Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, limeshusha makisio ya ukuwaji wa uchumi wa dunia mwaka huu, likisema uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umechangia kwenye kuichafuwa biashara ulimwenguni na kupandisha bei za bidhaa.
Siku ya Jumanne (Aprili 19), IMF, ambayo ni mkopeshaji mkubwa kwa zaidi ya...