ukraine

  1. MK254

    Nimeshangaa kusoma taarifa za ndege za Ukraine kushambulia, kumbe bado wana airforce

    Ukraine wamepata wapi jeuri ya kushambulia kwa ndege, wanarusha kutokea uwanjani kabisa na kushambulia supapawa, duh..... miezi miine sasa Urusi ameshindwa kufumua hako kajirani kainchi kadogo sana ukilinganisha na Urusi, amepoteza meli kubwa, majenerali, ndege zaidi ya 200, vifaru ndio usitaje...
  2. N

    Nani anashinda vita Ukraine?

    Kwa heshima na taadhima naomba kuwakaribisha wanazuoni wa mambo ya vita, watafiti na wajuvi wa siasa za kimataifa kutoa elimu kuhusu nani anashinda kwenye uwanja wa medani ndani ya ukraine. Kama wewe sio mjuzi wa mambo ya medani yanayojumuisha, silaha, askari, uchumi, propaganda, mbinu na...
  3. JanguKamaJangu

    Marekani yatoa msaada wa Kijeshi wa Bilioni 627 kwa Ukraine

    Marekani imetangaza kutoa msaada wenye thamani ya Dola Milioni 270 (Tsh. Bilioni 627.4) wa ulinzi kwa Ukraine ukihusisha roketi nne za kivita aina za HIMARS, ndege 580 ndogo zisizo na rubani na risasi 36,000 za bunduki za M777. Rais wa Marekani, Joe Biden ameweka wazi kuwa wataendelea kuisapoti...
  4. Sexer

    Urusi hali tete nchini Ukraine, hivi sasa inapumulia mashine

    Urusi inapambana kudumisha kampeni yake ya kijeshi na Ukraine na inaweza kuwa na uwezo wa kujibu mashambulizi, mkuu wa idara ya kijasusi ya kigeni ya Uingereza amesema. Mkuu wa MI6 Richard Moore alisema Urusi imeshuhudia"anguko la kihistoria" katika malengo yake ya awali ya kumwondoa rais wa...
  5. J

    Wabunge wa Urusi waishutumu ukraine kutumia wanajeshi waliotengenezwa maabara na Marekani

    Wabunge wa URUSI wamelalamika juu ya operesheni maalumu nchi Ukraine kuwa ngumu kutokana na UKRAINE kutumia wanadamu wasiokuwa wa kawaida- Superhumans- ambao wamekuwa modified kwenye maabara za siri nchini Ukraine na marekani. Madai haya yanafuatia tuhuma za Urusi na China juu ya kuwepo maabara...
  6. S

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa yathibitisha majeshi ya Ukraine kutumia raia kama ngao za kivita

    Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa Zelensky na majeshi yake ya Ukraine wamekuwa wakiwatumia raia kama ngao za vita. Umoja huo umetaja mapigano ya maeneo tofauti tofauti ambapo majeshi ya Ukraine yaliwazuia raia wasio na hatia wakiwemo wanawake, wajawazito, wazee, walemavu, wagonjwa, na watoto...
  7. JanguKamaJangu

    Umoja wa Ulaya waipa Ukraine msaada wa kijeshi wa Dola Milioni 508

    Umoja wa Ulaya (EU) umekubaliana kuipa Ukraine msaada zaidi wa kijeshi wa Dola Milioni 508 (Tsh Trilioni 1.17). Rais wa Baraza la EU, Charles Michel amesema mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ulaya wamekubaliana katika mkutano wao uliofanyika Brussels kujadili awamu nyingine ya vikwazo dhidi ya Urusi...
  8. Lady Whistledown

    Ukraine: Rais Zelensky awafuta kazi Mwendesha Mashtaka Mkuu na Mkuu wa Idara ya Usalama

    Rais Volodymyr Zelenskyy ametoa amri za kuwafuta kazi, Mkuu wa Idara ya Usalama Ivan Bakanov, na Mwendesha Mashtaka Mkuu, Iryna Venediktova na kumteua Naibu wake Oleksiy Symonenko kama Mwendesha Mashtaka Mkuu mpya Amesema hatua hiyo kufuatia tuhuma za maafisa wao kushirikiana na Urusi, huku...
  9. MK254

    Wakati Urusi inaendelea kuugulia kibano cha HIMARS, Ukraine wapata aina mpya nyingine ya silaha - M270 system

    Mrusi alishasema atakayemsaidia Ukraine asubiri matokeo, leo Ukraine wanaendelea kupokea aina mpya ya silaha zinazowatesa Urusi na hamna chochote Putin anaweza kufanya. ======================== Ukraine said Friday it had received its first delivery of a sophisticated rocket-launcher system...
  10. EINSTEIN112

    Ndege ya Ukraine iliyobeba silaha yaanguka na kuua wote waliomo "wanasema Ilikuwa inaenda Jordan" ila sisi tushajua😂😂😂😂

    Explosions for two hours after plane carrying 12 tonnes of weapons crashes Drone footage captures how the cargo plane crash landed in the fields (Picture: Reuters) A cargo plane carrying 11.5 tonnes of weapons has crashed in northern Greece, killing everyone on board. Explosions were heard for...
  11. EINSTEIN112

    Rais wa Ukraine anafikiria kubomoa Sanamu ya Catherine II aliyekuwa Malkia wa Odesa na kujenga sanamu la kumuenzi Shoga wa Marekani

    Rais wa Ukraine Volodonyr Zelensky anafikiria kuvunja sanamu la Malkia wa zamani wa Dola la Urusi anayejulikana kama Catherine Mkuu au Catherine II huko katika jiji la Odessa. Badala ya sanamu hilo Zelensky atajenga sanamu lingine la muigizaji wa sinema za utupu (porn star) ambaye ni shoga wa...
  12. S

    Marekani yasema 'Uragan' ya Urusi yasababisha maafa mabaya mnoo huko Ukraine

    Marekani inalalamika kuwa 'Uragan', aina maalumu ya Multiple launch rocket system (MLRS) ya Urusi, yaasababisha maafa mabaya mno kwa Ukraine. Mie siielewi sana hii silaha iitwayo 'Uragan', nakuomba Mkuu T14 Armata udadavuke udadavuzi uliotukuka ili wanaJF waelewe kiundani zaidi kuhusu hili...
  13. JanguKamaJangu

    Ukraine: Makombora ya Urusi yameua watu 20

    Makombora ya Urusi yaliyorushwa katikati ya Nchi ya Ukraine yameua takribani watu 20 kati yao wakiwemo watoto watatu na wengine 90 kujeruhiwa. Msaidizi Mkuu wa Polisi, Kyrylo Tymoshenko amesema makombora matatu yameharibu ofisi na makazi ya watu maeneo ya Vinnytsia ambayo yapo kilometa 268...
  14. M

    Ukraine inataka zana za kijeshi za Ujerumani. Ujerumani inataka gesi ya Urusi ili kuimarisha uchumi wake. Ukraine inazuia Ujerumani kupata gesi

    Kuna hili jambo linalozihusu Urusi, Ukraine na Ujerumani. Ujerumani inaitaka sana gesi ya urusi kwa ajili ya uchumi wake. Viwanda vingi hata vile vya kijeshi vinatumia umeme unaotokana na gesi toka Urusi. Inabidi iendelee kupata gesi hiyo ili uchumi wake uendelee kuwa vizuri hata imudu kuisaidia...
  15. M

    Ukraine imejikuta katika wakati mgumu wa kulazimika kuzikubali ndoa za jinsia moja. Misaada ya mabeberu ni sumu

    Kwa kawaida Ukraine ilikuwa na msimamo kama wa Urusi wa kutokuruhusu ndoa za jinsia moja. Lakini mabeberu wa nchi za magharibi wametumia kipindi hiki ambacho Ukraine inataka kuingia kwenye Umoja wa nchi za Ulaya EU, na iendelee kupata misaada ya kijeshi katika vita yake na Urusi, kuibana ukraine...
  16. MK254

    Ukraine waanza mtiti wa mizinga mpya waliyopewa juzi, washusha moja Kherson

    Walipua ghala la silaha wanatumia mfumo wa silaha aina ya HIMARS waliopewa na Marekani, ina uwezo wa kurusha mizinga ya masafa marefu na kutoweka kimya kimya. Ukianza kujibu pale shambulizi lilikotokea unakuta patupu. At least seven people were reportedly killed by a Ukrainian missile strike on...
  17. EINSTEIN112

    Wakati Turkey ikiwapa "msaada" wa drones 4 Ukraine Iran inatarajiwa kutoa mamia ya drones kwa Russia

    The United States said Monday that it has intelligence indicating Iran may soon supply Russia with hundreds of unmanned aerial vehicles, including “weapons-capable” drones, to use in its war with Ukraine, a move that would underscore the growing cooperation between two American adversaries...
  18. S

    Marekani yalalamika kuwa Iran yajiandaa kupeleka shehena za mamia ya drones zake hatari Urusi zikatumike vitani Ukraine

    Marekani inalalamika kuwa Iran inajiandaa kupeleka shehena za mamia ya drones zake Russia zikatumike Ukraine. Yahofiwa zitakuwa ni drones hatari zaidi ya zile zilizotumika kushambulia Saudia zikayavua nguo yale machuma chuma ya Marekani (Patriot air defense system) yaliyoshindwa sio tu kuzuia...
  19. MK254

    Ukraine waanza maandalizi ya wapiganaji milioni moja ili kutwaa miji ambayo Urusi aliambulia

    Mrusi ajiandae kwa armaggedon, Ukraine wanaendelea kupata silaha kali za maangamizi makubwa na pia mzuka unazidi kuwapanda, wanajipanga kutiririka milioni moja kutwaa tumiji miji tudogo twa huko mipakani ambapo Mrusi aliambulia baada ya yeye Urusi kuingia hasara kubwa sana. --- Ukraine is...
  20. JanguKamaJangu

    Putin asaini amri inayowapa urahisi wananchi wote wa Ukraine kuomba uraia wa Urusi

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin ametia saini amri ya kupanua mchakato wa kupata uraia wa Urusi kwa raia wote wa Ukraine. Amri hiyo inaamuru kuwa ‘raia wote wa Ukraine’ wapewe haki ya kuomba kuandikishwa kuwa uraia wa Shirikisho la Urusi kwa njia rahisi zaidi. Awali utaratibu kama huo ulikuwa...
Back
Top Bottom