ukraine

  1. MK254

    Ukraine wafaulu kupasua ngome ya Urusi na kukomboa maeneo

    Ifahamike Urusi walikua wamejichimbia kwa kila namna ikiwemo kutegeshea mabomu mengi sana ardhini, hivyo kupasua ngome mpaka kuwafukuzia na kukomboa maeneo kwa kweli ni shughuli, ila uzuri Ukraine wanapigania ardhi yao, hivyo wana kila sababu za kuendelea kushambulia, je Warusi wanafia nini...
  2. MK254

    Viwanda 200 vya Ukraine vinazalisha drones, Urusi ijiandae kwa mvua ya drones

    Urusi ilishindwa kutumia fursa yake vizuri pale mwanzo mwanzo ilipoanza kuiparamia Kyiv, wakati huo bado ilikua inaoopwa na kuonwa kama supapawa, leo hii imejikuta inapambana kujitetea badala ya kushambulia, wanajeshi wanakufa na kufukuziwa huku wakirudi nyuma, Ukraine inazidi kujiboresha...
  3. MK254

    Crimea kunawaka moto, Ukraine washambulia ghala za silaha za Urusi kwa makombora

    Kuna wakati Putin alisema Crimea ikiguswa basi atafanya kitu maana itakua kama umeigusa Moscow, ila Ukraine siku hizi wanapiga sana hapo Crimea....
  4. The Assassin

    Angalia jinsi Afrika inavyoitegemea Ukraine na Urusi kwenye mahitaji ya ngano.

    Hii ni picha ya kueleza utegemezi wa nchi za kiafrika kwa Ukraine na Urusi kwenye mahitaji ya Ngano. Ukraine nchi yenye watu milioni 30 inalisha Afrika nzima bara lwnye watu Bilioni 1 na ushee.
  5. MK254

    Ukraine waanza kutembeza kichapo kwa kutumia cluster bombs, Putin alisema zikitumika atafanya jambo

    Putin amekua akichora mistari na kusogesha magoli ya mikwara, juzi alisema Ukraine wakipewa cluster bombs hapo mstari utakua umevukwa na atafanya kitu, haya sasa wamepewa na zinatembeza kichapo ile mbaya, sijui atachora mstari upi mwingine. US-supplied cluster munitions have been deployed in...
  6. MK254

    Urusi yapiga bomu ofisi za ubalozi wa China, Ukraine

    Twende tu hivi hivi. China’s consulate building in Odesa has been damaged in a Russian missile and drone attack, a Ukrainian official said. The damage appeared to be minor, regional governor Oleh Kiper said as he posted a photograph showing the building with broken windows. Russia, which is...
  7. MK254

    Kama mbwai iwe mbwai: Ukraine kupiga mabomu meli zinazopeleka mizigo Urusi

    Urusi juzi ilitangaza kupiga meli zinazoenda Ukraine, haya na Ukraine wamejibu, watapiga meli za mizigo zinazopita baharini kwenda Urusi. KYIV, July 20 (Reuters) - Ukraine's Defence Ministry said on Thursday it would consider all ships travelling to Russian ports and Ukrainian ports on the...
  8. Webabu

    Ukraine yafurahia shehena ya mabomu haramu, wako tayari kuyatumia

    Kamanda wa vikosi vya ardhini wa Ukraine Colonel General Olesksandr Syrskyi amekiri kupokea shehena ya mabomu haramu yanayoripuka kwa kuchawanyika na kwamba wataanza kuyatumia siku za hivi karibuni. Wakati huo huo waandishi wa habari wameiona mizinga aina ya American M777 howitzers karibu na...
  9. MK254

    Daraja la Ukraine lashambuliwa tena na drones za Ukraine

    Hii daraja muhimu sana kwa Urusi, ndio limeunganisha Urusi na Crimea..... Urusi iligharamikia sana kutengeneza na kurekebisha hili daraja, yaani kulipiga ni kama umepiga moyo wa Putin... Kyiv’s navy and Ukraine’s security service (SBU) carried out a “special operation” using seaborne drones, an...
  10. Richard

    Korea Kusini nchi yenye hifadhi kubwa ya silaha duniani wakataa kutoa silaha zaidi kwa Ukraine

    Raisi wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol ameondoka nchini Ukraine kurudi Seul baada ya kufanya ziara ya kustukiza akitokea Vilnius nchini Lithuania. Raisi huyo wa Korea Kaskazini alikuwa alihudhuria kikao cha NATO kilichokutana kujadili masuala mbaimbali likiwemo suala lla misaada zaidi kwa Ukraine...
  11. Webabu

    Jifunze namna Urusi alivyokwamisha "counteroffensive" ya Ukraine

    Malalamiko kuwa vita vya kukomboa majimbo ya Ukraine sasa yako wazi kutoka kila upande.Kutoka kwa raisi wa Ukraine,makamanda wake ,askari wa kawaida na hata kutoka nchi za NATO ambazo zilichangia silaha nyingi kufanikisha hatua hiyo. Kama alivyotabiri generali mstaafu wa Marekani bado kuna...
  12. MK254

    Jenerali wa Urusi auawa kwa shambulizi la kombora la Ukraine

    Haya makombora ya "Storm Shadow" ni habari nyingine. A high-ranking Russian general has been killed in Ukraine’s Zaporizhzhia in an airstrike carried out using British-supplied Storm Shadow missiles, according to multiple reports from both sides. Lieutenant General Oleg Tsokov was among the...
  13. JanguKamaJangu

    Zelenskyy akasirika Ukraine kuchelewa kupewa uanachama wa NATO

    Kitendo cha Viongozi wa NATO kudai Ukraine inapaswa kujiunga na Muungano wa Kijeshi wa Umoja huo siku zijazo bila kutaja muda, kimemfanya Rais Volodymyr Zelenskyy kukosoa mchakato huo dhidi ya Taifa lake. Tamko hilo la NATO limetolewa wakati wa kikao cha siku mbili cha viongozi hao wakidai hadi...
  14. M

    Kuhusu kujiungana NATO: Ukraine isahau kujiunga na NATO, na NATO wanajua hivyo

    Ili Ukraine ijiunge na NATO inabidi vita kati yake na Urusi ikome. Na kwa Tafisiri ya UKraine ambayo NATO wataitumia kuamua kama vita imekoma ni kuona Crimea na majimbo mawili ya DONBASS yamerejea kwenye himaya ya Ukraine!! Kwa kuwa hili halitatokea milele, kwa hiyo Ukraine haitajiunga na NATO...
  15. I

    Uturuki yaunga mkono ✋ Ukraine kujiunga na NATO

    Ukraine 'inastahili' uanachama wa NATO, Erdogan wa Uturuki anasema Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan pia alitoa wito wa kurejeshwa kwa mazungumzo ya amani akisema, 'amani ya haki haileti hasara. Uturuki inaunga mkono matakwa ya uanachama wa NATO wa Ukraine, Rais wa Uturuki Recep Tayyip...
  16. M

    KAMIKAZE DRONES za Urusi ni mwiba mkali kwa Ukraine: Ni za bei rahisi lakini zinaangamiza mamilion, ukitaka kuidungua utumie missile ya mamilioni!!

    Majeshi ya Ukraine yanashindwa yaamueje kushughulika na kamikazer drones za Urusi. Ni drones za gharama chee (dola 20,000 za marekani kwa kila moja). Ina uwezo wa kuangamiza vifaru, magari ya kivita, na vifaa vingine vya kijeshi, kubomoa majumba makubwa nk. Ukkraine wanaweza kuzidungua lakini...
  17. Jackal

    Vikosi Vya Anga Vya Ukraine Vimeweza Kudungua Makombora Zaidi Ya 100 Ya Cruise/Hypersonic Ya Urusi

    https://gagadget.com/en/war/271396-ballistic-iskanders-hypersonic-kinzhals-and-strategic-kh-101-kh-555-ukrainian-air-force-destroys-157-missiles-in-a-mo/
  18. Webabu

    Kamanda mkuu wa Ukraine akasirishwa na ahadi hewa za NATO huku askari wake wakiangamia

    Kamanda mkuu wa majeshi ya Ukraine generali Valery Zaluzhny amesema nchi yake ina makubaliano maalum na Pentagon na kwamba wana mawasiliano ya masaa 24 juu ya namna vita vinavyoendelea,hata hivyo amekasirishwa sana na ahadi hewa za Marekani na washirika wa NATO. kilichomkera zaidi na kutoa...
  19. I

    Wakimbizi wa Ukraine wapo kambi gani hapa nchini?

    Leo hii wakati Ofisa mwandamizi wa serikali akipokea msaada wa chakula kutoka WFP, amesema Tanzania imepokea wakimbizi kutoka Ukraine. Naomba kufahamishwa wamewekwa katika kambi gani na kama kuna kambi mpya imeanzishwa ipo mkoa gani. Na je huduma wanayopewa wakimbizi hawa ni sawa na ile...
  20. MWANDAMBO

    Msingi wa kuliunga Mkono Taifa la Ukraine 🇺🇦 dhidi ya Urusi (Russia).

    1. Kuruhusu Taifa la Urusi (Russia) kushinda vita dhidi ya Taifa la Ukraine, ni kuweka msingi mpya wa mwelekeo hatari kwa usalama na utawi wa dunia (World order) kwamba, ni halali kwa Taifa moja lenye nguvu kulivamia Taifa Huru (sovereign) Jingine na kuuwa watu na maisha yakaendelea! Uwezekano...
Back
Top Bottom