ukraine

  1. MK254

    Wakati Urusi bado wanahangaika na HIMARS, sasa USA kutuma 'VAMPIRE' Ukraine

    Hii VAMPIRE ina uwezo wa kufungashwa kwenye magari ya kawaida tu na ikafanya mashambulizi makali, na haihitaji wanajeshi wengi, mwanajeshi mmoja tu ametosha kusababisha maangamizi kwa kuitumia...... The VAMPIRE system can fit in almost any pickup or vehicle with a cargo bed. (Courtesy of...
  2. S

    Pentagon yaogopa kupeleka ndegevita za Marekani Ukraine; yahofia biashara yake ya ndege hizo itaharibika!

    Pentagon imeendelea kuruka viunzi suala la kupeleka ndegevita za kimarekani nchini Ukraine. Pentagon yasema suala la kuipatia Ukraine ndegevita za kimarekani lipo mezani lakini kuzipeleka hadi kufika nchini Ukraine itachukua miaka tele. Mwambieni Biden aache kuruka viunzi, ni muda muafaka sasa...
  3. JanguKamaJangu

    Rais Zelenskiy adai watu 22 wameuawa Ukraine katika shambulizi la Urusi

    Watu 22 wameuawa na wengine kujeruhiwa katika shambulio la kombora la Urusi kwenye kituo cha treni cha Ukraine. Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amesema shambulizi hilo lilifanywa katika treni ya abiria kwenye mji mdogo wa Chaplyne ambapo mabehewa manne yaliteketea kwa moto. "Zoezi la...
  4. JanguKamaJangu

    Mechi za Ligi ya Ukraine kuendelea bila mashabiki viwanjani

    Msimu mpya wa soka Ligi Kuu ya Ukraine umezinduliwa wiki hii licha ya uwepo wa vita dhidi ya Urusi, ikielewa kuwa mechi zitaendelea bila uwepo wa mashabiki kutokana na sababu za kiusalama. Maamuzi ya kuruhusu ligi kuanza yalitolewa na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky akiwa na lengo la...
  5. BARD AI

    Siku 182 za vita: Matukio yote ndani miezi 6 ya vita ya Ukraine na Urusi

    Mnamo Februari 24, Urusi ilizindua uvamizi kamili wa Ukraine kutoka Belarusi kuelekea kaskazini, Peninsula ya Crimea iliyoambatanishwa na Urusi kuelekea kusini, na eneo lake la mashariki. Vita hiyo imeua maelfu huku mamilioni ya watu wakiyahama makazi yao na kuharibu miji kadhaa. Haya ndiyo...
  6. ward41

    Ligi ya Ukraine imerejeshwa. Ina maana maisha Ukraine sasa ni kama kawa?

    Ligi ya Ukraine imerudi rasmi leo kwa mara ya kwanza tangu Urusi ilipoivamia Ukraine mwezi Februari mwaka huu. Kutokana na sababu za kiusalama, mashabiki hawakuruhusiwa kuhudhuria mechi ya kwanza iliyochezwa kati ya timu za Shakhtar na Metalist katika uwanja wa Kyiv Olympic. Hifadhi za dharura...
  7. JanguKamaJangu

    UNICEF: Takriban Watoto 1,000 wameuawa tangu kuanza kwa vita ya Urusi na Ukraine

    Watoto 1,000 Nchini Ukraine wameuawa au kujeruhiwa vibaya tangu kuanza kwa vita baia ya taifa hilo na Urusi, Februari 24, 2022. Shirika la Umoja wa Mataifa Linalohudumia Watoto (UNICEF) imesema ina takwimu za Watoto 972 waliouawa lakini idadi ya kweli huenda ikawa kubwa zaidi kwa kuwa...
  8. eliakeem

    Afrika tunaweza kufaidika vipi na vita ya Ukraine?

    Ushabiki tuache kando. Ambao kamwe hautatusaidia kupiga hatua mbele toka hapa tulipo. Tukiwa kama bara tuna mikakati gani ya kufaidika au kujifunza kutokana na huu mzozo? Tukiangalia kwenye kilimo biashara nk.
  9. Narumu newz

    Majira ya baridi ndiyo yataamua hatma ya vita ya Ukraine

    Ni ukweli usiopingika ,achilia mbali mahaba tuliyonayo ,maana kila binadamu ana chaguo lake ,pro NATO na pro Russia wote wana haki ya kuwa na mahaba ,kwa kadri ya ufahamu na mitazamo ya namna mbalimbali. Ila sasa wakuu hii vita tuambiane ukweli tuu majira ya baridi ndiyo yatatoa matokeo halisi...
  10. MK254

    Zelensky agomea ombi la Urusi la kusitisha vita, asema hadi Warusi waondoke Ukraine

    Urusi imemtuma rais wa Uturuki aongee na Zelensky watafute mbinu za kumaliza vita, hili limemshangaza sana maana siku zote ndilo lilikua ombi lake, hususan ile siku Urusi ilikua inajaribu kuparamia Kyev kabla kuangukia pua. Asema hadi Urusi iwaondoe wanajeshi wake, ni mwendo wa mapigo tu...
  11. Ndulungu

    Nachukizwa na uongo wa mashabiki ukraine kuhusu hali ya vita vyake dhidi ya urusi

    Mashabiki wa ukraine achani uongo,zelensky anapewa dozi kutwa mara tatu licha kupewa msaada wa silaha na marekani na ulaya lakini msaada huo umeshindwa kufua daft kwa mziki mnene wa urusi
  12. MK254

    Ukraine walipua makao makuu ya jeshi la wanamaji la Urusi pale Crimea - Black Sea Fleet headquarters

    Ni mwendo wa kulipua lipua hapa na pale.... A drone strike has hit Russia’s Black Sea Fleet headquarters in the Crimea, Kremlin officials have confirmed. Social media footage showed a plume of smoke arising from a location in Sevastopol on Friday evening, which is where the fleet is based...
  13. MK254

    Ukraine waparamia na kulipua mfumo wa silaha wa Urusi unaoitwa "Legend 2"

    Urusi anazidi kuingia hasara hadi kero, kila akigeuza milipuko inalipuka ghafla na kuondoka na zana za maana sana, kuna hii wanaita "legend 2" imezamishwa.... The Operational Command South unit posted on Facebook that Ukrainian forces used "missile and artillery units to fire and destroy the...
  14. EINSTEIN112

    19 Agosti 2022 SHARED Jeshi la Urusi lajiandaa kukata mtambo wa nyuklia kutoka kwa gridi ya taifa - Ukraine inasema

    Kama tumekuwa tukiripoti, kampuni ya nishati ya nyuklia ya Ukraine Enerhoatom imesema kwamba wanajeshi wa Urusi wanaodhibiti kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhya huenda wanapanga kukitenganisha na njia zinazoingiza nishati katika mfumo wa nishati wa Ukraine katika siku za usoni. Enerhoatom...
  15. kavulata

    Utelezi wa vita ya Ukraine umemwangusha Kenyatta na Raila Odinga Kenya

    Maisha yamepanda, maisha ni magumu na hali ni mbaya sana kwa watawala katika kipindi hiki. Ni vigumu kuwashawishi wapigakura kuwa hali hii nguvu ni kwasababu ya vita ya Ukraine na Russia na sio uzembe na ufujaji wa viongozi wao. Kilichomwangusha Raila kwenye sanduku la kura ni kuungwa mkono na...
  16. MK254

    Putin alalamikia USA kwa kusababisha vita vya Ukraine vichukue muda mrefu

    Aishutumu USA kwa kuipa Ukraine silaha ambazo zinampa shida kwenye kujaribu kuparamia Ukraine. Sasa hivi Warusi wamekwama kwenye mahandaki inakua vigumu kupiga hatua maana mziki wa HIMARS umekua balaa. ============= Russian President Vladimir Putin accused Washington on Tuesday of drawing out...
  17. Axel Lloyd

    Ukraine yaishambulia tena Crimea, milipuko yaripotiwa

    Ukraine yaripotiwa kufanya Mashambulizi ndani ya Crimea na kusababisha mlipuko kwenye ghala la silaha. Urusi yakanusha kwamba ni shambulio yasema ni ajali. ============= KYIV, Aug 16 (Reuters) - Explosions shook an ammunition depot in Russian-annexed Crimea on Tuesday, the latest such incident...
  18. S

    Marekani: Howitzer za Ufaransa (CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zateketezwa vibaya mno Ukraine kwa artillery ya Urusi

    Marekani yaripoti kuwa howotzer za Ufaransa (French CAESAR 155 mm Self Propelled Howitzer) zinachomwa vibaya na kuangamizwa na MLRS (Artillery) za Urusi nchini Ukraine. Katika kuthibitisha hilo Marekani imeambatanisha na video iliyorikodiwa na drone (video ipo hapo chini) wakati artillery ya...
  19. MK254

    Hatimaye Putin amepata mwanya wa kutokea, aanza kupiga mabomu vinu vya nyuklia vya Ukraine

    Baada ya kushindwa kuiparamia Ukraine, ageuza hasira zake kwa vinu vya nyuklia akijua kwa kuvilipua atasababisha madhara makuba kwa mamilioni ya watu, anapiga mabomu maeneo yote ya karibu na hivyo vinu ili abembelezwe aache.... Ukraine said several shells landed near a facility where...
  20. Narumu newz

    Kwa kikao cha Copenhagen, vita ya Ukraine na Urusi si ya kuisha leo au kesho

    Jana mataifa ya Ulaya 26 yalikutana jijin Copenhagen, huku ajenda kuu ni kukusanya pesa kwa ajili ya kuisaidia zaid Ukraine, kwa haraka misaada ilifikia dola billion 5 za phase one, kiasi hicho kinakadiriwa ni kikubwa sana. Silaha nyingi zimeshaanza kuingizwa Ukraine na Russia kwa upande wake...
Back
Top Bottom