uko hpa JF! Kuna siku ulisema huwa unapitia hapa, tenga muda kidogo upitie au ikikupendeza fungua akaunti ambayo haitaruhusu reply kutoka kwa contributors
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM haijawahi kukanusha hizi kauli(video)

    Tuelewane CCM ndiyo huamua inflation na siyo vinginevyo CCM ndiyo huzuia mzunguko wa fedha CCM ndiyo inayoamua wapi umeme uende na wapi usiende CCM ndo huamua upatikanaji wa maji na hususan kata kata ya maji CCM imejionesha kwenye sakata la TotoCard za NHIF CCM imejionesha vyema kwenye mkataba...
  14. JamiiForums Tanzania Makonda: Moja ya sifa niliyonayo ni kusimamia haki na ukweli, sitashiriki kukandamiza haki ya mtu

    Pia soma: Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi walekea ziarani Ngorongoro Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesisitiza kuwa hatashiriki kukandamiza haki ya mtu mahala popote pale atakapokuwa, huku akikumbusha kuwa nafasi wanazopata viongozi ni upendeleo wa Mungu. Pia soma: Rais Samia Aagiza...
  15. JamiiForums Tanzania Bus gani lenye VVIP ya ukweli na sio usanii. Nahitaji lakutoka Mwanza to Dar.

    Karibuni wakuu.
  16. JamiiForums Tanzania Kwa anayejua ukweli wa dokta msigwa anayetibu ukimwi

    Kuna rafiki yangu fulani amenithibitishia kuhusu ndugu yake aliyepona VVU baada ta kunywa dawa ipo kama chai alienda magomeni ama clinic yake kwa dokta anaitwa tr msigwa hata youtube video zake zipo anajinasibu anatibu ukimwi na magonjwa mengine.Binafsi mimi nina mashaka kwani tumefundishwa na...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Nimetumia dawa za PEP mara nne kwa vipindi tofauti tofauti, nina wasiwasi nimetumia mara nyingi sana

    Kutokana na mtindo wa maisha niliokua nao (ulevi) nilijikuta kwenye hatari ya kupata maambukizi ya VVU mara nne baada ya kufanya ngono zembe au kupata ajali ya kinga kupasuka etc. Kila baada ya kupata ajali nilikua nakimbilia dawa za PEP, sasa mara ya mwisho kuna mhudumu aliniambia dawa za PEP...
  18. JamiiForums Tanzania Vitabu vya Apocalypse, ambavyo kwa kawaida huitwa vitabu vya Apokrifa au apokaliptiki, sio maandiko matakatifu ya Mungu

    Vitabu vya Apocalypse, ambavyo kwa kawaida huitwa vitabu vya Apokrifa au apokaliptiki, sio maandiko matakatifu ya Mungu kwa maana ya kuwa sehemu ya Biblia Kanoni. Vitabu vya Apokrifa ni maandiko ya dini yaliyoandikwa katika nyakati za kale lakini hayakupokelewa rasmi kuwa sehemu ya Biblia Kanoni...
  19. K

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Elimu kwa umma ambayo ni jambo la msingi na endelevu

    TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Fahamu Sifa kuu za Muislamu ni pamoja na kujizuia, uvumilivu, kusamehe, huruma na hawana woga wa kusema ukweli tuifate dini ya mwenyezi Mungu

    Wadau hamjamboni nyote? Hizo ndizo sifa kuu za Muislamu Uslamu ndiyo dini ya haki duniani kote Ni wenye akili. Daima wapo makini, kwa sababu wana ufahamu wa ibada zao. Daima huwahudumia waumini na dini kwa kutumia akili. (al-Mumin, 40/54; az-Zumar, 39/18) Ni wenye kupambana kiakili kwa nguvu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…