Msemaji wa jeshi la polisi nchini Tanzania David Misime amekanusha kuwepo kwa kontena la silaha na kusema kuwa ni taarifa za uongo. ameyasema hayo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Dodoma, na kusisitiza kwamba hakuna ukweli juu ya taarifa hizo
Misime ameonya pia juu ya baadhi...