ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Wadau wadai msongamano wa malori Tunduma unatengenezwa, RC Chongolo aunda kamati kubaini ukweli

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo ameunda kamati malumu kwa ajili ya kufanya uchunguzi na kubaini sababu zinazosabaisha msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ambao umekuwa ukilalamikiwa mara kwa mara na madereva hali ambayo imekuwa kero kwa watumiaji...
  2. Ukweli mchungu , lazima usemwe

    Tuangalie mambo ambayo ni ya kweli ila yanapindishwa ili tu kupata faraja na huruma Kwa baadhi ya watu. 1.Dini ,manabii ,wachungaji na masheikh. Hawa kuna namna wameushikilia ulimwengu,licha ya kuwepo watu wachache wenye uelewa wa huu utapeli lakini bado most of them huwaambii kitu kuhusu...
  3. Kusema ukweli Hussein Bashe amepiga pesa za BBT! Huu ni ufisadi mkubwa sana 'na kwakuwa Rais hana muda na mafisadi acha wajipigie mipesa ya bure

    Bashe anapenda kulimia mdomo na kupiga sound sana! Anamchapa sound mama anaingiza mihela tu! Hussein Bashe ana kilimo cha kwenye makaratasi, mabilioni ya pesa yanapotelea kwenye mikono yake! Angalia mradi wa BBT unavyomdhalilisha! Alitaka kulima kwa makaratasi na mdomo ! Mahindi Yale hata kwa...
  4. Wizara ya Afya , Ofisi ya CAG, Tuelezeni Ukweli kuhusu NHIF, hii FAIDA ya NHIF imetokea wapi? CCM mpaka lini mtaendelea kua Waongo??.

    Mods msiunganishe Uzi Huu, lengo ni Wahusika wake na majibu !! Hili ni Bandiko la MwanaJF Megalodon ambalo wengine hatukuliona hili mapema !!. Ni Ukweli ulio Wazi, Kwa miaka mitatu mfululizo ya nyuma , kote Report ya CAG ilionyesha NHIF imepata Hasara kubwa. Mwaka 2023 ,Hasira ilikua Kubwa...
  5. R

    Hata CCM wengine wapo mle sababu ya njaa lakini ukweli wanauona kuwa CCM imeshindwa kukidhi matarajio ya wengi

    1. HUU NDIO UJUMBE WANGU LEO. CCM WAPO ME KWA VILE KUNA PESA YA BURE YA SERIKALI, KUIBA KURA, KUGAWIANA VYEO ETC ETC 2. TUMAINI LILIKUWA KWA CHADEMA, SASA NA WAO WANAANZA MWELEKEO WA CCM 3. CHADEMA MNAANZA KUGOMBANIA TU VYEO, VIJISENTI! 4. CHADEMA MNAANZA KUSEMEZANA UONGO, KUCHAFUANA...
  6. B

    Anayepambana na Lissu tumwambie tu Ukweli anapoteza muda wake na mali zake.

    Idadi ni ndefu sana. Kila aliyejaribu kupambana na Mh Tundu Lissu kwa njia mbali mbali na mbunu kali kali alishindwa. Huyu Lissu ni mtenda haki, amekuwa siku zote mpigania amani na haki ktk maisha yake yoote. Mwenyezi Mungu amemjalia baraka hii. Nayo inamlinda. Sihitaji kutaja list ya...
  7. R

    Mke / Girlfriend wako akikwambia ukweli humridhishi kwasababu ya matatizo uliyonayo, Je akiku cheat bado una nguvu ya kumwambia "WHY ?"

    Mke / girlfriend wako kakwambia huwezi kumridhisha sababu ya matatizo uliyonayo kiafya aidha, jogoo hapandi mtungi, kisukari, kuwahi kumaliza, kutoweza kurudia tendo, uume ulioingia ndani, n.k. Siku ukigundua kachepuka, una nguvu za kumwambia "WHY ?"
  8. Ukweli Mchungu: Hakuna mtu anayefurahi sasa hivi kama Rais Samia ( Ana raha kweli)

    Kwa kifupi No Reform No Election haina madhara yoyote kwake 1. Akiikubali na kufanya Reform anakuwa Rais wa Kipindi cha Mpito cha Miaka 3 na kwa kuwa sifa zote atapata yeye kwa kukubali Reforms ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi utakapofanyika na kuwa Rais tena kwa kipindi cha Miaka 5...
  9. S

    Ukweli kuhusu akili mnemba (AI)

    Kwa mtazoma wako unahisi AI ni mkombozoi au kandamizi kwa akili za wasomi.
  10. R

    Awalalamikia TRA kuwa kuna watu walikuwa na mitihani kabla ya interview, kaweka maswali yaliyotoka na majibu yake

    Katika ukurasa wa TRA kuna mdau katoa taarifa kwamba kuna watu walishakuwa na pepa kabla ya kuingia chumba cha mtihani. kaweka ushahidi wa marking scheme ya maswali yaliyotoka na majibu yake, ikumbukwe watahiniwa hawakuruhusiwa kuondoka na karatasi la maswali. Comment ipo kwenye chapisho...
  11. Watanzania Wengi ni Wavivu – Kauli ya Mtume Boniphace Mwamposa na Rais Mstaafu Mkapa Zinagusa Ukweli Mchungu?

    Mtume Boniphace Mwamposa ametamka: “Watanzania wengi ni wavivu ” Watu wakakasirika, wengine wakabaki kimya. Lakini hii si mara ya kwanza kauli hii kusemwa na mtu maarufu kama Mtume Mwamposa. Mwaka 2011, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kusema waziwazi kuwa “Watanzania tumejaa visingizio...
  12. Watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing.

    Ukifatilia watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing. Biashara zote za online zinahitaji uwe na uwezo mzuri wa kutafuta wateja. Hii ndiyo siri ya mafanikio yao. Fanya hivi ili kupata sales 1. Kutengeneza Authority kwenye...
  13. Ukweli mchungu: SADC kwa week kadhaa imekuwa inaiomba M23 ruhusa ya ku-withdraw pamoja na vifaa vya kijeshi vilivyo twaliwa na M23

    Rwanda na M23 kwa wakati mwingine wameziaibisha nchi zaidi ya 10 ukanda wa Kusini mwa Afrika. Kwa tetesi zilizopo kwa zaidi ya week tatu sasa majeshi ya SADC yamekuwa yanaiomba M23 kurejesha silaha walizotwaa kutoka vikosi vya SADC na ruhusa ya kupita Goma wakati wakurudi nchi zao. Kumbuka...
  14. Hasira hasara,tuishi kwenye misingi ya utu na ukweli

    Kuna Uzi humu nimeuona jana unaongelea ongezeko la watu wasio na hofu ya Mungu mtaani Ki msingi ni kweli hata humu mtandaoni maneno ya Mungu yenye kutumika kama meme ni mengi lakini pia hata watu walio asi kwenda misikitini na makanisani idadi yao ni kubwa pia. Mtaani watu kujichukulia...
  15. Njia nne unazoweza kuzitumia kutoa crypto zako kwenye app ya Binance

    Kama umekuwa ni mtumiaji wa hizi cryptocurrency exchanges kama OKX, BYBIT au Binance kwenye kufanya transaction za cryptocurrency basi utakuwa umegundua kuwa P2P au Peer to peer trade ( Biashara baina ya mtu na mtu) kuna namna fulani imekuwa sio safe sana kuitumia kama mwanzo hasa kama unaifanya...
  16. Ukweli wa Kushtusha: Maisha ya Milele Yanavyoweza Kuwa Jehanamu

    Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo. "The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
  17. Wafuga kuku, njooni hapa niwaeleze ukweli kuhusu hii industry

    Habari yakO Mfugaji na mdau. Niko hapa kukupa elimi na ukweli juu ya Ufugaji kuku, achana na zile story za madaktari wa SUA wanaomaliza na degree zao na hawajafanya mazoezi au practical, ukija hapa utaambiwa ukweli kuhusu hii industry, kuanzia mabaya yake, uzuri wake na faida zake kiuchumi na...
  18. Inadaiwa parking kubwa ya magari itajengwa Kibaha Misugusugu itayokuwa na Hoteli na Super Makert. Je, kuna ukweli?

    Nimepata habari Kuna parking ya magari kubwa itakayokua na hoteli na super makert ambayo inatarajiwa kujengwa kibaha misugusugu shule je kuna ukweli kugusu Ili jambo ama alieniambia kanidanganya nimeona niulize humu jamii forum sababu ni kisima Cha maarifa Ili tuweze
  19. Watanzania tujifunze kuukubali Ukweli hata uwe Mchungu Vipi. Hili la Wasomi kusoma VETA japo Chungu, ndio Ukweli Wenyewe!

    Wanabodi kwa wiki hii nzima,nimekuwa nikishinda ukumbi wa JNICC,kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya VETA, tumamaliza jana,nikajua shauri ya uchovu nitalala fofofo,kumbe wapi!usingizi umekata hivyo nimeshuka jf。 Huu mjadala wa wasomi wa chuo kikuu kusoma VETA,ni mjadala muhimu,na umekuja wakati...
  20. Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake

    Wakuu Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake Eng. Hersi ana sifa na uzoefu mkubwa katika uongozi wa soka, hasa kupitia nafasi yake ndani ya Yanga SC, tangu amechukua nafasi hiyo kubwa katika ngazi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…